Sahihi kabisa nchi za ulimwengu wa tatu sio Ke tu hata Me tunapitia msoto sio poa. Dola 4 ni kama 10k, hela nyingi sana kwa vipato vyetu tulio wengi.Kuna mzungu mwingine alisema hivyo hivyo, tena huyu alisema ana uzoefu na nchi nyingi masikini. Hali ndio hii huko kote.
Kwenye nchi masikini kama hizi zetu pesa lazima iabudiwe mkuu. Mtu atakayeweza kujitenga na pesa ni wa kipekee. Tena hawa vijana wadogo wenye matarijio makubwa uvumilivu unawashinda kabisa.
Sasa hivi wastani wa umasikini sio chini ya $1 ni $4, ni wangapi wanaishi juu ya $4 kwa siku? Maji hayapo shingoni yapo puani siku hizi. Jua ni kali mno.
Ntumie kabisa ndio uniignore 😁Nikiona mwanamke yeyote anaomba omba huyo najua hana value yeyote kwangu nampiga bloku kabisa na hata hapa wapo wananjijua wote nimewaweka ignore list
Wamekua na matamanio mengi sana zaidi ya vipato vyaoTena unashangaa mpaka wadada waliokuwa na kazi zao nao et wanaomba omba ukijakuangalia ni tabia sasa imeshajengeka
Bar ndio balaa. Hauwezi kukesha viwanja bila kuombwa bia. Halafu ni kama wananusa mfukoni kuna nini. Siku ukiwa na hela nyingi mfukoni wanakuja kama nyukiWengi wanaingia na gia ya kuomba nauri.
Wengine huja na style ya "kaka samahani sijala toka asubuhi naomba unisaidie buku nipate chakula".
Hua nawabless tu ila najua wanakua kazini.
Aisee.! Utafiti wako naona umechimba ndani zaidi🚨Bila kusahau,,,,,OMBAOMBA WENGI KAMA SIO WOTE, HAWANA BIKRA YA NYUMA!!!
Masimp ni sehemu ya tatizoukiangalia kwa mapana unakuja kuona kuwa wanaume mazoba, MASIMP ndiyo yametufikisha hapa.
Wanaume wanaohonga wanawake ili wapendwe ndio wanakuza SOKO LA WANAWAKE OMBAOMBA.
Kuna wanawake kwasababu ya makebo au nyuso zao plus karangi kanaita basi hawa mbuzi hawataki kabisa kujishughulisha wao wanaona kumiliki uzuri plus K wanaona ndio mtaji wa kula hela za WANAUME WAPUMBAVU MASKINI WA AKILI.
AINA YA WANAUME WAPUMBAVU;
1.MADOMO ZEGE(HAWA HUTANGULIZA PESA MBELE)
2.MABISHOO ( HAWA HUTANGULIZA MBELE PESA ILI MRADI TU WAMILIKI PISI KALI WATAMBE MJINI)
3.WANAOPATA PESA KWA NJIA ZISIZO HALALI(HAWA HAWAONI SHIDA KUTUMIA PESA NYINGI KWA MWANAMKE BILA SABABU KWAKUWA HAWANA UHAKIKA NA FUTURE YAO)
4.WALIOKATA TAMAA ILA WANAPESA ( UNAKUTA JITU LISHAJIJUA LIMEWAKA LINA NGOMA) HAWA HAWANA CHA KUPOTEZA WANAPONDA MALI KIFO CHAJA.ATAHONGA PESA YOYOTE ILI AENDELEE KULA PISI KALI.
Mtu mzima bora uombe kazi utaeleweka. Lakini kuomba hela tena mara kwa mara sio kitu kizuriMimi na allergie na wanawake omba omba.
Yaani, ukiomba omba Huwa natabia za kuto kukupa pesa.
Bora pesa nikupe mwenyewe kwa utashi wangu.
