Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

this is really good ! You seem to be very good in reversing, yaani bingwa wa rivasi ! Una imani kweli ? Tell us what you really mean mkuu !
you already know what i mean for i can smell that you are good at reading between them lines..
 
Acheni kuwa vilaza, tutawaambia hadi lini? Tutamwita Mchemba azidi kuwafundisha ingawa vichwa vyenyewe vya panzi. Halafu cdm wengi shule ndoooooooooooogo maneno dhaifu meeeeeengi. Nani alisema kesi Mahakama ya Rufaa inasikilizwa. Sikia wewe kilaza na vilaza wenzio wanakukuruka humu ndani, kesi ya Mahakama ya Rufaa inapitiwa. Zaidi ya hapo siwezi endelea maana vichwa vyenyewe vinanipa shida kama kuna vinachoelewa.
 
Nadhani tuache kudhani kwa kufikiri, kusikia bila usahihi wa ulilosikia ni adhabu kwa uzembe wako.Wengi mko hivyo, baada ya huyo kilaza kuweka thread yake isiyo na ukweli kwa sababu yeye kwake Lema ni zaidi ya baba yake basi wote mmekwenda huko huko. Ninachokusifu Mujwahuzia (labda kwa kuwa unafanana nawatu wa kule kwetu) ni kwamba unajua kuwa Mahakama ya Rufaa aisikilizi kesi ila inaipitia, kuliko huyo kilaza kwanza kaleta hoja si sahihi halafu analalamika bila utafiti akisema imesikizwa, tatizo la kutojua kusoma maana angekuwa anajua angeenda kulinunua hilo gazeti ingawa hela hana na si KULALAMIKA kipumbavu baada ya kusikiliza tuonGee magazeti RFA.Unungunungu huo. Ukweli ni kwamba kesi iliyopitiwa ni ya mgombea wa Babati Laurent somebody na ya babake FILIPO ambaye ni Lema itapitiwa Oct 2 baada ya mawakili kutoka msibani. Sasa huyo kilaza na gazeti laT.Daima hata akili ndogo ya kitoto cha miaka miwili hana kujua hata hilo.Nafikiri nikimwita mpumbavu hatachukia kwani anajijua
 
Mwenzetu itumie Elimu yako kwa faida ya wengi kuwaelimisha juu ya hoja iliyopo uwanjani endapo watanzania wote wangekuwa na akili kama za kwako wanaelewa kila kitu basi Tanzania ingekuwa kama USA, tusingekuwa watu omba omba kama marehemu (Matonya) huyo Mchemba hana kitu kichwani kama wewe sababu kama angekuwa na uwelewa wa kutosha asingekubali hata Twiga anakunjwa kwenda kuuzwa ulaya,na nchi za falme za Kiaraabu wakati kwao Singida hata barabara ya Lami kwenda kijijini kwao hakuna yupo ni kalaza kama wewe.
 
Huyo Lema hana chake hapo

Nina uhakika CCM ilishaagiza Lema arudishiwe ubunge wake, kwa sababu najua CCM pamoja na dhaifu wao sio wajinga kihiiivyo!. Ukitaka kujua kwa nini nina uhakika juu ya hili niulize baada ya kusomwa hukumu Jumanne ijayo.
 
Acheni kuwa vilaza, tutawaambia hadi lini? Tutamwita Mchemba azidi kuwafundisha ingawa vichwa vyenyewe vya panzi. Halafu cdm wengi shule ndoooooooooooogo maneno dhaifu meeeeeengi. Nani alisema kesi Mahakama ya Rufaa inasikilizwa. Sikia wewe kilaza na vilaza wenzio wanakukuruka humu ndani, kesi ya Mahakama ya Rufaa inapitiwa. Zaidi ya hapo siwezi endelea maana vichwa vyenyewe vinanipa shida kama kuna vinachoelewa.

Kweli Bwana! ndio maana ni wewe tu na magamba wenzio ndo mnaelewa twiga na urefu wao woote walipandaje ndege airport bila kuonwa. Magamba mna akili ninyi!
 
Nadhani tuache kudhani kwa kufikiri, kusikia bila usahihi wa ulilosikia ni adhabu kwa uzembe wako.Wengi mko hivyo, baada ya huyo kilaza kuweka thread yake isiyo na ukweli kwa sababu yeye kwake Lema ni zaidi ya baba yake basi wote mmekwenda huko huko. Ninachokusifu Mujwahuzia (labda kwa kuwa unafanana nawatu wa kule kwetu) ni kwamba unajua kuwa Mahakama ya Rufaa aisikilizi kesi ila inaipitia, kuliko huyo kilaza kwanza kaleta hoja si sahihi halafu analalamika bila utafiti akisema imesikizwa, tatizo la kutojua kusoma maana angekuwa anajua angeenda kulinunua hilo gazeti ingawa hela hana na si KULALAMIKA kipumbavu baada ya kusikiliza tuonGee magazeti RFA.Unungunungu huo. Ukweli ni kwamba kesi iliyopitiwa ni ya mgombea wa Babati Laurent somebody na ya babake FILIPO ambaye ni Lema itapitiwa Oct 2 baada ya mawakili kutoka msibani. Sasa huyo kilaza na gazeti laT.Daima hata akili ndogo ya kitoto cha miaka miwili hana kujua hata hilo.Nafikiri nikimwita mpumbavu hatachukia kwani anajijua

Soma vizuri thread. Majaji wamemaliza kuipitia hukumu, kusikiliza za mawakili na kuzipitia hoja zao. Sasa hukumu ni tar 2/10. Sasa kama umegombana na mwenye nyumba yenu, ni bora ungemfungulia taarabu kuliko kuja kuropoka hapa na kujifanya unaifahamu sana sheria. Soma signature ya Invisible itakusaidia!
 
Acheni kuwa vilaza, tutawaambia hadi lini? Tutamwita Mchemba azidi kuwafundisha ingawa vichwa vyenyewe vya panzi. Halafu cdm wengi shule ndoooooooooooogo maneno dhaifu meeeeeengi. Nani alisema kesi Mahakama ya Rufaa inasikilizwa. Sikia wewe kilaza na vilaza wenzio wanakukuruka humu ndani, kesi ya Mahakama ya Rufaa inapitiwa. Zaidi ya hapo siwezi endelea maana vichwa vyenyewe vinanipa shida kama kuna vinachoelewa.

Kipi kichwa bora? Kichwa cha panzi au "kichwa chako cha Nazi"?
 
Nadhani tuache kudhani kwa kufikiri, kusikia bila usahihi wa ulilosikia ni adhabu kwa uzembe wako.Wengi mko hivyo, baada ya huyo kilaza kuweka thread yake isiyo na ukweli kwa sababu yeye kwake Lema ni zaidi ya baba yake basi wote mmekwenda huko huko. Ninachokusifu Mujwahuzia (labda kwa kuwa unafanana nawatu wa kule kwetu) ni kwamba unajua kuwa Mahakama ya Rufaa aisikilizi kesi ila inaipitia, kuliko huyo kilaza kwanza kaleta hoja si sahihi halafu analalamika bila utafiti akisema imesikizwa, tatizo la kutojua kusoma maana angekuwa anajua angeenda kulinunua hilo gazeti ingawa hela hana na si KULALAMIKA kipumbavu baada ya kusikiliza tuonGee magazeti RFA.Unungunungu huo. Ukweli ni kwamba kesi iliyopitiwa ni ya mgombea wa Babati Laurent somebody na ya babake FILIPO ambaye ni Lema itapitiwa Oct 2 baada ya mawakili kutoka msibani. Sasa huyo kilaza na gazeti laT.Daima hata akili ndogo ya kitoto cha miaka miwili hana kujua hata hilo.Nafikiri nikimwita mpumbavu hatachukia kwani anajijua

Ni rahisi kutambua upumbavu wa mtu kwa coments zake. Upuuzi kama huu ni uthibitisho wa hasara ya kifamilia waliyopata wazazi kwa kituko walichopata! Lema ni bw mdogo sana kwangu na hata wewe kwa ufupi wa mawazo yako unaonekana una malezi ya kipuuzi tu! Hata shule ya kata hukufanikiwa kupita!
 
Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo
kaka anaitwa Allute mughwai Lissu na Tundu mugwai Lissu ni wanandugu baba mmoja na mama mmoja ilakatika kesi hii kaka yuko upande wa magamba na lissu upande wa gwandaz,hivyo kifo kiliwahusu wote.hope nimesomeka.
UKANA SHILUNGO.
 
Ile tarehe 2 Oktoba, tuliyotazamia ndiyo kesho. Wadau, Tuiombee siku hiyo.
 
Toa sababu za kuaminika, kama ni uwepo wa judge chande, ama jambo lingine mkuu.
 
Back
Top Bottom