Changamoto kwa jf; nia ipo,uwezo upo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changamoto kwa jf; nia ipo,uwezo upo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mwanatanu, Jan 15, 2011.

 1. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wana JF najua humu ndani kuna mchanganyiko wa kila mbongo wenye sifa tofauti.

  Nimekaa kwa muda mrefu na imenikera sana suala la umeme. Sasa nimefikiria kwa vile serikali inaonekana haiko tayari kabisa kuanzisha mradi wa stiegler's ambao unaweza ukatosheleza umeme tanzania nzima....nimekuja na wazo ambalo nahitaji mchango wenu wataalam wa nyanja mbali mbali ndani ya JF.

  Wazo langu ni kwa kuwa katika mkoa wetu wa Mwanza na Shinyanga kuna mamilionea wengi mno...Je hatuwezi kuwasomesha na tukaweza kununua hii mitambo ya kuzalisha umeme inayotumia nguvu ya gesi?

  Tuchukulie mtambo wenye uwezo angalau wa kutoa 2 MW una cost ngapi na how much it cost to run daily and how much to sell to the grid?......

  Haya jamani naomba mchango wenu.
   
 2. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Nimepata generaor iliyotimika kutoka Russia inayotumia Gas na ina uwezo wa kufua MW2 za umeme na bei ni bil 1.5 za bongo......hizi pesa kwa watu wa vijisenti wa kaskazini TZ zipo.

  Umefika wakati watanzania tujiwezeshe kuliko kukaa kuimba na kuililia serikali isiyojali matakwa ya wananchi wake. Ninachoomba kwa wenzanu wana JF na ninaamini kuna vichwa vya kila aina vilivyobobea kataka kila nyanja humu...maswali yangu ni kama ifuatavyo.
  (1)Je MW2 inatosheleza kiasi gani?
  (2) Gharama za uendeshaji?
  (3) Kuuzia grid ya taifa ni shillingi ngapi?.

  Tuchangie
   
 3. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,026
  Likes Received: 9,390
  Trophy Points: 280
  Mkuu wazo lako ni chanya na linawezekana kabisa ila wasiwasi wangu mkubwa bado upo kwa hii serikal yetu kwanza kupewa kibal cha kuanza kufanya huo mradi wako weka miaka kama maitano then baada ya hapo weka miaka kama matatu ya eti subiria mtaalam wetu aje afanye survey sasa huyo tajiri aliekuwezesha hatuanza kudai pesa yake kwel?Mfano hai ni dada yetu Lady J Dee, kajitutumua akaanzisha maji kakampun cha kutengeneza maji lakin baada ya kufanya uzinduzi tu vioja vikaanza,oh sijui hajafwata utaratibu wa kusajili na mengine mengi.So anyway jaribu ila mi serikal yetu hii ipo kwa ajili ya makaburu na wahind ila sisi wabantu bana labda uwe na kigogo hapo kati ndo mambo yatenda mzee.
   
 4. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kweli kabisa lakini mimi nilifikiria kwa kuwa najua jamaa zetu haswa wazee wetu hapa north wengi wao madafu wanayo na ni wazalendo wa dhati lakini wanahitaji mwelekeo wa kuwekeza....mwanzo ni mgumu.

  Naamini kama mradi mmoja tu ukiwezekana watanzania wengi watakuwa tayari kufanya sasa hivi kila mmbongo mwenye uwezo anakimbilia kuwanufaisha wachina
   
 5. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  jamani wana taaluma wa jf mko wapi?
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,876
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hawa mamillionea una maana gani... wakulima.., mafisadi.., wajasiriamali.., mashirika ya uma., makampuni.., au angel investors... be specific.., do they have any interest on specific industry... threats and risks on this industry.... policies zikoje...kuzalisha umeme wa gesi ni kwa ajili ya dharura... tunahitaji permanent solution... i think we need renewable energy source especially in rural energy...
   
 7. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Haihusiani na mada lakini jibu ni 100 wazalendo wenye pesa za halali.

  Ukisoma vizuri hio popst yangu utaelewa kuwa idea ni yangu nataka kuwasomesha hawa wazee ambao hela zao zimekaa tu haziendi benki wala hawafanyii maendeleo yoyote wao wanajua tu kupokea.

