Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,776
Sijawahi kufanikiwa na hii ajira portal hata mara moja halafu unakuta post uliyo omba inaendana kabisa na ulichosomaUpo sahihi kabisa, yani unakuta JD inaendana kabisa na elimu yako na unaweza kuomba hiyo kazi lakini ukijaribu kuomba inagoma.
Ndio inagoma kabisa yaani hapo wanaoset wanataka kama ni HR basi uwe umesomea HR otherwise huwezi kuomba hata kama umesomea kitu ambacho ni equivalentSijawahi kufanikiwa na hii ajira portal hata mara moja halafu unakuta post uliyo omba inaendana kabisa na ulichosoma
Unakuta labda kazi ni ya human resource lakini hata mtu wa public administration anaweza kuomba lakini system inakataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakataa mapema sana, mfano mtu aliesomea mechanical na Mechatronics hawatofautiani sana kwenye majukumu lakini mfumo hautaki haujasetiwa hivyoUpo sahihi kabisa, yani unakuta JD inaendana kabisa na elimu yako na unaweza kuomba hiyo kazi lakini ukijaribu kuomba inagoma.
Sasa shida unakuta kwenye tangazo kuna equivalent wanazitaja halafu kama upo kwenye kundi la equivalent system inakukataa mazimaNdio inagoma kabisa yaani hapo wanaoset wanataka kama ni HR basi uwe umesomea HR otherwise huwezi kuomba hata kama umesomea kitu ambacho ni equivalent
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu naomba kuuliza hivi wanaposema kwamba uattach verification certificate wanamaanisha nini???1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa.
2. Mfumo wa Ajira Portal hauruhusu mtu mwenye equivalent education ku apply hata kama tangazo litasema, kwa mfano mtu mwenye Degree ya Industrial Engineering kuna baadhi ya mambo mengi tu anaingiliana na mtu wa Mechanical Engineering lakini kama kwenye Ajira Portal imeandikwa ni Mechanical Engineering my dear yaani hata ufanyeje itakugomea, mtu wa Environmental Engineering kuna mambo anaingiliana na mtu wa Civil Engineering lakini kama haijamtaja mmoja wapo na imeandikwa tu "and equivalent" mfumo wa Ajira Portal unagoma.
Ushauri: Kuna baadhi ya kazi unakuta job description inaruhusu hata mtu mwenye fani zinazoendana kuomba hizo nafasi ombi langu kwa wahusika wajaribu kurekebisha baadhi ya mambo na pia kuzihusisha hata zile kozi zinazoendana kuweza kupata nafasi ya kuomba.
Alamsiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu waungwana wenzangu..
Nina takribani miaka mitatu sijaingia huku ajira portal, leo nimejaribu kuapply naambiwa application failed nicheki requirements. Wakiwa na maana kwamba sina sifa kwa hiyo nafasi iliyotangazwa, nimejaribu kama mara nne nafasi tofauti kote inagoma cha ajabu nafasi zote hizo sifa ya mwombaji wametaja moja tu ambayo ni bachelor degree tena na course yangu imetajwa.
Labda kuna mahali nakosea au kuna mabadiliko katika utumaji wa maombi, naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app