Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,654
- 10,627
Kumbe na wewe una gariBwashee kama gari naweza iacha bar kama dhamana ya kreti mbili za bia tu kwa nini nione vigumu kuamini hao😅
Kumbe na wewe una gariBwashee kama gari naweza iacha bar kama dhamana ya kreti mbili za bia tu kwa nini nione vigumu kuamini hao😅
Gari ni kama hii simu yangu tu hapaKumbe na wewe una gari
Hakuna cha kuokota hapo bwashee, mwachi akizidi sana mafuta ya 30 elfu , labda ukaokote katoro bwashee 🤣Ngoja tumpambe ili tuokote
Umeingia chupa ya ngapi?Hakuna cha kuokota hapo bwashee, mwachi akizidi sana mafuta ya 30 elfu , labda ukaokote katoro bwashee 🤣
Now nabarikiwa na makali tu , oooooh hallelujah 😊Umeingia chupa ya ngapi?
Ooh Aimeen!🙏Now nabarikiwa na makali tu , oooooh hallelujah 😊
Halafu makali huwa hayana kelele kizungu sana🤔Ooh Aimeen!🙏
wala huwezi tishia mtu utampiga chupa! ni slow moves tu.. 😅Halafu makali huwa hayana kelele kizungu sana🤔
Bia nimeona kama miyeyusho, ila pombe kali, zina hekima kuu sanawala huwezi tishia mtu utampiga chupa! ni slow moves tu.. 😅
Sio zote baba hujakutana na gongo za shinyanga kumbe! kunywa JD,Jaggar,ballentins, vsop.. hei ugongwe b&w,hunting lodge,bacardi au captain.. haya kanywe kiwingu in the name of pombe kali!Bia nimeona kama miyeyusho, ila pombe kali, zina hekima kuu sana
Poa sana kakaNdio sisi bwashee, niaje lakin mwanangu?
Upo kimya sanaPoa sana kaka
Mwachi anataka kutufahamisha ana miliki usafiri na wala sio changamoto , kama una d mbili hii nyepesi sana bwashee [emoji1787]
Nipo kakaUpo kimya sana