CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Ni kawaida ya mafukara wanapoona nyumba ya tajiri ikiungua wao kushangilia wakiamini chama chao hatimae kinapata mwanachama mpya tena wasiyemtegemea bahati mbaya hawatambui kuwa nyumba za matajiri zinakatiwa bima.

Ninachofahamu leo CR7 akishirikiana na wadau wenzie wa BBC ndani ya ardhi aliyozaliwa atakata kiu ya muda mrefu wadau wote Santiago Bernabeu kwa kutukabidhi ndoo la 10 ndani ya dkk 90.

Mtoto asili yake nepi na unapomvua asubuhi lazima ukute imeloana na imeongezeka uzito kwa mafurushi aliyoyaporomosha usiku.

cc. Kitoabu
Sijaelewa unazungumzia ndoo gani? Yamaji au yarangi? Leo lazima tumfunge paka kengele.
 
Yani mechi yaleo hatanikipewa pesa ya sanda napandia Atlético anashinda tu. Bado sijajua mfungaji wa goli atakua nani lakini matokeo ndio kama hayo niliyo ya orodhesha hapo juu.

Mfungaji ni jamaa lenye madevu linaitwa Turan.. hatari
 
Atretico, napenda spirit yao. Wanakaba wote hawakati tamaa. Lazima leo wabebe kombe. Midevu ana mishemishe ya ajabu, koke hata xavi hamkaribii kiwango, garcia, gabi, diego, na costa hawa jamaa nawakubali japo mm ni mshabiki wa barca.
Madrid ni majina tu lakn hao bbc wakipoteana huwa hakuna kitu.
Atretico tatu madrid zeero
 
Ni kawaida ya mafukara wanapoona nyumba ya tajiri ikiungua wao kushangilia wakiamini chama chao hatimae kinapata mwanachama mpya tena wasiyemtegemea bahati mbaya hawatambui kuwa nyumba za matajiri zinakatiwa bima.

Ninachofahamu leo CR7 akishirikiana na wadau wenzie wa BBC ndani ya ardhi aliyozaliwa atakata kiu ya muda mrefu wadau wote Santiago Bernabeu kwa kutukabidhi ndoo la 10 ndani ya dkk 90.

Mtoto asili yake nepi na unapomvua asubuhi lazima ukute imeloana na imeongezeka uzito kwa mafurushi aliyoyaporomosha usiku.

cc. Kitoabu

yaani we obwato hujui hata kusoma mazingira. Atletico de Madrid leo hawana cha kupoteza, sababu cl haikuwa target yao wao walikuwa wanalenga la liga. Atletico kama watapata kombe leo litakuwa ni bonus, kwa kuwa halikuwa target yao. Main target yao ilikuwa ni kupata laliga.

Leo Real Madrid watacheza kwa presha kuliko Atletico.

Natabiri. Atletico 1 madrid 0. Goli dk 37-41.
 
Last edited by a moderator:
That time we have been waiting is today! Nani atalitwaa kombe?

Msisimko unaweza kuwa sio mkubwa sana kwa kuwa wachezaji walioko national teams watakuwa wakicheza kwa tahadhari ili wasiumie kwenye kombe la dunia

Katavi Mbu Nzi et al.

this trophy goes to real to make their tenth europe cup..
 
Last edited by a moderator:
Atlético 1 - 0 Real. Goli litafungwa Kipindi cha kwanza, dk zamwanzo kabisa (8-20) litafungwa kwanjia ya kona. Kipindi cha pili Refa atajitahidi kuwabeba Real kwa kuwapa penalt ya utata lakini hilo halitakua suluhisho la Real kukalia kipande, mpigaji (Balé) atapaisha juu utafikiri anapopoa maembe njwanjwa. Mpaka dk 90 Atlético 1 - 0 Real.

bila shaka wewe utakuwa ni mganga wa kienyeji.....!!!!
Hints zako ziko murua sana.
 
Iko hivi Atletico na Real kwenye mechi nne zilizopita Real kashinda Mbili kwa goal 5 aggregate, kafungwa mechi moja goal moja na moja wakatoka draw
leo mimi binafsi nawapa Real ushindi kwa 100% na kuwawekea dau kabisa la 47000
 
yaani we obwato hujui hata kusoma mazingira. Atletico de Madrid leo hawana cha kupoteza, sababu cl haikuwa target yao wao walikuwa wanalenga la liga. Atletico kama watapata kombe leo litakuwa ni bonus, kwa kuwa halikuwa target yao. Main target yao ilikuwa ni kupata laliga.

Leo Real Madrid watacheza kwa presha kuliko Atletico.

Natabiri. Atletico 1 madrid 0. Goli dk 37-41.

No leo itakuwa ATM 3 RM 1
 
Pamoja mkuu, lazima Real akalie kipande.
 
Last edited by a moderator:
Real Madrid Leo wanabeba CL wamekosa Alonso tu kati ila haijalishi vipi watashinda ila watashinda Leo Atletico Madrid Karim Benzema ndio atamaliza mchezo mzima.
 
Sijaelewa unazungumzia ndoo gani? Yamaji au yarangi? Leo lazima tumfunge paka kengele.

Utanielewa tu muda ukifika, ni ndoo ya bafuni lzm tuogelee kwa furaha.

Tatizo wewe unaongozwa na I LOVE YOU kwenye utabiri wako ndio maana uliomba BAN kwa kuiamini timu yako mbovu ya msimbazi na ya Chamazi.
 
Atlético 1 - 0 Real. Goli litafungwa Kipindi cha kwanza, dk zamwanzo kabisa (8-20) litafungwa kwanjia ya kona. Kipindi cha pili Refa atajitahidi kuwabeba Real kwa kuwapa penalt ya utata lakini hilo halitakua suluhisho la Real kukalia kipande, mpigaji (Balé) atapaisha juu utafikiri anapopoa maembe njwanjwa. Mpaka dk 90 Atlético 1 - 0 Real.

Sikujua kama tuna Sheikh Yahya mpya siku hizi.......

Tiba
 
Back
Top Bottom