Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo

Ndiyo, Alute na Tundu ni mtu na kaka yake ila ni vyama tofauti.
Hata ktk uchaguzi wa 2010 Alute alitaka kugombea ktk jimbo la Lissu kupitia ccm but alidondokea pua ktk kura za maoni, so angefanikiwa kupita kwenye kura za maoni wangekutana na lisu kwenye mpambano wa uchaguzi mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nadhani moja ya hoja za rufani ya Lema ni kutaka adhabu ya yeye kutoruhisiwa kugombea itenguliwe. Kimsingi hawa wateuliwa wa Rais (kumrudishia Lema ubunge hata kama ni haki), kwao kutenda haki per se itakuwa ni vigumu. Maana zoezi zima la kisiasa la kumwengua litakuwa halikutimia. Hapo kuna hoja tete dhidi ya maslahi za watu fulani Arusha na wanaona Lema ni kikwazo.

Mimi najipanga from a negative angle.
 
Hukumu yoyote watakayoitoa dhidi ya Lema kwa sasa inaiweka CCM pabaya.
Tena afadhali wamrudishie ubunge wake abaki jimboni kuliko wamwache aendelee
kuzunguka mikoani na M4C.Manake hata uchaguzi ukirudiwa kesho bado CCM
hawawezi kushinda.
 
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu!

Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.

Source: Tuongee Magazeti RFA

Hii thread ni uzushi. Rufaa iliyosikilizwa jana ni ya Laurent Surumbu Tara mgombea wa Babati Vijijini ni haikuwa ya Lema. Rufaa ya Lema itakuwa tarehe 2 Oktoba.
 
Ndiyo, Alute na Tundu ni mtu na kaka yake ila ni vyama tofauti.
Hata ktk uchaguzi wa 2010 Alute alitaka kugombea ktk jimbo la Lissu kupitia ccm but alidondokea pua ktk kura za maoni, so angefanikiwa kupita kwenye kura za maoni wangekutana na lisu kwenye mpambano wa uchaguzi mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hii ndo najua leo aisee. Thanks kwa hii nondo
 
Imani yako inautata! Hata hivyo naamini haki itatendeka na Lema atashinda!

Labda wataamua kumrudisha bungeni kwakuwa kichapo cha kuigaragaza ccm kupitia M4CHANGE sehemu mbalimbali nchini ni kibaya zaidi.

Lakini hii kesi inautashi wa JK , wasiwasi wangu ni JK hawezi kukubali kushindwa, ana anazo silaha zote kuamua iwe hivyo.
 
Jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa waliokuwa wakisikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa ubunge wake ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Lema, wamekamilisha kusikiliza rufaa ya kesi hiyo na kilichobaki ni kusubiri siku ya kusomwa hukumu!

Hayo yamesemwa na jaji mkuu, Bw. Othuman Chande.

Source: Tuongee Magazeti RFA

Day dreaming at its best; best prank of the week!! kwako wewe leo ni tarehe 1 April mwaka Zero!!!?? pole sana.
 
Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo

Ni kweli hao jamaa wawili ni ndugu wa kuzaliwa Alute Mughwai na Tundu Antipasi Mughwai Lissu ni mtu na kaka yake na wote ni wanasheria waliobobea, ni matumizi ya majina tu, mwingine anatumia middle name na mwingine surname etc
 
Ndiyo, Alute na Tundu ni mtu na kaka yake ila ni vyama tofauti.
Hata ktk uchaguzi wa 2010 Alute alitaka kugombea ktk jimbo la Lissu kupitia ccm but alidondokea pua ktk kura za maoni, so angefanikiwa kupita kwenye kura za maoni wangekutana na lisu kwenye mpambano wa uchaguzi mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kwangu mimi, hii ni habari mpya! Thanx
 
Day dreaming at its best; best prank of the week!! kwako wewe leo ni tarehe 1 April mwaka Zero!!!?? pole sana.

Acha uvivu Mkuu, habari hiyo hapo. Kama huamini, find out the truth, sio kuropoka!
 
Kutokana na uelewa wa walio wengi bado tumebaki gizani juu ya maelezo yako juu ya hukumu hiyo yametuacha vinwya wazi kwani mnamo tarehe 2o/9/2012 kesi ilihairishwa kutokana na ombi la mawakili wa pande mbili katika kesi hii kutokana na msiba wa baba yao Mzazi mawakili husika hivyo wapenzi wote wa Siasa za Tanzania masikio yetu tnasubiria hiyo tarehe iliyopendekezwa yaani tarehe 2/10/2012 mara ukatatoka uvumi kwamba kesi imehamishiwa Dar, leo tunapokea taariaf ya kwamba mapitio ya Rufaa ya aliyekuwa Mh, G.Lema imekamilika binafsi nabaki na sintofahamu tarehe mbili mwazi wa kumi ndiyo itakuwa siku ya upande mmoja kununa na mwingine kucheka????? kama jibu ni hilo basi tumuobe Mwenyezi Mungu atupe UHAI. naomba ufafanuzi zaidi.
 
Nasi tusubiri tuone. Hivi wakuu mawakili wa pande zote mbili ni mtu na kaka yake? Maana niliwahi kusoma hapa jukwwani kuwa wakili wa washitaki ni kaka wa lissu na juzi nilisikia mawakili wamefiwa na baba yao mwenye kujua anijuze kidogo

Ndiyo ni mtu na kaka yake
 
nina imani na majaji walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm kusikiliza kesi ya mtu aliyeitwa ikulu na mwenyekiti wa ccm kumuomba agombee arusha kwa tiketi ya ccm na akakataa...nina imani

This is really good ! you seem to be very good in reversing, yaani BINGWA WA RIVASI ! una imani kweli ? tell us what you really mean mkuu !
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom