Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,956
- 2,729
Umeshauriwa uende kampuni za ulinzi , ukajishikize hautaki.Mihangaiko yangu inakataa mkuu nakata sana tamaa
Wewe unataka utumiwe uende kwa wakala kutoa , Mbona watu wa Mara hawako soft hivyo mkuu
Umeshauriwa uende kampuni za ulinzi , ukajishikize hautaki.Mihangaiko yangu inakataa mkuu nakata sana tamaa
Msaada ni ukafanye kazi. Kaombe gape kampuni za ulinzi. Kama una shida sana mtaani Kuna watu Wana kopesha hela au mtandaoni.Naomba unisaidie
Nimejaribu huko wengi wanasema mara haujapitia mgambo ama una uzoefu wowote katika kazi hiiUmeshauriwa uende kampuni za ulinzi , ukajishikize hautaki.
Wewe unataka utumiwe uende kwa wakala kutoa , Mbona watu wa Mara hawako soft hivyo mkuu
Naomba unisaidie
Wewe una tupa ushauri tufanyejeNimejaribu huko wengi wanasema mara haujapitia mgambo ama una uzoefu wowote katika kazi hii
Sijui mkuuWewe una tupa ushauri tufanyeje
Saidia fundi ipoo... Kwa siku upata kuanzia karibia elfu 5 na kuendelea, unapata hela Yako bila kusumbua yeyoteNimejaribu huko wengi wanasema mara haujapitia mgambo ama una uzoefu wowote katika kazi hii
Usiombe ombe sasa, una kera.Sijui mkuu
Yule jamaa yetu apoi yulee 😂We kumbe uliamua kuwa Ombaomba 🫢
Mimi ushauri wangu , Ingia play store tafuta App zinazo toa mikopo.Sijui mkuu
Mimi kwa Sasa naomba nipate kazi mkoa wangu huu tafadhali nifanye tu Nina changamoto sanaMimi ushauri wangu , Ingia play store tafuta App zinazo toa mikopo.
Wanakupa hela ,
Muunganishe akakate majani mkuu kama hatak achana nae tap3li tu ana akaunt kibao tunamjuaUsiombe ombe sasa, una kera.
Anakwambia changamoto ni muda huu tuMuunganishe akakate majani mkuu kama hatak achana nae tap3li tu ana akaunt kibao tunamjua
Naomba unitajie account zangu mkuu ziweke hapa zote zileMuunganishe akakate majani mkuu kama hatak achana nae tap3li tu ana akaunt kibao tunamjua
Uko Mara sehemu gani?Mimi kwa Sasa naomba nipate kazi mkoa wangu huu tafadhali nifanye tu Nina changamoto sana
Sawa mkuuAnakwambia changamoto ni muda huu tu
MusomaUko Mara sehemu gani?
🤣🤣View attachment 3701319
We jamaa noma sana ..kama ishu ni serious hivyo kwanini usiuze hiyo simu ujipange upya?
Kafanye kazi mkuu achana na hizi habar za kulialia mana sio kila unaemuona anauza mbilimbi au machungwa mtaani anapenda.Musoma