Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

Mkuu wangu Mungi Ikulu imegoma kubadili maamuzi yake

Kwa uzoefu na utumishi uliotukuka wa judge Salum Masati, sidhani kama atakuwa tayari kuharibu historia nzuri aliyojiwekea tokea ujana wake!
Lema anamalizia malizia honeymoon simu muda mrefu tutasikia "WAZIRI MKUU KALIDANGANYA BUNGE!!!!
 
Kesho tutakuwa mahakamani kama kawaida, tunawakaribisha vijana wa mwema kuungana nasi kusherekea baada ya matokeo ya hukumu!
 
Kesho tutakuwa mahakamani kama kawaida, tunawakaribisha vijana wa mwema kuungana nasi kusherekea baada ya matokeo ya hukumu!
Mimi bado sijaelewa sawasawa, kesho ndio rufaa inaanza kusikilizwa au hukumu inatolewa?
 
nina imani na majaji walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm kusikiliza kesi ya mtu aliyeitwa ikulu na mwenyekiti wa ccm kumuomba agombee arusha kwa tiketi ya ccm na akakataa...nina imani....

I am impressed by your satirical comment; your sarcasm is impeccable. Msitegemee miujiza, hakuna jipwa kwani mkweree ndio aliyeamuru Lema avuliwe ubunge na yeye ndiye aliyemteua huyu jaji mkuu kwa misingi ya udini na sio weledi hivyo hawezi kwenda kinyume na matakwa ya bwana mkubwa wake. Haya ndio mapungufu ya kurekebisha kwenye katiba mpya.
 
Hata mimi sina imani na majaji Waislam kusikiliza kesi za CHADEMA.
 
Kesho tutakuwa mahakamani kama kawaida, tunawakaribisha vijana wa mwema kuungana nasi kusherekea baada ya matokeo ya hukumu!
Mkuu Mungi, Itakuwa hapa Dar ama Arusha? kama ni Arusha tunakutegemea, na kama ni Dar please kamanda Yeriko Nyerere, tunakutegemea kwa Live uptade kama case ya Mnyika, kwa Arusha kamanda mungi na mkuu wangu@Crashwise watashambulia JF kesho haitoshi na AR jiji litalipuka kwa shangwe, I wish to be thea.
 
Last edited by a moderator:
Jitu linapiga kampeni na kwaya wacha lichinjiwe baharini.Kwanza darasa la saba upeo wake mdogo sana
 
Mkuu Mungi, Itakuwa hapa Dar ama Arusha? kama ni Arusha tunakutegemea, na kama ni Dar please kamanda Yeriko Nyerere, tunakutegemea kwa Live uptade kama case ya Mnyika, kwa Arusha kamanda mungi na mkuu wangu@Crashwise watashambulia JF kesho haitoshi na AR jiji litalipuka kwa shangwe, I wish to be thea.

Itakuwa hapa Arusha Mkuu, tutakuwa makini, bila shaka mimi mwenyewe nitakuwepo mungu akitujalia afya njema, nitaingia na laptop badala ya mchina hiyo kesho, kamanda Crashwise, yegella, Exaud Mamuya, Phillipo, Liverpoolfc, nk. watakuwepo.
 
Safi sana hayo ni majembe matupu, tatizo kuna mijitu inaamka hata saa kumi alfajiri linaanzisha uzi na kutapa UPDATE, kumbe hayupo hata eneo husika... ila hao wote juu ni majembe tunawaaminia sana wakuu wetu.
 
Huyu Filipo ni miongoni mwa wazushi tu wanaozungusha thread za kuyumbisha watu. Hakuna rufaa iliyosikilizwa kwani kesi iliahirishwa na Jaji Mkuu kwa kuwa mawakili wa pande mbili (ambao ni ndugu) Allute Makwai na Tundu Lissu kufiwa na Baba yao mzazi (Mzee Magwai). Hapa kuna uzushi tu na mambo ya kutumwa. Lakini kama ilivyo kwa hadithi ya ndege mbayumbayu na kong'ota akili za kuambiwa ni budi uchanganye na za kwako siyo kuact kama robot.
Taarifa aliyoitoa huyu ni ile iliyotolewa na jaji Mkuu kabla ya kikao cha kusikiliza rufaa hiyo zaidi ya wiki moja iliyopita.
 
Mkuu, unaweza ukaniita majina yote utakayo au kunitukana unavyotaka ika ukweli hautabadilika. Nimeiweka habari kama nilivyoisikia na hata source yake nimewawekea. Kama ina makosa, source ndio tatizo. Kuniita mzushi hakutabadili lolote wala kunivunja moyo. Leo nitakuwa mahakamani kama kawaida na nitatoa live updates!
 
Nina uhakika CCM ilishaagiza Lema arudishiwe ubunge wake, kwa sababu najua CCM pamoja na dhaifu wao sio wajinga kihiiivyo!. Ukitaka kujua kwa nini nina uhakika juu ya hili niulize baada ya kusomwa hukumu Jumanne ijayo.

mhnnn... umesahau 'liwalo na liwe'. statement kama hizi zinaenda juu zaidi ya udhaifu.
 
Back
Top Bottom