Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,022
Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo
Ndiyo, Alute na Tundu ni mtu na kaka yake ila ni vyama tofauti.
Hata ktk uchaguzi wa 2010 Alute alitaka kugombea ktk jimbo la Lissu kupitia ccm but alidondokea pua ktk kura za maoni, so angefanikiwa kupita kwenye kura za maoni wangekutana na lisu kwenye mpambano wa uchaguzi mkuu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums