Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Nazungumzia suala la kipato zaidi mkuu,
Ila kama umekwishaoa na bado unarudi nyumbani asubuhi, ungemaliza kwanza hayo maisha kabla ya kuwa committed..!!
Kwenye suala la kipato kama una kipato ntakufanya uamini changu chako na chako ni chako lakini ukweli ninaujua mwenyewe.Kurudi asubuhi haimahanishi haupo komitedi,siwezi kuwahi kurudi wakati hakuna emergency yoyote,yaani niwahi tu Kuja kuona sura yako ninayoiona kila siku.
 
Bila kujikamua unadhani hao ma gold diggers, silver diggers,slay queens ,boss ladies,super models ,actress ,females singers,wakishuas, rich chicks ,chipmunks

Unadhani utawapataje ?

Mfano sanchoka lazima uumie kwelikweli

Ila hawa tuliowapenda tunakuwa real
Ndiyo mnakuwa wakweli mkuu, ila si mnajikakamua hasa kutufurahisha kuliko uhalisia wenu ulivyo.??
Kwa niamba ya wanaume wenzangu wapenda wanawake
Mimi napenda pombe

Cc mlevi mmoja
 
Kwenye suala la kipato kama una kipato ntakufanya uamini changu chako na chako ni chako lakini ukweli ninaujua mwenyewe.Kurudi asubuhi haimahanishi haupo komitedi,siwezi kuwahi kurudi wakati hakuna emergency yoyote,yaani niwahi tu Kuja kuona sura yako ninayoiona kila siku.
Naomba nieleweshe hapo pa 'lakini ukweli naujua mwenyewe'..!!
 
Nimependa sana uzi wako,naomba Mungu sana nije kua baba bora kwenye familia yangu, na niwe mume bora kwa mke wangu, muda utasema,huwa napenda sana kua muwazi lakini kwa mwanamke nnae mpenda, ila kama nnampango wa kupita naww basi sitakua muwazi sana.
 
Ahsante Ocran,
Na Mungu akakujibu mkuu, uliombalo likafanikiwe! Ndiyo ni vizuri kuwa muwazi kwa mkeo ama mtarajiwa wako, hii itajenga uaminifu baina yenu na itazuia migogoro isiyokuwa na lazima ambayo ingetatulika tu kwa ukweli na uwazi..!
 
Hiyo kuspoil vijana wa mjini tunaita kuvimba. Mara nyingi huwa tunavimba kwa maslay queens na mademu ambao hatuna mpango nao. Kama alivyosema Jack Reacher, " the cheapest woman tends to be the one you pay for."
Sawa Noel,
Hivyo unamaanisha kwa mtarajiwa wako ama mkeo huwezi vimba?? Mbona mvimbe tu kwa gold diggers halafu mwandani wako anaishi maisha magumu?? Mentality yenu huwa siielewi kabisa wanaume!!
 
Ni kwasababu wanawake mnapenda mapenz ya maigzo ndyo mana wanaume wanawaimpress.. Mwingne anaweza kusema amekubali kwa hali yako kwa kuwa pesa inatafutwa kumbe tu shda yake kuolewa, ukshamwoa anajfanya kama haijui hali halis ya uchumi wako, anaanza kukusimanga..
Nakubaliana na wewe mkuu, ila bado naamini hakuna kiumbe kina huruma kama Mwanamke, Mwanamke akiridhia kukuvumilia huwa anavumilia mengi na makubwa mno!!
Ukiona mwanamke mpaka anafikia hatua ya kukusimanga, niamini kuna uanaume hujauonesha bado.!!
 
Kuna mwanamke mmoja comment za juu hapo kasema wakati wa uchumba hajawa spoiled lakini anakula raha ndani ya ndoa.

Hatuwezi beba majukumu ya wazazi wakati wa uchumba, ndani ya ndoa wewe ni jukumu langu asilimia mia.
Sawa Noel,
Hivyo unamaanisha kwa mtarajiwa wako ama mkeo huwezi vimba?? Mbona mvimbe tu kwa gold diggers halafu mwandani wako anaishi maisha magumu?? Mentality yenu huwa siielewi kabisa wanaume!!
 
