Eti ndio anamuona DKK hii ya 83, ameingia Said MandawaDomayo anakesi ya uzururaji humu uwanjani...na kocja hamwoni
Eti ndio anamuona DKK hii ya 83, ameingia Said MandawaDomayo anakesi ya uzururaji humu uwanjani...na kocja hamwoni
matoke jaman
uwiiii ,Uganda cranes 3, taifa stars 0 dakika ya 90 now
Wachezaji wetu wanashindia wali wakati matoke ndo kila kitu ...ila nahisi wachezaji hawamtaki kocha aisee, ni penatiiiii sahivi
hatuwezi kuoata maembe jwenye mpapaiOna...Yaani Bocco anakosa goli la wazi kabisa
Kama mechi ya wiki jana kule Alexandria !! ...3-0 hii aibu saana