mwanatanu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 851
- 127
Wana JF najua humu ndani kuna mchanganyiko wa kila mbongo wenye sifa tofauti.
Nimekaa kwa muda mrefu na imenikera sana suala la umeme. Sasa nimefikiria kwa vile serikali inaonekana haiko tayari kabisa kuanzisha mradi wa stiegler's ambao unaweza ukatosheleza umeme tanzania nzima....nimekuja na wazo ambalo nahitaji mchango wenu wataalam wa nyanja mbali mbali ndani ya JF.
Wazo langu ni kwa kuwa katika mkoa wetu wa Mwanza na Shinyanga kuna mamilionea wengi mno...Je hatuwezi kuwasomesha na tukaweza kununua hii mitambo ya kuzalisha umeme inayotumia nguvu ya gesi?
Tuchukulie mtambo wenye uwezo angalau wa kutoa 2 MW una cost ngapi na how much it cost to run daily and how much to sell to the grid?......
Haya jamani naomba mchango wenu.