Ukiomba omba Huwa nageukaga like lijamaa la kwenye muvii ya SOLO
NB. UMASKINI NI LAANA
Wazazi nao hawawajibiki ipasavyo. Unakuta anaona binti yake anabadilisha mitindo ya kusuka na fashion za nguo wakati hajatoa hela yeye. Lakini anashindwa hata kumuhoji binti yake hela anatoa wapiHapa mjini kati ma Binti wanaomba pesa za nauli mpaka unashangaa, Maisha ni magumu sana jamani,
Tutumie uzazi wa mpango
Baki na hela zako na wao wabaki na utelezi wao.Changamoto ya ombaomba ina historia pana nchini mwetu. Ilishawahi kuwa maarufu sana mjini. Wahenga wenzangu nafikiri mnamkumbuka legend mmoja hivi anaitwa Matonya. Alikua ombaomba maarufu mpaka kufikia hatua ya ombaomba wote kuitwa Matonya. Serikali ilichukua hatua kudhiti hili suala kwa kuwarudisha hawa ombaomba mikoani kwao.
Kwa sasa kuna kundi jipya la ombaomba limeibuka kwa kasi, nalo ni mabinti na wanawake. Wakati zamani tulishazoea kuona ombaomba ni walemavu na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kwa sasa ombaomba ni mabinti wanaoishi na wazazi wao pamoja na wanawake watu wazima wenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya shughuli za uzalishaji.
Katika mahusiano hali imekua mbaya kufikia hatua imekua ngumu hata kuanzisha mahusiano ya maana. Utakamsalimia mwanamke na kubadilishana mawasiliano tu. Kuanzia hapo ni kama ume-adopt mtoto yatima. Utavulumushiwa mizinga kama zile ballistic missile za Iran zilizokua zinapiga Israel. Mpaka unaanza kujiuliza huyu mtu hana wazazi au ndugu? Alikua anasihi vipi kama hatujakutana?
Sisi wenyewe tunaweza tukachukulia hali ya kawaida na tukakubali kuishi nayo, lakini hii trend ya wakina dada kuombaomba imeanza kuvuka mipaka ya nchi. Kuna interview ilisambaa siku za hapa karibuni mzungu anawashutumu dada zetu ni ombaomba.
Nilishawahi kukutana na wazungu club ya warm up, mkoani Iringa. katika mazungumzo ya hapa na pale walisema dada zetu ni ombaomba. Nina rafiki yangu wa utotoni ni mtu wa Botswana, alikuja Tanzania kunitembelea mwaka jana akakaa nyumbani kwangu wiki moja. Katika mazungumzo yetu alisema dada zetu ni ombaomba.
Kwa kifupi mwanaume yoyote ambae ni raia wa kigeni ana uzoefu wa interactions na hawa dada zetu. Ukipiga nae story lazima suala la kuombaomba litajwe. Siku sio nyingi tutaanza kujulikana kama "taifa la wanawake ombaomba" , ni aibu
Ombaomba hawa wamefika mbali kwa kufikiri kwamba ni haki yao kupewa. Ni kama kuna fikra zimepandikizwa vichwani mwao kwamba jinsia yao ni nyenzo ya kupewa hela za bure. Mtu hajakufanyia kazi yoyote, hajakusaidia kutafuta, out of nothing anajiona ana haki ya kupata gawio kwenye hela yako kwa sababu tu yeye ni mwanamke. This is very disgusting.
Imefika hatua madogo wa kiume wanaona ni bora kununua kuliko kuanzisha na ku-maintain mahusiano. Hali ilipofikia kwa sasa kuwa boyfriend ni expensive zaidi ya kuwa mzazi.
Somewhere somehow lazima kitu kifanyike. Especially kwa wazazi wa watoto wa kike. Tuzingatie malezi tunayowapa mabinti zetu. Kuombaomba ni fedhea, na hakuna ombaomba anaeheshimika.
Ombaomba hawa bila shaka hata hapa jf wapo. Ukisoma comment zao utawajua tu. Ukweli huwa unauma
Upande wa jinsia me bado haijawa epidemic ukilinganisha na jinsia ke. Mfano uende bar ni nadra sana mwanaume kukuomba umnunulie biaMbali na wanawake anbao ni omba omba, ila wanaume ni wengi omba omba wengine na nguvu zao
Kwamba alipie kuku-ignoreNtumie kabisa ndio uniignore 😁