Chana mbao kama Msumeno unamakali.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chana mbao kama Msumeno unamakali....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Dec 25, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wazee waliokaa maporini wanaweza nisaidia hili jamani, Ubao gani unaurahisi kuchanwa?maana navyojua minginga si mchezo mazee, Mpodo huo sio mgumu sana...jamani tuchaneni mbao oooooooooooooooohhhhhhhhhhh, wewe umechana Ubao Gani mkuu?
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbao zingine huharibu misumeno bure na humaliza makali.....jamani misumeno yetu tuitunze na tuchague Miti ya kuchana mbao..................
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hii labda ni kwa ajili ya wavulana pekee
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haya jamani, mimi simo!
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Wako wanawake wengine huingia Porini na kuchana mbao vile vile mama...
   
 6. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Nenda Msitu wa Pande mkuu utachana tuuu mbao maana kila mtu anaweza ni uamuzi wako tuuuuuuu....
   
 7. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  .............kuchana mbao........:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  karibu malenga wetu
   
 9. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha mkuu umenichekesha sana....lakini pamoja daima...ingia porini mkuu ukachane na wewe mbao....
   
 10. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbao ni mbao tu cha msingi msumeno uwe imara
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umewahi ona mbao za mnazi?
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kweli umenena jamani................
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Nilichanaga za Mnazi mzee ziko poa zinapatikana PWANI kwa wingi....
   
 14. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sweet heart nn tena? :hug:
  Nimesema mbao ni mbao tu. Msumeno ndo uwe imara kuweza kupasua mbao
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  haaaa we magulumagu achga urongo wewe nguvu zako za kupasua mbao za michongoma.full stop.ushaid ninao.ukibisha ntakuumbua,
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hivi ukipeeka sehemu za baridi kule kama Iringa zinaweza himili mikiki mikiki?
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh bahati ya mtende hii Mungu anipe nini? gunia la chawa?

  Uimara wa msumeno unategemea na aina mti unaujua Mninga wewe ulivyo?
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Rose jamani wewe mbona wataka kupasua Yayi kwenye nzi wengi? Ya chumbani unataka kuyaleta hapa tena? Ule msumeno si ulikuwa majaribio bibie?Ulitoka kwa fundi mnozi, ulinolewa vibaya jamani....tunaweza piga Remix kama vipi....
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna misumeno full kipupwe wewe, inaitwa all weather hii, iringa, mbeya, kilimanjaro, tanga kotekote tu inaharibu, wanaoijua wanaiita multipurpose ile....
   
 20. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  wallah naingia msituni, ile misumeno iliyonolewa si inakata hadi mininga
   
Loading...