Changamoto ya Vyama vya Upinzani Afrika ya Mashariki

Changamoto ya Vyama vya Upinzani Afrika ya Mashariki

Situmii fake ID, jina hilo unaloona hapo ndio jina langu Alloyce, PR. hayo mengine nimefupisha, na hiyo sura ndio yangu uhalisia. Sasa kati yangu mimi na wewe unayejiita Zitto Junior na sura sijui ya nani, nani hapo mwenye fake ID?
Kama ni ID ya ukweli sasa jiwe gizani la nini? Si uje na hoja specific kuwa chadema au ACT wanakosea A or B sio kuongelea mambo ya kufikirika na kijumla jumla ili ukibanwa ukimbilie "sijataja chama". Such a cowardice move.
Mimi sijataja chama chochote cha siasa, na vyama vya upinzani nimetumia neno "baadhi" sasa sijajua nini kinakusumbua hapo mkuu, au ndio chama chako kipo kwenye baadhi?
Sababu vyama vya upinzani ndio vipi? Mfano UDA na ODM zilikua opposition ila kwa sasa ni de-facto chama tawala. Jubilee ilikua chama tawala ila kwa sasa ni upinzani kwahiyo analysis yako inakua haina maana kutenganisha chama tawala na upinzani wakati ni interchangeable.
Kingine nimezungumzia Afrika Mashariki, sijataja nchi yoyote hapo.
Na hapa ndio unapotosha zaidi, dynamics za Kenya au Uganda ni tofauti sana na Tanzania. Mfano kuna maeneo siasa zinatawaliwa kijeshi, wengine ukabila, na huku Tanzania ni vyama zaidi kuliko ukabila au dini. Sasa hauwezi ukawa na changamoto za upinzani zinazofanana ilihali chanzo cha hayo ni tofauti.
 
Situmii fake ID, jina hilo unaloona hapo ndio jina langu Alloyce, PR. hayo mengine nimefupisha, na hiyo sura ndio yangu uhalisia. Sasa kati yangu mimi na wewe unayejiita Zitto Junior na sura sijui ya nani, nani hapo mwenye fake ID?

Mimi sijataja chama chochote cha siasa, na vyama vya upinzani nimetumia neno "baadhi" sasa sijajua nini kinakusumbua hapo mkuu, au ndio chama chako kipo kwenye baadhi?

Kingine nimezungumzia Afrika Mashariki, sijataja nchi yoyote hapo.
Ungesema vyama Kwa ujumla ingekuwa poa,hata Hivyo tunapata madini udhaifu wa chama tawala!
 
Currently tu chadema ilipata hati safi kwa ukaguzi wa mahesabu ya 2024/25. Na miaka mingi imekua hivyo ila hawajawahi pata haki ya mashtaka

Hakuna michango imeliwa au kutokua accountable otherwise kwa jinsi CCM na msajili walivyoikamia chadema wangeshachukua ushahidi na kufungua kesi ya uhujumu uchumi. So hamna ushahidi zaidi ya maneno matupu, kama unao weka hapa.

Ripoti ya mwaka gani? Hapa tunaenda na facts sio propaganda.

Kama kitu gani hakina ushahidi? Mfano wamesema mafuta yana gharama sababu ya kuwepo tozo zaidi ya 20 kwenye lita moja ya petrol/diesel? Je ni uongo. Wamesema serikali imejaa ufisadi wakirejea ripoti ya CAG juu ya ufujaji wa fedha za umma huko halmashauri na wizarani, je ni uongo?. Watu kutekwa ni uongo? Umeona djumbe alivyoponea kutekwa majuzi tu. Tatizo hampendi kuambiwa ukweli.
Mimj nimekuuliza wewe matumizi ya join the chain na tone tone yalitumikaje/ yanatumikaje?

Ripoti zake za uwazi zipo wapi? Tuzisome na kusema kweli hawa accountability ni top?

Unaanza siasa kwa kuingiza wengine, si ndio mnasema wanaingilia mambo yenu ya ndani?

Chama kimejaa visingizio na shutuma zisizokuwa na ushahidi zaidi ya porojo tu.
 
Screenshot_20260404-111943~2.png
Screenshot_20260530-125738~2.png
 
Back
Top Bottom