Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Mkuu acha kuingilia fani za watu,mchawi ni tasisi kubwa kama ilivyo kwa taasisi za serikali,

Eti akitaka kukuloga hadi akanunue vitu,are you sure?

Story za vijiweni mbaya sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Yuko sahihi mkuu wanapata tabu sana kuroga watu haswa mtu anapokuwa yuko vizuri wanasafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwengine kuongeza nguvu na kununua uchawi mpya na kununua vifaa ili lengo lao lifanikiwe
 
Uzi mfupi**

Wachawi wanapatia changamoto nying wanapotaka kukuroga, kwanza inabidi atafute pesa ya kununulia Vifaa Vya kazi
Kununua Vifaa Vya kazi ni gharama kubwa na Muda mwingine itamlazimu kusafiri ata nje ya Mkoa ili akanunua kifaa icho cha kukurogea

Kwa mfano Kuna uchawi mwingine ili ufanyike mchawi ataitaji maji ya maiti
upatikanaji wa maji ya maiti ni mgumu sana,

Yani inabidi uwe na koneksheni ya kufa mtu ili upate maji ya maiti na maana muda mwingine unaweza uziwa maji feki
Kwaiyo katika hali kama iyo mchawi inabidi atoe pesa ndefu ili kufanikiwa

Mchawi ni mtu mbishi sana yana hakubali kushindwa kabisa
Kitu ambacho kinamuumiza sana mchawi ni pale anapotumia nguvu nying kukuroga alafu ww unaleta dharau

Yani yeye anapokuroga anataka kuona matokeo yani anataka kukuona umepaniki
Mchawi Anaskia raha sana pale anapoona kwamba umepaniki alafu umekimbilia kwa mganga

Changamoto kubwa kwa mchawi ni kuona kwamba badala ya kupaniki lakini ww ukamua kufanya ibada yan ukasimama na MUNGU
Mda mwingine mchawi inabidi akijifunze teknolojia ambayo itamsaidia kukuroga

Hapa inabid aende kozi iyo maalumu na inabidi alipie pesa kwa ajili ya kupata utaalamu
Upatikanaji wa Vifaa Vya kurogea imekuwa changamoto kubwa kwa Wachawi

Maana katika maduka ya kawaida ya asili havipatikani
Madalali wanaouza Vifaa Vya kurogea wamekuwa wakiwauzia wachaw Vifaa ivyo kwa bei juu sana

Kwa mfano mchawi ili aingie kwako lazima awe na testa ili aone kama kuna mtego au hamna
Testa ya kichawi inauzwa bei juu sana maana bila ya testa unaweza jikuta unaingia mtegoni

Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini

Mara nyingine mchawi anajikuta anamadeni mengi sababu anataka afanikiwe kukuroga
Akishakuroga itambidi afatilie mara kwa mara maendeleo yako ili aone kama uchawi unafanya kazi

Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows

AsanteniView attachment 1495584
Ufipa mtu wenu huyu
 
Unafikiri kuna kazi isio hitaki vifaa???
Yeye hadi kujiita mchawi jua tayar nyenzo anazo, kuongezea moja haoni tabu.
 
nakazia
Mshana jr.mchawi akivaa suti na ndiga kali akaachana na ungo halogi au.
kwann sura nying za wachawi znatisha san wakati kuna vitu vya kuwafanya wawe wazurii tu.
 
Hivi inakuwaje mlozi anaroga hadi mtoto wake wa kumzaa, hapo ndo niliona hayo ni ma-mtu ya hovyo. Ila ukiamini katika Mungu Mwenyezi hayo machawi wala hayakunyimi usingizi, unakuwa na amani kabisa...
 