  YES NDIO MAANA YA POST....Nategemea wanataaluma mbalimbali wana JF kuchangia kwenye technical issues
   
 8. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mkulu MALIILA najua una uzoefu san wa mabo ya miti je unaonaje hii idea?
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  I think ili upate misaada ya nchi nyingi solar power itakuwa bora zaidi... na unaweza fanya yafuatayo:-
  • kununua solar panels na kuziweka kwenye nyumba za watu ambao we can charge them na extra umeme unaweza kuuzwa kwenye grids au kwa majirani wengine
  • kwa kutumia solar power sababu ni green energy na ni environment friendly ni rahisi kuomba misaada kwa NGOs na mashirika mengine nchi za nje
  • Wateja wanaweza wakachangia installation fees na ni rahisi kuanzisha na maintanance yake ni simple
   
 10. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,876
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  mkuu...hivi unaweza ku invest na watu ambao wanapesa ambazo hawaweki benki ... how do you prove they have money without justification from their cash flows in bank statements... utaenda kuzichngulia walipoweka chini ya godoro ndio ujue wana pesa... your idea is not realistic......

  investment siyo kusomeshwa... ni kuangalia economic viability
   
 11. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,876
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  mkuu kwenye topic reply yangu nimezungumzia renewable energy.. which is realistic and solar is one of renewable energy source... and investment is not that much huge
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Of renewable energy Solar is simple... inaweza hata akaanzisha mtu mwenyewe kwenye nyumba yake installation cost ni kubwa kwa mwananchi wa kawaida.. thats where huyu mkuu anaweza akaja kwa kupata grants etc anaweza akainstall kwenye nyumba zote mtaa mzima na kama energy itabaki anaweza akaiuza tanesco...
   
 13. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mkulu ni fact kuwa kuna watu wengi sana tu wenye mamilioni ya pesa huku kwetu na ni watu wanaopenda nchi yao.....Narudia tena uwezo wa kununua generator ya kufuwa umeme wanao...mimi nimeomba ushauri kwenu wana JF wenzangu...kwa hiyo nilitegemea utachangia kuhusu policy,cost,etc etc....kuliko kushupalia owezo wao kifedha
   
 14. M

  Malila JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Hofu niliyo nayo mimi kwa hii project ni fitna toka kwa serikali yetu hii,unaweza ukapata eneo la kuwekeza,ile unaanza tu,nao wanaleta umeme wao wa tanesco. Mkuu kama una uhakika na watu wenye uwezo wa kutoa fedha na kuwekeza ktk umeme ni wazo zuri, kuna mradi wa umeme wa maji ulifadhiriwa na UNESCO kama sijakosea ktk kijiji fulani kule Lushoto, gharama zake hazikuwa kubwa. Kama uko serious tembelea vituo vya umeme vya watu binafsi(vipo) au vya makanisa ukaone wao wamefanikiwa vipi kufunga mitambo yao, sasa baada ya hapo unaweza kujua uanzie wapi kuwashawishi,ukiona ngumu,pitia ktk NGO au mashirika ya dini.
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Hili wazo ni zuri, moyo wangu unaumia sana kukosa fedha kwa sababu unaweza kujikamatia kata,au tarafa nzima na ukawa na Ki-tanesco chako. Kuna jamaa yangu yuko Tanesco aliniambia mwezi jana kuwa walikwenda kukagua poromoko moja hivi kule Mpanga- Iringa,kuna Mzungu mmoja (namfahamu) anataka kufunga hydro power yake kwa ajili ya kazi zake, na kuna Padri mmoja naye anataka kufunga umeme wake maeneo yale yale, nataka kusema kuwa kama una uhakika na watu wa kutoa mshiko, wazo hili ni bomba. Sio lazima ufanyie Mwanza.
  Hapa kilichokosekana ni namna ya kushawishi watu wenye fedha ili waunganishe nguvu kwa ajili ya kuanzisha vi-tanesco vidogo vidogo. Jamaa wa CEFA wamepiga umeme kijiji chote cha Bomang`ombe kule kilolo na wanagema mshiko kiulaini kabisa.

  Kwa ufupi natamani sana,Mungu akinijalia uhai,hili linawezekana kabisa.
   
 16. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Asantte mkulu kwa wazo lako...Lakini katika gazeti la leo la Guardian limenifurahisha kidogo je hawa EWURA mojawapo alisom hii thread nini?

   
 17. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Ni kweli kabisa na Mkulu njua una uzoefu sana na mazingira ya huko kusini na jamaa wa huko kusini especially Wakinga sasa hivi ni wafanya biashara wakubwa sana na wana pesa nyingi tu...

  AMEEN
   
 18. M

  Malila JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Kibali sio tatizo kihivyo,ila fitna za watendaji. Nimekupa mifano hai hapo juu kuwa kuna watu sasa hivi wana-process vibali na ujenzi wa miundombinu ya kuzalishia umeme na wameruhusiwa na serikali. Kukiwa na fedha ya uhakika, kamtambo kanafungwa fasta na hela yako inarudi mkuu.

  Ila umeme wa gas unaweza kuwa taabu kidogo,ila wa maji na upepo ni uwezo wako tu.
   
Loading...