Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Kwa huku vijijini maji yanapatikana kiulaiinii sanaa maana waosha maiti ndio wazee wa system wenyewe.
Yaani kama anauhitaji atafanya juu chini awe miongoni wa waoshaji.
Ila ni kweli huwa hawakati tamaa hii jamii sijui wameapaga vipi huko kwenye madhabau zao maana wanasahau kabisaa kwamba Mungu ndiye muamuzi wa mwisho.
 
Uzi mfupi**

Wachawi wanapatia changamoto nying wanapotaka kukuroga, kwanza inabidi atafute pesa ya kununulia Vifaa Vya kazi
Kununua Vifaa Vya kazi ni gharama kubwa na Muda mwingine itamlazimu kusafiri ata nje ya Mkoa ili akanunua kifaa icho cha kukurogea

Kwa mfano Kuna uchawi mwingine ili ufanyike mchawi ataitaji maji ya maiti
upatikanaji wa maji ya maiti ni mgumu sana,

Yani inabidi uwe na koneksheni ya kufa mtu ili upate maji ya maiti na maana muda mwingine unaweza uziwa maji feki
Kwaiyo katika hali kama iyo mchawi inabidi atoe pesa ndefu ili kufanikiwa

Mchawi ni mtu mbishi sana yana hakubali kushindwa kabisa
Kitu ambacho kinamuumiza sana mchawi ni pale anapotumia nguvu nying kukuroga alafu ww unaleta dharau

Yani yeye anapokuroga anataka kuona matokeo yani anataka kukuona umepaniki
Mchawi Anaskia raha sana pale anapoona kwamba umepaniki alafu umekimbilia kwa mganga

Changamoto kubwa kwa mchawi ni kuona kwamba badala ya kupaniki lakini ww ukamua kufanya ibada yan ukasimama na MUNGU
Mda mwingine mchawi inabidi akijifunze teknolojia ambayo itamsaidia kukuroga

Hapa inabid aende kozi iyo maalumu na inabidi alipie pesa kwa ajili ya kupata utaalamu
Upatikanaji wa Vifaa Vya kurogea imekuwa changamoto kubwa kwa Wachawi

Maana katika maduka ya kawaida ya asili havipatikani
Madalali wanaouza Vifaa Vya kurogea wamekuwa wakiwauzia wachaw Vifaa ivyo kwa bei juu sana

Kwa mfano mchawi ili aingie kwako lazima awe na testa ili aone kama kuna mtego au hamna
Testa ya kichawi inauzwa bei juu sana maana bila ya testa unaweza jikuta unaingia mtegoni

Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini

Mara nyingine mchawi anajikuta anamadeni mengi sababu anataka afanikiwe kukuroga
Akishakuroga itambidi afatilie mara kwa mara maendeleo yako ili aone kama uchawi unafanya kazi

Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows

AsanteniView attachment 1495584
Ndugu namvumi king kwenye hili andiko lako kama ni lako kweli basi umepotosha mambo mengi sana..aidha kwa kujua ama kutojua
Kwanza na declare interest...MIMI NI MCHAWI tena ni mchawi by professional...na katika maisha yangu nimefanya sana ushirikina(uchawi + uganga) sasa hivi sifanyi tena na unaweza kuniita mstaafu nakula pensheni

Mchawi hana changamoto ya pesa hata mara moja kwakuwa kabla ya kufikia kuwa mchawi ni lazima ufaulu kozi ya kuwa mwanga..hii ndio basic ambapo kazi yake kubwa ni kuweza kuingia mahali na kutoka bila wahusika kujua
Ukishafaulu hapo ndio sasa unaingia hatua ya pili nayo ni uwezo wa kuchukua utakacho bila kustukiwa...kwahiyo ishu ya ukata wa fedha hapa haipo
Mchawi hana faida wala matumizi na fedha kwakuwa anapata akitakacho at a click bila kutumia fedha
Wale wa chumaulete ni wanafunzi wa uchawi ndio maana huwa wanafanyia mtaani kwao kwa watu wanaowafahamu

