Chana mbao kama Msumeno unamakali....

Duh bahati ya mtende hii Mungu anipe nini? gunia la chawa?

Uimara wa msumeno unategemea na aina mti unaujua Mninga wewe ulivyo?

Msisitizo ni uimara wa msumeno sweetheart:smile-big: Tumia msumeno imara uone mbao zinavyochanika
 
Msisitizo ni uimara wa msumeno sweetheart:smile-big: Tumia msumeno imara uone mbao zinavyochanika

Tatizo unaweza kuwa na msumeno imara sana, lakini mbao nyingine zinateleza kiasi kwamba meno ya msumeno hayakati vizuri!!!!!!
 
Rose jamani wewe mbona wataka kupasua Yayi kwenye nzi wengi? Ya chumbani unataka kuyaleta hapa tena? Ule msumeno si ulikuwa majaribio bibie?Ulitoka kwa fundi mnozi, ulinolewa vibaya jamani....tunaweza piga Remix kama vipi....

poa mas mas ya mwakan tutaenda piga remix km siyo sapu!!!!!
 
poa mas mas ya mwakan tutaenda piga remix km siyo sapu!!!!!

Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inabidi niingie tudio tena? Yasunui Yasinia zawadi hiyoooooooooooooo ya Xmass nitatangaza ile ya kula wali eti eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...na mapilau kemikemi...inaitwaje ile ambayo wathungu husema YES I DO...
 
Tatizo unaweza kuwa na msumeno imara sana, lakini mbao nyingine zinateleza kiasi kwamba meno ya msumeno hayakati vizuri!!!!!!

hizo mbao za kuteleza mkuu naona sasa mhhhhhhhhhhhhhhhh, inabidi unoe nsumeno yako kaka...
 
Msisitizo ni uimara wa msumeno sweetheart:smile-big: Tumia msumeno imara uone mbao zinavyochanika

Umenena Bibie mwambie huyo ajue maana ya MSUMENO imara...uko kama sheria vile kote kote unakata kwa kwenda mbele na hata kwa kurudi nyuma...
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inabidi niingie tudio tena? Yasunui Yasinia zawadi hiyoooooooooooooo ya Xmass nitatangaza ile ya kula wali eti eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...na mapilau kemikemi...inaitwaje ile ambayo wathungu husema YES I DO...

achante!!!!!!!
achana na bacha na magogo yake yenye
 
poa mas mas ya mwakan tutaenda piga remix km siyo sapu!!!!!

Bibie nakumbuka jicho la kushoto kukonyeza nilianza kuliona kwako ile first meeting yetu, jamani nilikuwa ecited kiona, nililowa kila angle ya mwili wangu, jamani Rose wangu wewe unaniua kabisa...dah natamani kila siku uwe unanikonyeza live.
 
achante!!!!!!!
achana na bacha na magogo yake yenye

Hajawahi konyezwa na jicho la kushoto huyo Bacha na wala hatakonyezwa nalo maana ni adimu na wengi hawajui maana yake...ni sisi tu mamaaa....jamani kupendwa kazi, na ile inaitwa kikohozi si mchezo...watajiju
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom