CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

Hatuna washambuliaji...

Sio washambuliaji tu kaka...

Bali hatuna falsafa inayotutambulisha kisoka...

Kwa namna ambavyo hawa wachezaji wamekaa muda mrefu tulipaswa kutazama kitu kinachoeleweka toka kwao...
 
Hawa Uganda wanayo wachezaji 12 wa under 23 kwenye 18. Wachezaji 2 waliocheza in 2013 walipowafunga taifa star. Sisi tume wachezesha wale wale badala ya akina Ajibu etc
 
Sijui tunakosa nini aisee

Ndio uwezo wetu umefikia mwisho kaka...

Tukitaka mabadiliko yatupasa tuanze upya hatua kwa hatua...

Kinachofanyika sasa ni funika kombe tu ili mwanaharamu apite...
 
upesi TUKOME KUSHADADIA MECHI,poor Tz Kila kitu hatuwez,labda kitandani ndo tunaweza ***** tz!!!!!!
 
mi naona ni fitna na majungu ndani ya timu ya taifa. itakua wachezaji hawamtaki kocha ndio maana wanacheza chini ya kiwango
 
Kuna msemo unasema"Kama unamfukuza mwendawazimu hakikisha unaondoa na makopo yake" hii ina maana km Nooj atafukuzwa Malinzi pia anapaswa aondolewe!!Tuanze upya
 
At least fungeni goli moja tuone raha maana mechi ya 5 hamna goli
 
Back
Top Bottom