Pesa ishavunja ndoa hapoJana nlipokua narudi geto ikiwa ni mida ya sa 2 usiku nasikia mtuu analia kwa sauti chumba cha jirani, nika mind my own business, nikapita mpaka kwangu thou mi ni mgeni hapa kwahyo skujua hasa kinachoendelea na ukizingatia walikwepo majirani nje wakiendelea na mishe zao, nkafungulia mziki sauti kubwaaaa(sipendagi kusikia mtu analia) baadaye natoka nje naona watu wamejazana na ilikuwa sa 3 hivi kisa ni ugomvi kati ya mume na mke, chanzo cha ugomvi ni mke kuchukua/kununua vyombo kwa mkopo bila kumtaarifu mume wake.
Jamaa anadai kuwa hizo pesa huyo mwanamke atazitoa wapi coz yeye(mwanaume) hakuwa na budget ya kununu vitu hivyo, Alafu mbaya zaidi jamaa anasema wakiwa wamekaa ghafla inaingia message ya m-pesa kwenye sim ya mke wake. Ugomvi ule ulipelekea mwanadada wa watu kufungasha vyake kurudi nyumbani kwao.
Mwisho wa story
@SweetieLee maana yangu ni kwamba, mahusiano ni kama mmea unaomea...Hapa ndipo mnapokosea.!!
Hebu jaribuni kuwa real, tutawaelewa na tutawapenda kama mlivyo.!
kusema la ukweli sijui niko na interest na kitu gani hasaHaha.!!
Siajakucheka hata.!!
Kimoja kilirudishwa tukawa 2-1..!!
Wewe huwa unafuatilia tu nini mkuu.!?
Nadhani baada ya ushindi ulikogea maziwa[emoji23][emoji23]Haha.!!
Siajakucheka hata.!!
Kimoja kilirudishwa tukawa 2-1..!!
Wewe huwa unafuatilia tu nini mkuu.!?
Kama nakuelewa vileeee...hayo ni sawa kabisa,tatzo linakuja pale umeshampata rasmi sasa na zile mitoko/zawadi umepunguza au umeacha kabsa maana si ushamzoea sasa mdada anaona u don't love her anymore kama mwanzon since ulimzoesha zawadi na mitoko kitu ambacho ni kizuri tu sana@SweetieLee maana yangu ni kwamba, mahusiano ni kama mmea unaomea...
Kama ambavyo ukuzaji wa mmea hupitia hatua mbalimbali tokea ukiwa mbegu, hatua hizo kwa kiasi fulani hushahabiana na mahusiano...
Kuna activities zile za awali hufanyika kwa nia njema tu ya kutaka kujuana zaidi, hivyo hufanyika kwa approaches kama hizo za mitoko, zawadi n.k
SweetieLee You nailed it Boss cute[emoji120][emoji120]. Ladies mkipay attention you can always notice who is fake. Most of time Vijana wanafake coz hajiamini vile alivyo. Point itabaki hivi "If you love her then be yourself, let her know the real you and she will make her mind".
Una akili wewe sana.Pesa zinatafutwa hapo la muhimu ni mapenzi ya dhati na kwenye ndoa naamini ni teamwork wote tupeane support
My point is wazazi wa mwanamke wasiweke kigezo za hela /gari/nyumba kua ndo main point na wasimdharau kijana kwa vile ana kazi ya kawaida so long as kijana ana pambana kujishughulisha maana ya mbeleni hayajulikan
So sad,material things inaharibu ndoa unless kama walikua na conflicts zingne huko tusizozijuaabsolutely,
Imeivunja vunja vipande hasa..!!
Kama nakuelewa vileeee...hayo ni sawa kabisa,tatzo linakuja pale umeshampata rasmi sasa na zile mitoko/zawadi umepunguza au umeacha kabsa maana si ushamzoea sasa mdada anaona u don't love her anymore kama mwanzon since ulimzoesha zawadi na mitoko kitu ambacho ni kizuri tu sana
Unajua tunatofautiana sana jins ya kuchkulia mambo,kuna mwingne atavutika na zawadi au hela unazompa means atapenda hela zako zaid kuliko ww n shida itakua hapo sasa
Japo kuna mwingine atakupenda kwa dhati kabsa hata hzo huduma zikipungua. Inahitaji busara sana wakati wa kuanzisha mahusiano kama unataka ya kudumu lakin
Kwel kabsa,n kama wote tukiwa real hata itapunguza migogoro kwenye ndoa maana unakua ushamzoea mtu wako tangia mko kwa mahusiano kwamba financial status yake ni ya kawaida so utampenda kwa jins alivyoNi kweli uliyoandika...
Wanafalsafa/saikolojia wa mahusiano huwa wanasema namna unavyojenga mahusiano awali kabisa ndivyo unaweza haribu au jenga zaidi mbeleni...
Mathalani, unapata mtu ako na mpenzi wake lakini hajawahi mtembeza kwa nduguze na wala hana time na nduguze...
Lakini wakishakuja oana mtu anaanza lalamika, mke au mume wangu hapendi ndugu zangu kabisa...
Ndivyo pia ipo katika suala hili lililopo mezani
Acha uwongo basi, unataka uninyime nini Mtoto wa Mwanamke mwenzio mimi? [emoji848]Ujumbe mzuri,, Wanandoa tumekuelewa..
I mean that if I stop giving a woman I have married good times such as taking her for dinners or other gifts and money services it doesn't mean direct that I have gone money caput and I don't have money to continue doing so. Sometimes it is because I no longer feel it is good to go out with her or provide her with money care as I did before we were married. And all these may be because the woman aka wife has failed to meet my love dreams/desiresI didn't get your point clearly Mr. profftobe 'it's a dream about a partner that changed'.. What did you mean?
Kuna mwanamke mmoja comment za juu hapo kasema wakati wa uchumba hajawa spoiled lakini anakula raha ndani ya ndoa.
Hatuwezi beba majukumu ya wazazi wakati wa uchumba, ndani ya ndoa wewe ni jukumu langu asilimia mia.
Sasa ndiyo kauliza mbona hao slay queens mnabeba majukumu ya wazazi wao??