Mchawi kama mchawi hana matumizi na malighafi kama maji ya maiti ...hiki ni kitendea kazi cha mhitaji kwenye shughuli maalum na hiki hakipatikani kwa njia ya uchawi lazima kiwe fresh

Pesa wanazotoza waganga ni kwa ajili ya kiingilio cha madhabahu za giza (nitaweka link ya post) na commitment binafsi kuwa unakubali kufanya hayo utakayo na yatakayofanyika
Wachawi kati ya vitu wanavyoogopa sana ni Jina la Yesu, vitu vya ugwadu na chumvi...[nitaendelea]

Kwa mfano Kuna uchawi mwingine ili ufanyike mchawi ataitaji maji ya maiti
upatikanaji wa maji ya maiti ni mgumu sana,

Yani inabidi uwe na koneksheni ya kufa mtu ili upate maji ya maiti na maana muda mwingine unaweza uziwa maji feki
Kwaiyo katika hali kama iyo mchawi inabidi atoe pesa ndefu ili kufanikiwa
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Maji ya maiti sio ishu kwa mchawi kwakuwa kila mmoja ni expert kwenye eneo lake...ni kama dhahabu feki tu ...mtaalam huwezi kumpiga
Wanaopigwa ni malayman ...kwa mfano bei ya kulangua kabisa kwa nusu lita ni laki 2 lakini wanasiasa wanapigwa mpaka milion na wanatoa
 
Mchawi ni mtu mbishi sana yana hakubali kushindwa kabisa
Kitu ambacho kinamuumiza sana mchawi ni pale anapotumia nguvu nying kukuroga alafu ww unaleta dharau[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Huyo ni mwanafunzi wa uchawi...mchawi halisi pigo lake ni moja tuu...na hakuletei shambulizi bila kukufanyia screening kwanza
 
Changamoto kubwa kwa mchawi ni kuona kwamba badala ya kupaniki lakini ww ukamua kufanya ibada yan ukasimama na MUNGU
Mda mwingine mchawi inabidi akijifunze teknolojia ambayo itamsaidia kukuroga[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Kusimama na Mungu sio kazi rahisi kama unavyodhani
Ndio maana hata viongozi wa dini ni washirikina
Ndio maana watu wanaingia nyumba za ibada na hirizi maungoni
Ndio maana watu wanamsali Mungu lakini hawaachi kwenda kwenye uganga
 
Hapa inabid aende kozi iyo maalumu na inabidi alipie pesa kwa ajili ya kupata utaalamu
Upatikanaji wa Vifaa Vya kurogea imekuwa changamoto kubwa kwa Wachawi

Maana katika maduka ya kawaida ya asili havipatikani
Madalali wanaouza Vifaa Vya kurogea wamekuwa wakiwauzia wachaw Vifaa ivyo kwa bei juu sana[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Mmh hapa ndio umedanganya kabisa....ukishaingia daraja la kwanza la ushirikina huna tatizo tena la kupata malighafi ambayo kwa sehemu kubwa huwa ni damu....
Hayo maduka ya kuuza vifaa vya kurogea[emoji23][emoji23][emoji23] ni utapeli mtupu na ujanja wa watoto wa mjini wanaoshirikiana na waganga feki kupiga hela ...vitu kama nyuzi ,kaniki, vitambaa vya rangi tepe nk vinapatikana kwenye maduka ya kawaida
 
Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Hizi ni ajali za kawaida na hii mitego iko popote
Mchawi hatumii pesa kupata malighafi
 
Mara nyingine mchawi anajikuta anamadeni mengi sababu anataka afanikiwe kukuroga
Akishakuroga itambidi afatilie mara kwa mara maendeleo yako ili aone kama uchawi unafanya kazi
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Mchawi hana deni la fedha hata siku moja...deni la mchawi ni nyama ya mtu na damu yake...hasa wana ndugu au familia
 
Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Updates za kichawi ni kafara la damu na halifanyiki kiholela ...ni kila mwaka mara moja au mbili
Usipotoa kafara unnajiweka kwenye risk ya kupungukiwa na nguvu na uwezo wa kutenda kichawi ama kujikinga na kujilinda
 
Ndugu namvumi king kwenye hili andiko lako kama ni lako kweli basi umepotosha mambo mengi sana..aidha kwa kujua ama kutojua
Kwanza na declare interest...MIMI NI MCHAWI tena ni mchawi by professional...na katika maisha yangu nimefanya sana ushirikina(uchawi + uganga) sasa hivi sifanyi tena na unaweza kuniita mstaafu nakula pensheni

Mchawi hana changamoto ya pesa hata mara moja kwakuwa kabla ya kufikia kuwa mchawi ni lazima ufaulu kozi ya kuwa mwanga..hii ndio basic ambapo kazi yake kubwa ni kuweza kuingia mahali na kutoka bila wahusika kujua
Ukishafaulu hapo ndio sasa unaingia hatua ya pili nayo ni uwezo wa kuchukua utakacho bila kustukiwa...kwahiyo ishu ya ukata wa fedha hapa haipo
Mchawi hana faida wala matumizi na fedha kwakuwa anapata akitakacho at a click bila kutumia fedha
Wale wa chumaulete ni wanafunzi wa uchawi ndio maana huwa wanafanyia mtaani kwao kwa watu wanaowafahamu

Mchawi kama mchawi hana matumizi na malighafi kama maji ya maiti ...hiki ni kitendea kazi cha mhitaji kwenye shughuli maalum na hiki hakipatikani kwa njia ya uchawi lazima kiwe fresh

Pesa wanazotoza waganga ni kwa ajili ya kiingilio cha madhabahu za giza (nitaweka link ya post) na commitment binafsi kuwa unakubali kufanya hayo utakayo na yatakayofanyika
Wachawi kati ya vitu wanavyoogopa sana ni Jina la Yesu, vitu vya ugwadu na chumvi...[nitaendelea]

Umbuje Kwani huwa inawezekana mtu kuwa mchawi au mganga wa kienyeji kisha akaweza kuacha bila kupata madhara yatokanayo na visasi vya kimaagano?

Manake nasikia huwa watatishiwa kuuawa!

Naonaga wale wachache sana ambao hujisalimisha kwa wachungaji kwa kupeleka matunguri yao ya uchawi kuchomwa!

Naomba ufafanuzi tafadhali
 
Pia nasikia mchawi lazima akujue vizuri chimbuko lako kuanzia jina lako la wazazi,ukoo unaotoka,kabila lako,ulizaliwa wapi,unapendelea kufanyanini,unakaa wapi,hobi yako Nini n.k,kifupi ni lazima akuspy na kukuchunguza kwanza.
 
Umbuje Kwani huwa inawezekana mtu kuwa mchawi au mganga wa kienyeji kisha akaweza kuacha bila kupata madhara yatokanayo na visasi vya kimaagano?

Manake nasikia huwa watatishiwa kuuawa!

Naonaga wale wachache sana ambao hujisalimisha kwa wachungaji kwa kupeleka matunguri yao ya uchawi kuchomwa!

Naomba ufafanuzi tafadhali
Mshirikina halisi haachi...wachawi hawa wepesi ndio huacha na kubaki salama
 
Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Updates za kichawi ni kafara la damu na halifanyiki kiholela ...ni kila mwaka mara moja au mbili
Usipotoa kafara unnajiweka kwenye risk ya kupungukiwa na nguvu na uwezo wa kutenda kichawi ama kujikinga na kujilinda
Kwa hio hapa na wewe uliwahi kufanya hivyo kwa watu wenye nasaba na wewe. Vipi kwa Sasa unajisikiaje ndani ya dhamiri Kama uliwahi kufanya.
 
Back
Top Bottom