Msajili was vyama vya siasa kwakuwa amekubali Kutumika kwa maslahi ya ccm na serikali take ni muhimu sasa ajibiwe kwa mapana na marefu ili kuondoa upotoshaji ambao anaufanya kuwa wanachama, wapenzi na washabiki wa Chadema pamoja na wananchi wote kwa ujumla.
Ni aibu sana kwa mtu ambaye ni mwanasheria tena mwenye daraja la ujaji anavyokubali kuw eka pembeni weledi na Kutumika kwa maslahi ya chama kimoja. Mtangulizi wake ambaye naye alikuwa ni Jaji (Tendwa) alia za vizuri lakini baadae akageuka kuwa kuwadi wa ccm.