Ligaba
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,071
- 2,889
Kwani Obama akijipaka masizi kama mchawi kuna tatizo? Unataka mvua ifanane na jua kuunguza?hata mimi najiuliza hivi akiwa smart na akatinga suti kama obama uchawi utagoma?
Kwani Obama akijipaka masizi kama mchawi kuna tatizo? Unataka mvua ifanane na jua kuunguza?hata mimi najiuliza hivi akiwa smart na akatinga suti kama obama uchawi utagoma?
Utajiri wa mchawi sio material worldHivi mchawi na mganga wakivaa suti kuna shida gani badala ya kujichafua namba ile. Na je wakiishi nyumba za kisasa na kuwa na nagari kuna ubaya gani?
mkuu ww n member wa MRI?
Kwani Obama akijipaka masizi kama mchawi kuna tatizo? Unataka mvua ifanane na jua kuunguza?
Faida yake ni pale target inapopata madharaUwekezaji wote huo, una faida gani kwake?
nakazia
Mshana jr.mchawi akivaa suti na ndiga kali akaachana na ungo halogi au.
kwann sura nying za wachawi znatisha san wakati kuna vitu vya kuwafanya wawe wazurii tu.
Asante Ex Witch "retired" sasa tuambie nini kina kulinda hapo sababu wale
KristoAsante Ex Witch "retired" sasa tuambie nini kina kulinda hapo sababu wale
Embu fanya kutuwekea na kapicha kabei ka kila kimoja kifaa cha kulogea hili tuwaraisishie ndugu zetu wa kupaa wajue bei husika
Nipo mbona ...anko nitakosaje hapa kwa mfanoAnko mshana Jr njoo uzibitishe haya[emoji124][emoji124]
sikukuona anko! Vp anayo yaongea huyu niyakwel? maana wewe pekee Anko ndio mchaw ninae kwamin hapa JFNipo mbona ...anko nitakosaje hapa kwa mfano
Fuatilia tangu mwanzo wa mada nimeandika sana ankosikukuona anko! Vp anayo yaongea huyu niyakwel? maana wewe pekee Anko ndio mchaw ninae kwamin hapa JF
sawa ankoFuatilia tangu mwanzo wa mada nimeandika sana anko