Ndo maana nikaja huku mkuuPole na changamoto jirani je umeshajaribu kwa watu wako wa karibu kuhusu hilo tatizo lako manake huku ni mtandaoni boss
Uko wapi?
Nipo maraUko wapi?
Ndio mkuuNitarudi
Kazi ni kipimo cha utu
Ndo maana nikaja huku mkuu
Unataka mtaji au hela ya nini mkuuNipo mara
Hela ya kimaitaji mkuuUnataka mtaji au hela ya nini mkuu
Utapewa Kila siku na nani sasa?Hela ya kimaitaji mkuu
Mara sehemu gani, Nikuunganishe na jamaa ukakatie ng'ombe majani na kulisha ngurueNipo mara
Nina uhitaji wa Sasa hivi mkuuMara sehemu gani, Nikuunganishe na jamaa ukakatie ng'ombe majani na kulisha ngurue
Siyo sasa hivi tu , hata juzi uliomba.Nina uhitaji wa Sasa hivi mkuu
Download App za mikopo, Ingiza data zako wanakupa hela bila shida kabisa mkuu. Au nenda ofisi za mikopo mitaani zipo, wanakupa hela sasa hiviNina uhitaji wa Sasa hivi mkuu
Mihangaiko yangu inakataa mkuu nakata sana tamaaSiyo sasa hivi tu , hata juzi uliomba.
Kuepusha hilo ni kufanya kazi upate hela Yako. Siyo usubiri utumiwe
Basii hilo ni juu yako mkuu.Mihangaiko yangu inakataa mkuu nakata sana tamaa
Naomba unisaidieBasii hilo ni juu yako mkuu.
Unakubalije kukata tamaa?
Marufuku kukata tamaa