Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Uchawi na ushirikina ni kitu kibaya sana na ni laana inayokula kizazi cha mchawi toka kizazi hadi kizazi na malipizi yake hayakwepeki
 
Biblia takatifu imesisitiza mchawi asiachwe kuishi inampasa kuuawa!

Inamaana Mungu hadi anaruhusu hivyo ni kwamba anajua jinsi mchawi alivyomharibifu wa maisha ya watu .

Hata wale wanaoua wazee kule shinyanga wanatimiza maandiko Matakatifu ili mradi wawe wamethibitisha kuwa mtu ni mchawi kweli pasipo kumuonea.
 
hata mimi nimecheka pale aliposema wachawi wanakwenda kupata training za kuji update kama watu wa IT/programming.
Na pia alinichekesha pale aliposema kuna vifaa vingine huwezi kuvipata hadi uwe na connection,na lazima uwe na tester kabla ya kwenda kuroga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila jamaa vitu alivyoviandika ni vya ukweli,kuna majirani zetu uswahilini ni wachawi wana hizo tabia zote jamaa alizozitaja
Wako na tester pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wako na tester pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
ndio wako na tester.
Mimi huwa nikilala usiku huwa wanakuja basi cha ajabu nikianza kufungua tu macho nawaona wamekaa mbali mita 100 kisha wanaruka na kupotea,kwa hiyo huwa nashindwa kuzitambua sura zao
 
Kweli tangu vyuma vikaze,kuna wachawi hata wa Jf wamepunguza vimbwanga vyao
 
Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Hizi ni ajali za kawaida na hii mitego iko popote
Mchawi hatumii pesa kupata malighafi
Yani platinum member unashidwa kutumia quote!!!?
 
Eti inabidi akufuatilie mara kwa mara kujua maendeleo yeko 🤣🤣🤣😆😆
Sasa mateso yote ya nini wakati hapati kitu zaidi ya hasara?
 
Uzi mfupi**

Wachawi wanapatia changamoto nying wanapotaka kukuroga, kwanza inabidi atafute pesa ya kununulia Vifaa Vya kazi
Kununua Vifaa Vya kazi ni gharama kubwa na Muda mwingine itamlazimu kusafiri ata nje ya Mkoa ili akanunua kifaa icho cha kukurogea

Kwa mfano Kuna uchawi mwingine ili ufanyike mchawi ataitaji maji ya maiti
upatikanaji wa maji ya maiti ni mgumu sana,

Yani inabidi uwe na koneksheni ya kufa mtu ili upate maji ya maiti na maana muda mwingine unaweza uziwa maji feki
Kwaiyo katika hali kama iyo mchawi inabidi atoe pesa ndefu ili kufanikiwa

Mchawi ni mtu mbishi sana yana hakubali kushindwa kabisa
Kitu ambacho kinamuumiza sana mchawi ni pale anapotumia nguvu nying kukuroga alafu ww unaleta dharau

Yani yeye anapokuroga anataka kuona matokeo yani anataka kukuona umepaniki
Mchawi Anaskia raha sana pale anapoona kwamba umepaniki alafu umekimbilia kwa mganga

Changamoto kubwa kwa mchawi ni kuona kwamba badala ya kupaniki lakini ww ukamua kufanya ibada yan ukasimama na MUNGU
Mda mwingine mchawi inabidi akijifunze teknolojia ambayo itamsaidia kukuroga

Hapa inabid aende kozi iyo maalumu na inabidi alipie pesa kwa ajili ya kupata utaalamu
Upatikanaji wa Vifaa Vya kurogea imekuwa changamoto kubwa kwa Wachawi

Maana katika maduka ya kawaida ya asili havipatikani
Madalali wanaouza Vifaa Vya kurogea wamekuwa wakiwauzia wachaw Vifaa ivyo kwa bei juu sana

Kwa mfano mchawi ili aingie kwako lazima awe na testa ili aone kama kuna mtego au hamna
Testa ya kichawi inauzwa bei juu sana maana bila ya testa unaweza jikuta unaingia mtegoni

Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini

Mara nyingine mchawi anajikuta anamadeni mengi sababu anataka afanikiwe kukuroga
Akishakuroga itambidi afatilie mara kwa mara maendeleo yako ili aone kama uchawi unafanya kazi

Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows

AsanteniView attachment 1495584
Uwekezaji wote huo, una faida gani kwake?
 
Back
Top Bottom