Changamoto ya dada zetu kuwa ombaomba mtaani

Changamoto ya dada zetu kuwa ombaomba mtaani

Baki na hela zako na wao wabaki na utelezi wao.
Sio kila anaeomba lengo linakua ni kucharge huduma ya sex. Mwingine umekutana nae restaurant, kwa sababu tu anakujua anaonba umnunulie chipsi. Sasa asingekutana na wewe angeshinda njaa?
 
Nilishawahi kukutana na wazungu club ya warm up, mkoani Iringa. katika mazungumzo ya hapa na pale walisema dada zetu ni ombaomba. Nina rafiki yangu wa utotoni ni mtu wa Botswana, alikuja Tanzania kunitembelea mwaka jana akakaa nyumbani kwangu wiki moja. Katika mazungumzo yetu alisema dada zetu ni ombaomba.
Hilo swala la wadada kuomba sana hela kwa wanaume halipo Africa tu, ukiingia mtandaoni hata USA, na china wanaume pia wanalalamika kupigwa vizinga na wadada tena wazungu wenzao

Side effects ya hio tabia ni kua imeua potential relationships nyingi, unakuta mdada mzuri tu yupo over 30 hajaolewa na hana mahusiano serious, ukimchunguza unagundua moja ya sababu iliomfanya asiolewe ni kupiga vizinga wanaume, wanaume wanaishia kumkimbia Natafuta Ajira
 
Basi huku tumezidisha maana kama watu wa mataifa mengine wanashangaa maana yake uko kwao hiyo tabia hawakutani nayo mara kwa mara
 
Inasemekana madem wenye makalio wanaotingisha hko mtandani,dm utasikia tuma 5000 ya bando

Ova
Mnaanzia wapi mpaka anakuambia umtumie 5000 ya bando. Binafsi wadada kama hao nawadharau hata kuwafuata inbox siwezi
 
Back
Top Bottom