Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Changamoto wanazopitia wachawi wanapotaka kukuroga

Kupitia Uzi wako huu tu leo nimegundua ni kwanini Waanyakazi wa Mortuary hawaishiwi ng'o Pesa kwani Maji ya Maiti Kwao ni Kito cha Thamani.
 
Yote hayo na gharama juu, anatengeneza faida ya kiasi gani?
Roho mbaya nayo kumbe ni kama teja wa madawa, ngono n.k. mhusika anaburudika.
 
Lakini si wanasema kwamba Africans are the Original people of the Earth? [emoji848] how come wazungu walifanya uchawi kabla yetu [emoji23][emoji23]
Njoo PM nikudadavulie [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Afrika sisi yaani bado sana. Wenzetu walivuka hii steji zamani karne sijui ya ngapi huko na sasa wamebaki kufanya haya mambo kama hobby tu ya watu wachache wachache na vi society na vi cult vyao huko lakini sisi kabisa kabisa ndiyo mfumo unaoendesha maisha ya jamii. Bado saaana !!!
Huna hujualo kuhusu wazungu na uchawi!
 
Inatokea hivyo kwa Sababu haitakiwi ukae na uchawi tu bila kuufanyia kazi, Sasa kuna wakati mchawi anakua hajaenda kuroga watu wengine, akiwa kwake anapata ile ashki ya kuloga, saa hiyo chochote kilichopo karibu nae anakiloga, Ndio maana wakati mwingine wanaloga hata watoto wao wenyewe.
Hivi inakuwaje mlozi anaroga hadi mtoto wake wa kumzaa, hapo ndo niliona hayo ni ma-mtu ya hovyo. Ila ukiamini katika Mungu Mwenyezi hayo machawi wala hayakunyimi usingizi, unakuwa na amani kabisa...
 
Uzi mfupi**

Wachawi wanapatia changamoto nying wanapotaka kukuroga, kwanza inabidi atafute pesa ya kununulia Vifaa Vya kazi
Kununua Vifaa Vya kazi ni gharama kubwa na Muda mwingine itamlazimu kusafiri ata nje ya Mkoa ili akanunua kifaa icho cha kukurogea

Kwa mfano Kuna uchawi mwingine ili ufanyike mchawi ataitaji maji ya maiti
upatikanaji wa maji ya maiti ni mgumu sana,

Yani inabidi uwe na koneksheni ya kufa mtu ili upate maji ya maiti na maana muda mwingine unaweza uziwa maji feki
Kwaiyo katika hali kama iyo mchawi inabidi atoe pesa ndefu ili kufanikiwa

Mchawi ni mtu mbishi sana yana hakubali kushindwa kabisa
Kitu ambacho kinamuumiza sana mchawi ni pale anapotumia nguvu nying kukuroga alafu ww unaleta dharau

Yani yeye anapokuroga anataka kuona matokeo yani anataka kukuona umepaniki
Mchawi Anaskia raha sana pale anapoona kwamba umepaniki alafu umekimbilia kwa mganga

Changamoto kubwa kwa mchawi ni kuona kwamba badala ya kupaniki lakini ww ukamua kufanya ibada yan ukasimama na MUNGU
Mda mwingine mchawi inabidi akijifunze teknolojia ambayo itamsaidia kukuroga

Hapa inabid aende kozi iyo maalumu na inabidi alipie pesa kwa ajili ya kupata utaalamu
Upatikanaji wa Vifaa Vya kurogea imekuwa changamoto kubwa kwa Wachawi

Maana katika maduka ya kawaida ya asili havipatikani
Madalali wanaouza Vifaa Vya kurogea wamekuwa wakiwauzia wachaw Vifaa ivyo kwa bei juu sana

Kwa mfano mchawi ili aingie kwako lazima awe na testa ili aone kama kuna mtego au hamna
Testa ya kichawi inauzwa bei juu sana maana bila ya testa unaweza jikuta unaingia mtegoni

Kama ulishawai ona mchawi Kanasa juu ya bati au ameanguka basi jua uyo ameingia bila testa
Wachawi wanatumia pesa nyingi sana kununua Vifaa Vya kurogea pande za mahospitali na makaburini

Mara nyingine mchawi anajikuta anamadeni mengi sababu anataka afanikiwe kukuroga
Akishakuroga itambidi afatilie mara kwa mara maendeleo yako ili aone kama uchawi unafanya kazi

Muda mwingine inabidi afanye update yani kama vile Ana update windows

AsanteniView attachment 1495584
mkuu ww n member wa MRI?
 
Back
Top Bottom