Nasubiri jibu kwa kweli maana hili ni janga lengine kwenye jamii yetu,unakuta mme hatunzi familia hususani mkewe ila gold diggers anawagharamia!...Huwa haniingii akilini kwanini upoteze pesa na mda kwa vitu visivyo add value in your life?
Sawa Noel,
Hivyo unamaanisha kwa mtarajiwa wako ama mkeo huwezi vimba?? Mbona mvimbe tu kwa gold diggers halafu mwandani wako anaishi maisha magumu?? Mentality yenu huwa siielewi kabisa wanaume!!
 
Maisha ya sasa Kuviziana ni kwingi sana, vijana wa kiume wanawavizia vijana wa kike na wakike vivyo hivyo, Yaani wanaume waongo wanawake waongo changamoto hii ni kubwa sana.

Mpaka kuna wakati nafikiri kama Taifa at large tujikite kwenye uwekezaji mwingine wa science na technology haya mambo ya mahusiano ni magumu sana ni magumu kama kushinda JACKPOT YA SPORT PESA

Upande mmoja wanaishi sana Maisha ya kwenye movie huku utegemezi ukiwa wa hali ya juu sana mpaka bongo zao zipo kama Omba Omba, Upande mwingine wanataka wanawake wafananao kwenye Movie wanazo angalia

Basi vagaranti, social media, marafiki malezi na Maisha ya Uongo Uongo taasisi hizi za kimahusiano zinazidi kuwa ngumu
 
Mkuu ila wewe si ndiye uliyesema huwa mnavimba mkiwa na maslay queen that means pesa inatumika kuwapata,sasa mbona wajipinga tena?

Yule dada ambaye yuko spoiled ndani ya ndoa anabahati sana maana huku kwetu wenzie wanachakaa ndani ya ndoa ila michepuko inanona
Kuna mwanamke mmoja comment za juu hapo kasema wakati wa uchumba hajawa spoiled lakini anakula raha ndani ya ndoa.

Hatuwezi beba majukumu ya wazazi wakati wa uchumba, ndani ya ndoa wewe ni jukumu langu asilimia mia.
 
Uzi mzuri sana na constructive one....

Ila utashangaa unakosa wachangiaji kwa sababu tu haujakaa kimbea mbea

Page za mbele huko uzi utabadilika na kua kilinge cha stor za hapa na pale...utaona watakavyo jaaa hapa SweetieLee,

Umesema hawatachangia wamechangia, naona umekuja na nyingine ya wataharibu baadae.

Naona kama wewe ndo huna mpango mzuri na hii thread, unaitabiria mabaya.
 
Wapo wanao fake sana tu mkuu, wanajitutumua kuliko uwezo wao, mfano mzuri ni pale mwanaume anaenda ukweni, baadhi yao wanaazima mpaka magari ya kifahari wakati kiuhalisia hata gari la mkopo muoaji hana.!!
Hii ipo sana n sielewi hua wanakua na maana gani ni kwamba mtu hajiamini au ndo vile hataki kuishi uhalisia wake

Wanaume wakiacha hii tabia bas hata malalamiko ya kusema girls wanapenda hela yatapungua. Napenda sana wanaume wasiopretend kuhusu financial status zao maana inakua rahisi pia kumuamin kuliko yule kila mkionana anataka kujimwambafy
 
Mkuu ila wewe si ndiye uliyesema huwa mnavimba mkiwa na maslay queen that means pesa inatumika kuwapata,sasa mbona wajipinga tena?

Yule dada ambaye yuko spoiled ndani ya ndoa anabahati sana maana huku kwetu wenzie wanachakaa ndani ya ndoa ila michepuko inanona

Usipovimba kwa Slay queen unakuwa hujamtendea haki, maana you have nothing to offer her zaidi ya hizo treats. Kwa mtarajiwa si umemkabidhi moyo wako na future yako, na umemkaribisha kwenye ufalme wako.
 
Back
Top Bottom