Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,414
- 36,573
Second half Guinea 2-0
KelvinMi nimempenda mchezaji mmoja wa Zambia anaitwa KAPUMBU
Nchimbi hajui soka ila anaupenda tu mpiraNchimbi akajikuta Messi eti nae a-lob
Uzuri wake ni upi?Kocha wa stars ni mzuri sana tatizo lipo kwenye ligi ambayo wachezaji wanaocheza ni wageni kutoka nje ya tanzania sasa unafikiri utapata wachezaji wa aina gani kwenye timu ya taifa?
Nafikiri na ndio anaongoza kucheza rafu toka mashindano yaanzeHuyu kijana yaani anaweza fanya almost everything right but tthe final decision au execution ndipo anapo blundder. Quality mate quality.
Timu ya majogoro hiiMnamoyo mnaoangalia hiyo timu..
Kutumbua makocha kila siku hakujazifanya simba au Yanga kuwa timu bora kama TP Maembe au AS Vita. Hivyo ni muhimu jiwe aelewe kwamba kutumbua tumbua watendaji wake ni mbwembwe tu na haiongezi ufanisi wa serikaliKuna msemo kwamba, kuna watu wakiwa na nyundo, wanafikiri tatizo lolote ni msumari, walimalize kwa kugonga kwa nyundo...
Jamani Ndariyigije sio mjinga......nchi hii tunatekekeza amri ya mtu mmoja tu....kwani mmesahau alisema Nini kuhusu Timu ya Taifa majuzi!?Wakati mpira wa Zambia vs Tanzania unaendelea nikasikia commentary anasema "Baada ya Micho kuita kikosi chake Cha CHAN wadau wengi wa soka Zambia walimkosoa kwa kuacha baadhi ya wachezaji, kitendo ambacho kilipelekea Micho awambie wadau wa soka Zambia waite kikosi chao wao ili ipigwe friendly match na kikosi chake, baada ya hiyo mechi Micho aliwaongeza wachezaji wa 5 kwenye kikosi chake kutoka kikosi hicho cha wadau wa soka"....
Ficha upumbavu wako uheshimike.Mbwana Samatta alikuwepo dimbani?
JPM yeye kila kitu anajua... kuna watu walipongeza madudu aliyoongea kuhusu timu ya Taifa.Kutumbua makocha kila siku hakujazifanya simba au Yanga kuwa timu bora kama TP Maembe au AS Vita. Hivyo ni muhimu jiwe aelewe kwamba kutumbua tumbua watendaji wake ni mbwembwe tu na haiongezi ufanisi wa serikali
Ettiene akirudi asepe tu.. analeta uoga kwenye kazi kisa Rais kasemaJamani Ndariyigije sio mjinga......nchi hii tunatekekeza amri ya mtu mmoja tu....kwani mmesahau alisema Nini kuhusu Timu ya Taifa majuzi!?
Point moja kuipata labda kwa sare ya bilabila, tumuombe mungu atusaidie kwa kweliKwa jinsi timu inavyocheza, mbinu za kocha wetu jumlisha na uzembe kupitiliza wa wachezaji wetu, nachelea kusema sidhani kama tutapata hata point 1 kwenye group letu....
Jumlisha na kupiga umbeaWabongo wanajua tu kula chips mayai na kusikiliza singeli