Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu hiyo aliitoa alipoamua kuwa mwanasiasa wa upinzani. Ameongeza kuwa, kwa nchi nyingi za Afrika...
"Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi.
Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
Nawakumbusha kitu kimoja tu, and this is very important. Hata hao mnaojivunia , kuna wengi wao hawapendi haya maonevu yanayoendelea.
Naomba sana malaika awatokee mbadilike.....ukiangalia Aljazeera ukaona sufferings zinazoendelea dunia ya waarabu, especially Gaza, si vizuri kuendeleza haya...
Haya mambo utayapata africa tu
Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani.
Haya mambo kama huelewi ndio anayofanya samira watu wamehamasisha uwepo wa haki kwenye taifa wanaitwa waahini, watu wameenda mahakamani wanaitwa wafanya vurugu, watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.