McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Refa TAFADHALI maliza mpira hii aibu itakua kubwa duh 3-0 hii sasa sifa.
mamaaeeeee......
Tuinvest kwenye muziki na Bigbrother Ndo tunapoweza tuu
safi sana mgeni rasmi kuondoka . hii aibu kabisa
mi naona ni fitna na majungu ndani ya timu ya taifa. itakua wachezaji hawamtaki kocha ndio maana wanacheza chini ya kiwango
Ahahaaaaa.Unaweza kutukana ovyo usiku mzima huu,toka lini forward akawa na miguu mitefu kama mbuni
mamaaeeeee......
Tuinvest kwenye muziki na Bigbrother Ndo tunapoweza tuu