Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu!

Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.

Source: Tuongee Magazeti RFA
 
Hii siielewi! Kesi waliahirisha halafu wanasema wameshasikiliza rufaa,WAMESIKILIZIA WAPI? Huu ndo uchakafuzi tusioutaka
 
Kesi ilihamishiwa Dar na wameendelea kuisikiliza na kupitia hoja mbalimbali za mawakili. Kuahirisha ni siku ya hukumu ambapo itakuwa tar 2 october!
 
Hii siielewi! Kesi waliahirisha halafu wanasema wameshasikiliza rufaa,WAMESIKILIZIA WAPI? Huu ndo uchakafuzi tusioutaka

Mkuu nafiri ilikuwa inafanyika kwa style ya majibishano ya kimaandishi so majaji walishapitia maelezo yao pamoja na rejoinder kilichobaki ni kutoa hukumu.
 
Tundu Lisu alimaliza msiba wa baba yake na kuwa dar na kesi ikasikilizwa wakati ilishahirishwa mpaka Oct 2. Hii haieleweki!
 
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu! Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.
Source: Tuongee Magazeti RFA

Wataisoma lini?
 
nina imani na majaji walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm kusikiliza kesi ya mtu aliyeitwa ikulu na mwenyekiti wa ccm kumuomba agombee arusha kwa tiketi ya ccm na akakataa...nina imani
 
Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo
 
Tundu Lisu alimaliza msiba wa baba yake na kuwa dar na kesi ikasikilizwa wakati ilishahirishwa mpaka Oct 2. Hii haieleweki!

Tar 2 Oct ilitajwa kuwa ni siku ya hukumu. Usikilizaji wa hoja za mawakili ulihamishiwa Dar na ndio umekamilika.
 
nina imani na majaji walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm kusikiliza kesi ya mtu aliyeitwa ikulu na mwenyekiti wa ccm kumuomba agombee arusha kwa tiketi ya ccm na akakataa...nina imani

Imani yako inautata! Hata hivyo naamini haki itatendeka na Lema atashinda!
 
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu!

Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.

Source: Tuongee Magazeti RFA
Ngoja tusubiri tuone kila ki2 kitakuwa wazi.
 
Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo

Jibu ni ndiyo!
 
Rufaa haisikilizwi, zinapitiwa hoja zilizowakilishwa na mlalamikaji, wanaangalia na hukumu iliyotolewa, basi nao wanatoa hukumu

Hii siielewi! Kesi waliahirisha halafu wanasema wameshasikiliza rufaa,WAMESIKILIZIA WAPI? Huu ndo uchakafuzi tusioutaka
 
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu!

Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.

Source: Tuongee Magazeti RFA

Good news, wacha tujiandae kwa ajili ya tar. 2.10!
 
Back
Top Bottom