Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,655
Tutashinda tukichukua jopo la kocha Mkwasa, Kibaden, Julio etc
Inteligensia inaonyesha Malinzi atateua Mukebezi au Minziro kwa sababu zake zile ...
Tutashinda tukichukua jopo la kocha Mkwasa, Kibaden, Julio etc
Malinzi pia ana mpango wa kibadili jina la Taifa Stars...
Mukebezi tayari ni Meneja wa Stars...Inteligensia inaonyesha Malinzi atateua Mukebezi au Minziro kwa sababu zake zile ...
na muziki wenyewe umejawa na majungu ya kutosha.
malinzi anakula 10% kwenye mshahara wa kochaNilitegemea huyu Kocha atabwaga manyanga...
Lakini naona bado ni king'ang'anizi aisee!...
naona anatolewa chini ya ulinzi mkali
![]()
Ndio madhara ya vilabu vilivyojaza wachezaji humo kununua mechi na kupata top two. Kocha anadanganyika akidhani wanajua mpira kumbe wapinzani wamenunuliwa na kucheza chini ya kiwango, mara unasikia mtu ameshinda 8-0
TUFANYENI KAMPENI ZA KUMKATAA MALINZI NA TFF YAKE. tumechoka kwa kweli.