Huu utoto utaendelea kuwa cost chadema. yani wewe
Tumaini Makene baada ya kutumia muda huu kutatua taitizo na kutoa maelezo ya kina na kuonesha ni wapi na kwanini msajili amepotosha na useme wazi hamkuwai kuwasilisha muhtasari wa marekebisho kwa msajili,badala yake unaleta porojo za chama kitatoa tamko..... hivi kwanini chama chenu kila leo hakijipangi kujibu mambo? badala ya kuleta majibu we unaleta taarifa ya kijinga kama hii heti chama kitatoa kauli.
Hivi kwanini hukusubiri kauli ya chama ndio ulete? yani wewe sioni tofauti yako na wasio wasemaji wa chadema.Ni wazi hili swala limekuwa gumu na ni vema mkaja na uthibitisho hamkuwai kuwasilisha muhtasari wa kikao kwa msajili.
Nakukumbusha maneno ya msajili kwa barua kwenda kwa Slaa.
Aidha barua yako yenye kumb na C/HQ/ADM/MSJ/04/78 ya tarehe 18/9/2006 iliyo ambatanishwa na muhtasari wa mkutano mkuu uliofanyika tarehe 13/8/2006 ilibainisha ibara zilizo fanyiwa marekebisho kuwani 3.4,3.b,4.2.9,5.1.8,5.4.6,6.1. 1,6.2.3(d),7.4A,7.5,7.6,7.7.5, 7..7.19 na 7.8 kwa maana nyingine hizo ndizo ibara pekee zilizo fanyiwa marekebisho-Judge Mtungi.
Ibara ya 6.3.2(c) ambayo ndio mlengwa katika mjadala huu haikutajwa wala kutokea katika muhtasari huo-Judge Mtungi