stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,905
- 14,673
Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo:
1) Wasanii kutumia platform hii kutunga nyimbo kadhaa za mashindano
wasanii wa afrika mashariki walitakiwa wawe wameshatoa nyimbo kadhaa za kuhype CHAN pia ata kukiwa na nyimbo rasmi sio mbaya, ila wasanii wengi wangepewa ruhusa kila mmoja atunge nyimbo: Hii inakua fursa kwa wasanii
2) Media zote ziwe na vipindi maalumu ama pia random hapa na pale kupita mtaani kuleta hamasa na kuuliza jinsi wananchi wamejiandaa: Fursa ya kuonyesha nchini zetu
3) Theme ya michuano , slogan, logo, colors pamoja na jezi zisambae mtaani, Fursa kwa wauza jezi kwa sababu nchi nyingi zinakuja apa watanunua jezi pia mechi sio masaa 24, mda ambao hawapo uwanjan watazunguka kwenye mitaa yetu kama number 2 itafanyika vizuri basi wale wanaouza vitu vya kitamaduni kama pale mwenge wangepata wateja wa kutosha kwa sababu wameonekana sana
4) kuna mgahawa nauonaga maeneo ya mlimani opposite unaitwa AFCON 2027, theme kama hizi zinaiweka nchi tayar