interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
[emoji1787][emoji119][emoji8]Mimi nimeumbiwa kula, kulala, kutafuta pesa, kusikiliza miziki, kuimba na kusafiri mkuu
[emoji1787][emoji119][emoji8]Mimi nimeumbiwa kula, kulala, kutafuta pesa, kusikiliza miziki, kuimba na kusafiri mkuu
Mjini wamebaki wachache...Ndiyo mkuu,
Hao sasa ndo wanawake wa kuweka ndani. Sijui mnakwama wapi!
Yeah sitegemei kumuacha... Uzuri tunasaidiana ninapokwama ananisaidia.. kikubwa zaid ana kipato kuliko mie analipw mshahara almost 7mil per month... kaajiriw Mwaka janaMungu akubariki wewe uendelee kumthamini huyo dada, na huyo binti azidi kubarikiwa pia kwa upendo wa kipekee alionao juu yako.!!
Respect her, Cherish her and more importantly Lover her unconditionally she deserve it all.!!
Hahah okei okeeeeiChangamkia fursa sasa mkuu!!
Maana ndo zile za wahi nafasi ni chache.!
Yeah sitegemei kumuacha... Uzuri tunasaidiana ninapokwama ananisaidia.. kikubwa zaid ana kipato kuliko mie analipw mshahara almost 7mil per month... kaajiriw Mwaka jana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha.!!
Kuliko niogee maziwa badala ya kunywa si bora muninyonge..!!
Woow nmeipenda sana hii,seems mtakua mnaishi maisha ya amani na furaha sana kwenye familia yenuMimi mchumba wangu ambaye ndo mke wangu leo miaka hiyo tukitoka hata kama mimi ndo nimesema twende akifika eneo la tukio bills tunachanga. Na hata sasa tukiwa home mishahara yetu ni ya familia siyo mtu anamiliki kila kitu. Kuna mahali ambapo na onyesha kama mimi ndo baba wa familia. Surprise [emoji44] za Hapa na pale lakini we enjoy life.
Shida watu wengi wanaishi maisha ya kucopy maisha ya watu.
Kuna watu eti wanasema mimi kama mwanaume naweza mkopa mke wangu hela. Wakati jukumu ninalo fanya ni la familia. Hapana hela ni ya familia ninapokuwa na jukumu namweleza mke wangu nini nataka kufanya tunasaidiana kutafuta hela kwaajili ya hiyo project. Sijawahi kujuta kumpata mke wangu.
Huyu kweli mimi nilipewa na Mungu. Na those days nilikuwa nasali sana rozari nipate mke mwenye feature kama zake. Mungu alinipa nilichotaka.
Na ndipo wengi wanapoingiaga mkenge.Haha.!!
Ndo hapo atakapolia na kusaga meno.!!
Obviously watakuwa wana 1 na 2 so huo ugomvi umeenda tu kuongeza petrol kwenye moto! Hakuna kitu kigumu kama watu wawili wenye makuzi tofauti, misimamo tofauti, uwezo wa kufikiri tofauti, namna wana perceive mambo kwa utofauti uwaweke chumba kimoja halafu eti waishi kwa kuelewana, Ni ngumu mno!!So sad,material things inaharibu ndoa unless kama walikua na conflicts zingne huko tusizozijua
Yeah inawezekana kuna wengne nyuma ya pazia.... Ndoa ina changamoto sana ila mkiweza kusomana vzuri na mkapendana kwa dhati mnadumuObviously watakuwa wana 1 na 2 so huo ugomvi umeenda tu kuongeza petrol kwenye moto! Hakuna kitu kigumu kama watu wawili wenye makuzi tofauti, misimamo tofauti, uwezo wa kufikiri tofauti, namna wana perceive mambo kwa utofauti uwaweke chumba kimoja halafu eti waishi kwa kuelewana, Ni ngumu mno!!
Exactly, na mwanamke wa ukweli kwako hawazi hela zako Wala kuwa spoiled, atacheki tu Kama mnaekewana na mambo mengine ya hela anajua mtashirikiana kutafuta na ntapata nyingi.SweetieLee,
Nadhani umeongelea michepuko si wachumba! Hakuna mwanaume atakayefake kwa mchumba sana sana ataonesha hana kitu wakati anazo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera mwenye Ndoa yako, Ina miaka mingapi??
Mjini wamebaki wachache...
Hahahahaaa. Huyu wangu anasemaga hivyo pia. Eti mjini mwanamke kukataa matumizi aonyeshe marafiki zake baby wake ana hela ni nadra sana kukutana na mwanamke wa hivyo hasa wa muonekano kama wangu.
Wewe ni mwanamke mzuri sana, kila mwanaume aombe apate mwanamke wa aina yako naamini atauaga umaskini kabisa.! Barikiwa mumie.!
Kuna mwingine alipigwa chini kisa kumwambia jamaa ake hivo. Jamaa anachukulia kama manzi mjuaji and control freak kwa kumwambia hivo