Ndo maana nikifa nilishasema sitaki nipelekwe mochwari, acha nizikwe juu kwa juu Mshana Jr note my words
Duu usiogope mkuu,wewe Nenea mwili wako kwa maombi ya damu ya Yesu na ukisema inakuwa.Tunaamini Sisi tumeumbwa kwa mfano wake na kupewa pumu na Mungu so chochote ukisema kwa kumaanisha kinakuwa.Anza kutest vitu vidogo vidogo ukiona inafanya kazi basi Nenea mwili wako usiguswe na kitu chochote cha kishirikina
 
Uzi mfupi**

Wachawi wanapatia changamoto nying wanapotaka kukuroga, kwanza inabidi atafute pesa ya kununulia Vifaa Vya kazi
Kununua Vifaa Vya kazi ni gharama kubwa na Muda mwingine itamlazimu kusafiri ata nje ya Mkoa ili akanunua kifaa icho cha kukurogea

Kwa mfano Kuna uchawi mwingine ili ufanyike mchawi ataitaji maji ya maiti
upatikanaji wa maji ya maiti ni mgumu sana,

Yani inabidi uwe na koneksheni ya kufa mtu ili upate maji ya maiti na maana muda mwingine unaweza uziwa maji feki
Kwaiyo katika hali kama iyo mchawi inabidi atoe pesa ndefu ili kufanikiwa

Mchawi ni mtu mbishi sana yana hakubali kushindwa kabisa
Kitu ambacho kinamuumiza sana mchawi ni pale anapotumia nguvu nying kukuroga alafu ww unaleta dharau

Yani yeye anapokuroga anataka kuona matokeo yani anataka kukuona umepaniki
Mchawi Anaskia raha sana pale anapoona kwamba umepaniki alafu umekimbilia kwa mganga

Changamoto kubwa kwa mchawi ni kuona kwamba badala ya kupaniki lakini ww ukamua kufanya ibada yan ukasimama na MUNGU
Mda mwingine mchawi inabidi akijifunze teknolojia ambayo itamsaidia kukuroga

Hapa inabid aende kozi iyo maalumu na inabidi alipie pesa kwa ajili ya kupata utaalamu
Upatikanaji wa Vifaa Vya kurogea imekuwa changamoto kubwa kwa Wachawi

Maana katika maduka ya kawaida ya asili havipatikani
Madalali wanaouza Vifaa Vya kurogea wamekuwa wakiwauzia wachaw Vifaa ivyo kwa bei juu sana

Kwa mfano mchawi ili aingie kwako lazima awe na testa ili aone kama kuna mtego au hamna
Testa ya kichawi inauzwa bei juu sana maana bila ya testa unaweza jikuta unaingia mtegoni

Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini

Mara nyingine mchawi anajikuta anamadeni mengi sababu anataka afanikiwe kukuroga
Akishakuroga itambidi afatilie mara kwa mara maendeleo yako ili aone kama uchawi unafanya kazi

Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows

AsanteniView attachment 1495584

Halafu utasikia eti; "Mpe mchawi alee mwanao".🤣

Over my dead body.
 
Muda mwingine inabidi afavjnye update yani kama vile Ana update windows

AsanteniView attachment 1495584
Utapeli tu.
Uchawi upo, lakini liite Jina lipitalo majina yote, Yesu Kristo, na utaona hao wachawi wanavyo kimbia kama hawana akili nzuri.
 
Hahahah ni taasisi ile, tena kubwa tu.

Humu si sehemu salama....

Sa mtu anakuambia hao wana Serikali unaona dogo Hilo?!!!
Yaani rais wao ana watu wanaomzunguka walioshiba,mikononi mibunduki km ile ya wale makiriri na motorcades za ving'ora huku na kule loooh
 
Mkuu, usingizi umenishika sijui..naona nyota nyota tu sijaelewa.
 
Afrika sisi yaani bado sana. Wenzetu walivuka hii steji zamani karne sijui ya ngapi huko na sasa wamebaki kufanya haya mambo kama hobby tu ya watu wachache wachache na vi society na vi cult vyao huko lakini sisi kabisa kabisa ndiyo mfumo unaoendesha maisha ya jamii. Bado saaana !!!

Lakini si wanasema kwamba Africans are the Original people of the Earth? 🤔 how come wazungu walifanya uchawi kabla yetu 😂😂
 
Umesahau kugusia kitu muhimu kwamba Pesa za Kichawi hazifanyi kazi kwenye Maisha yetu ya kawaida.....

Unaweza Kuta Binti mdogo mchawi, ana pesa za Kichawi 10 millions, but katika Maisha ya Kawaida hana hata 10,000 .....
 
Back
Top Bottom