Changamoto za kifedha baina ya wenza zinazidi kuongezeka

Kila choice is consequences zake. Maisha ya mzabzab ujue wee familia huitaji simple as that. So kwangu mie kuwa na familia sio kitu muhimu hence y the choice ya kuishi hivyo.

Pili kila taasis na matakwa yake na sifa zake. Ndoa iliwekwa kwa watu ambao hawajawahi kugegedana... Mabikra hilo ndio sharti namba moja. Sasa wewe na mke mtarajiwa mlisha shindwa matakwa ya huko mnakotaka kwenda sii mnalazimisha mambo tuu na ndio maana ndoa nyingi hazidumu au ata kama zipi watu full kuchepuka.
Oow' kama ndo maisha uliyoyachagua then better for you mkuu.!
Ndo maana kila mmoja anapaswa apambane na khali yake, bila kusahau kuyaishi kwa dhati maisha aliyojiteulia.!!
 
Hello guys,

Kwa wale wenzangu na mimi tunasema TGIF..!!

Naomba kuzungumza na waliopo ndani ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Kwenye mahusiano hasa ya uchumba, kuna hii tabia ya ndugu zetu wa kiume kutumia nguvu kubwa mno kutu-impress ladies kwa mitoko ya gharama, zawadi za bei ghali, shoppings za hapa na pale bila kusahau adventures - wenyewe wanaita kutu 'spoil'.

Hell yeah! Tumeumbwa kuwa wapokeaji we can't say 'No' to such offers and, in a meantime, tutawakubali tutakuwa nanyi sababu hiyo ndiyo aina ya maisha mliyotuonyesha na kutuaminisha kuwa we can live that life happily ever after.

Haha, picha linaanza baada ya kuwa mwili mmoja, ukishakubali kuishi kwa shida na raha mpaka pale kifo kitakapowatenganisha, hapo ndo wakati pekee utaujua uhalisia wa maisha ya mwenza wako..!!

Unaanza kuona mwenza wako kabadilika; mbona hakujali kama alivyokuwa anafanya wakati wa uchumba? Kwanini kila unachomuomba anasema hana pesa..!?

Dear ladies, sikatai kweli wapo wanaobadilika ila pia asilimia kubwa ya wanaume wengi wanakuwa wana-fake uhalisia wa kipato chao, hivyo ukija jumlisha na majukumu ya familia za pande zote mbili ni lazima mambo upande wao yawe magumu mno..!

Dear brothers,
Tunapenda sana kuwa spoiled na ninyi, ila tafadhalini sana msiishi nje ya budget wala uwezo wenu, muoneshe mchumba wako uhalisia wa maisha yako kabla hajasema 'Yes I do'. Uwe na uhakika na amani moyoni kuwa amekubali kuwa na wewe kwa hali yoyote ile uliyokuwa nayo, hebu msitunishe misuli mpaka mkachana mashati..!

Na ni muhimu mfahamiane vizuri kabla ya kuishi pamoja. Lazima umjue mwenza wako vyema, is she a good saver? Are you an extremely spender? Do both of you believe in debts? Mna assets gani? Mna mipango gani kwenye maisha yenu na je, budget yenu itakidhi na kuyafikia malengo yenu mkianza kuishi pamoja kama familia? Wewe una mshahara na yeye ana mshahara that's good and okay, lakini ni lazima mliweke hili sawa kabla ya kuishi pamoja. 'Ni changu changu, chako chetu' ama '50 by 50'..!!

Na mliopo kwenye ndoa jitahidini sana kuliweka hili sawa baina yenu, jifunzeni kuwa 'open' and 'honest' kwa wenza wenu linapokuja suala la 'waleti' zenu, ukweli na uwazi wa kipato chenu ndiyo utajaojenga msingi bora wa kuimarisha muhimili wa maendeleo ya familia imara! And don't forget that 'marriage is forever..!!

Utachagua mwenyewe kuishi huru ama kuishi katika 'kifungo huru'..!

''Money is one of the biggest thing couples do always fight about'' - Cary Siegel..!!

Tafakarini hili na mchukue hatua stahiki, Blessed Weekend Dears..!!
Umeshafika moshi!??
 
Tatizo la watu wengi wanaitamani ndoa, lakini kiukhalisia hawapo tayari kuiishi hiyo ndoa, si wanaume wala wanawake.!! Kama ulivyosema wengi bado wanaishi kisela sababu maana khalisi ya ndoa imepotea imebaki fashion ya kuingia kwenye ndoa.
Sorry, umeolewa?
 
Hello guys,

Kwa wale wenzangu na mimi tunasema TGIF..!!

Naomba kuzungumza na waliopo ndani ya ndoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Kwenye mahusiano hasa ya uchumba, kuna hii tabia ya ndugu zetu wa kiume kutumia nguvu kubwa mno kutu-impress ladies kwa mitoko ya gharama, zawadi za bei ghali, shoppings za hapa na pale bila kusahau adventures - wenyewe wanaita kutu 'spoil'.

Hell yeah! Tumeumbwa kuwa wapokeaji we can't say 'No' to such offers and, in a meantime, tutawakubali tutakuwa nanyi sababu hiyo ndiyo aina ya maisha mliyotuonyesha na kutuaminisha kuwa we can live that life happily ever after.

Haha, picha linaanza baada ya kuwa mwili mmoja, ukishakubali kuishi kwa shida na raha mpaka pale kifo kitakapowatenganisha, hapo ndo wakati pekee utaujua uhalisia wa maisha ya mwenza wako..!!

Unaanza kuona mwenza wako kabadilika; mbona hakujali kama alivyokuwa anafanya wakati wa uchumba? Kwanini kila unachomuomba anasema hana pesa..!?

Dear ladies, sikatai kweli wapo wanaobadilika ila pia asilimia kubwa ya wanaume wengi wanakuwa wana-fake uhalisia wa kipato chao, hivyo ukija jumlisha na majukumu ya familia za pande zote mbili ni lazima mambo upande wao yawe magumu mno..!

Dear brothers,
Tunapenda sana kuwa spoiled na ninyi, ila tafadhalini sana msiishi nje ya budget wala uwezo wenu, muoneshe mchumba wako uhalisia wa maisha yako kabla hajasema 'Yes I do'. Uwe na uhakika na amani moyoni kuwa amekubali kuwa na wewe kwa hali yoyote ile uliyokuwa nayo, hebu msitunishe misuli mpaka mkachana mashati..!

Na ni muhimu mfahamiane vizuri kabla ya kuishi pamoja. Lazima umjue mwenza wako vyema, is she a good saver? Are you an extremely spender? Do both of you believe in debts? Mna assets gani? Mna mipango gani kwenye maisha yenu na je, budget yenu itakidhi na kuyafikia malengo yenu mkianza kuishi pamoja kama familia? Wewe una mshahara na yeye ana mshahara that's good and okay, lakini ni lazima mliweke hili sawa kabla ya kuishi pamoja. 'Ni changu changu, chako chetu' ama '50 by 50'..!!

Na mliopo kwenye ndoa jitahidini sana kuliweka hili sawa baina yenu, jifunzeni kuwa 'open' and 'honest' kwa wenza wenu linapokuja suala la 'waleti' zenu, ukweli na uwazi wa kipato chenu ndiyo utajaojenga msingi bora wa kuimarisha muhimili wa maendeleo ya familia imara! And don't forget that 'marriage is forever..!!

Utachagua mwenyewe kuishi huru ama kuishi katika 'kifungo huru'..!

''Money is one of the biggest thing couples do always fight about'' - Cary Siegel..!!

Tafakarini hili na mchukue hatua stahiki, Blessed Weekend Dears..!!
Maneno mazuri sana haya,naongezea,wanaume mara nyingi tunatumia msuli sana ili kuweza kuwin kwani mara nyingi unapoanza kumfuatilia msichana hauko peke yako,kwahiyo nguvu ya ushawishi ni muhimu sana,ukichukulia kuwa wanawake nao hawatafuti mahali palipo choka wanaangalia penye neema,cha muhimu wanawake nao wawe aware kuwa chochote kinaweza kutokea mnapoanza maisha ya ndoa,ile raha kabla ya ndoa ikaendelea au isiendelee,hii itasaidia kusijekutokea mifarakano baadaye...
 
Sasa kuchukua no ya simu tu kwa Binti tayari 10,000/= imecheua hapo kuna reality ya mahusiano kweli?

Sometimes gia tunazoingia nazo Wanaume kwenye mahusiano ndizo zinazotugharimu vibaya sana.

Gia bora za wakati wote ni kujenga mahusiano ya urafiki wa kawaida tu bila ya kutanguliza pesa na tamaa za ngono, kisha upendo utajijenga taratibu kwa kadri muda utavyozidi kwenda.
Haha.!!
Eti kujimwambafay,
Kuna wanaume wanajua kufake bwaana, wanaishi maisha magumu kwa kujitakia wakati wapo wanawake wanaopenda reality na nawaambia kila siku, mwanamke anayekupenda kwa dhati ni ngumu mno kukufanya sponsor!!
 
Hakuna kimada anayependa Mume wa Mtu sawa na mke wa ndoa, ni big NO.

Wanawake wengi wanaohangaika kwa waganga wa kienyeji ni hao hao vimada ili wawabadilishe waume za Watu akili wapendwe wao kwa dhati na wachukie wake zao.

Ndiyomaana walimbadili hata Suleiman akamuasi Mungu Muumba mbingu na nchi na kuabudu miungu.

Wanaume tumwombe sana Mungu atuepushe na tamaa za miili yetu tudumu na wake zetu pekee na tusipatwe na hili balaa.
Wanawake wengi wanaishi maisha magumu mno, ukilinganisha na ukhalisia wa vipato vya wenzi wao, ukilinganisha maisha ya mke wa ndoa na maisha ya kimada ni mbingu na ardhi.!!
Mungu awahurumie wanaume tu hakuna namna!!
 
Back
Top Bottom