Jeremiah
JF-Expert Member
- Feb 17, 2009
- 644
- 129
Acha wivu kaka bado kijana. usijeukawa mchawi wakati wa uzee wako
Mleta mada ni msukule wA mbowe
Mleta mada ni msukule wA mbowe
Jana nilipozungumza na baadhi ya Vyombo vya habari vilivyotaka kupata kauli ya chama juu ya upotoshaji uliokuwa umeenea jana ukitokana na barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyokuwa imenukuliwa kwenye Vyombo vya habari kadhaa, niliwajibu kwa kifupi kuwa chama kitatoa kauli baada ya kuwa kimefuatilia kwa kina correspondences hizo zilizotajwa au kudaiwa kuwa ni za msajili.
Waandishi waliopata kauli hiyo ya jana wengi ni wale tuliokutana nao wakati Kiongozi wa UKAWA, Freeman Mbowe alipokutana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, kwenye ofisi ya msajili, kuzungumza juu ya mstakabali wa mchakato muhimu na nyeti wa Katiba Mpya.
Ilikuwa ni baada ya wito wa Msajili Jaji Mutungi aliyeomba akutane na Kiongozi wa UKAWA ili kupata msimamo wa umoja huo kwa sababu Bunge Maalum la Katiba linapaswa kuanza vikao vyake mwezi mmoja ujao huku mchakato ukiwa bado uko shakani kutokana na kukosekana kwa ushiriki wa UKAWA.
Kama nilivyowaambia waandishi hao kuwa kauli ya chama itatolewa baada ya kujiridhisha na kufanya crosschecking kwenye mambo kadhaa kuhusu correspondences hizo, leo chama kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, John Mnyika kitatoa ufafanuzi juu ya upotoshaji huo ambao leo pia umeendelezwa kwa namna nyingine na Ofisi ya Msajili, kupitia kwa Naibu Msajili.
Watanzania kwa ujumla na hususan wanachama, wapenzi, mashabiki, wafuasi na makamanda wa CHADEMA ndani na nje ya nchi wasisahau kuwa siku zote CHADEMA imesema kwa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani, inapigania ukombozi/ uhuru wa pili wa Watanzania.
Hatuwezi kuwa na uhuru utakaoweza kuwa fursa ya kupata au kujitafutia maendeleo, iwapo taasisi kama hii ya Msajili wa Vyama vya Siasa haziko huru na KUWAJIBIKA kwa uwazi na uadilifu kwa wananchi badala ya kufuata maagizo ya chama tawala.
Ni Msajili huyu huyu aliyenukuliwa leo ambaye alitumwa na kutumiwa na CCM kutetea ujambazi, uhalifu na ugaidi wa Green Guard wakati wa mjadala wa vikundi vya ulinzi ndani ya vyama vya siasa hasa baada ya CC ya CHADEMA kupitisha maamuzi kuwa chama kitaanza kutoa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wake, kama Katiba inavyosema, ili kulinda mali, viongozi na rasilimali za chama.
Ni Msajili huyu pasi na haya wala mishipa ya soni kumshtuka, alikubali kutumwa na kutumika na CCM kwenda kutetea Green Guard lakini akipinga vyama vingine kama CHADEMA na CUF kujilinda dhidi ya mashambulizi ya vijana wa CCM na wakati mwingine kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wa Jeshi la Polisi.
Bila shaka tunao wajibu wa kuisaidia Ofisi ya Msajili iendane na hadhi ya kuongozwa na mtu mwanasheria mwenye hadhi ya Jaji.
Ofisi yenye hadhi ya namna hiyo haipaswi kuingizwa kwenye such disgraceful shows zilizoanza kwa kupokea maandamano ya watu asiowajua.
Majuzi DCR Mnyika alipofanya press conference mjini Dodoma kuweka hoja cha chama dhidi ya viroja vilivyoibuliwa na kundi la watu wanaojiita wanaCHADEMA huku wakizungumza lugha na maneno ya Nape na Kinana, alisema move hii inajulikana na itaendelea kujitokeza kwa sura tofauti tofauti kama ilivyopikwa jana na leo
Stay tuned...
Makene.
Matamko hayawasaidii tekelezeni maagizo ya Masajili atakifuta chama!
Ebo..!!
Sasa mnataka awaache muendelee kulaghai umma wa watanzania na chenga za demokrasia msiyokuwa nayo??
Jibuni hoja hizo.
Ziko wazi kabisa.
Msome mjumbe hapa wewe hata hujuelewi bora ukasubiria msimamo wa chama ndo uanze kupiga Domo huna unachokijuapapaa
Msajili hana mamlaka ya kutafsiri Katiba ya chama chochote cha siasa.
Custodian wa Katiba ya Chama cha siasa ni chama chenyewe kupitia Mkutano Mkuu wa Chama.
Mwanakijiji, kama msajili amepewa hata mamlaka ya kufuta Chama cho chote, it is obvious kuwa hayo madaraka anayo. Na yeye ndo mwenye dhamana ya kuhakikisha kuwa vyama vyote vinafuata katiba zao. Hata hivo, hoja yangu ni kama kuna haki katika jambo hili - kama hakuna msukumo nje ya yeye . Nimesema hivyo, kwa sababu, Chadema wameonesha nyaraka na ushahidi kuwa walifuata utaratibu. Yeye anasema hataki kwa mujibu wa barua yake - swali ni kwa nini hataki kidekteta na anafanya hivyo kwa maslahi ya nani? Kuna akina Waberoya hawanielewi, wanadhani mimi nawapigania akina Mbowe na Slaa. No at all. Hawa ni watu na ni siyo Malaika. LEO wapo kesho wataondoka kwa sababu iwayo yote. Hoja yangu ni kwamba kama msajili wa vyama yuko objective au la. Na naomba kupendekeza kuwa hayuko objective. sababu sijui.
Ccm mnawaogopa sana Mbowe na Slaa ndiyo maana hamtaki kabisa waendelee kukiongoza chama,maana mnajua ni viongozi shupavu na mahili wenye msimamo kuwahi kutokea tanzania,mnadhani wakitoka madarakani mtaimaliza chadema,mtahangaika sana.
Hayo masharti mpelekee mother yako
Mwambie akifute... unajua maana ya tamko?Matamko hayawasaidii tekelezeni maagizo ya Masajili atakifuta chama!
Ni kweli kabisa.
Tatzo makene hana jins.
Yeye nae ni mchumia tumbo tu akiambiwa fanya hiki anafanya.
Usifanye kile hafanyi.
Makene is gettin paid kwa haya mabandiko yake.
Na asipofanya hivi watoto wataendaje chooni??
Ila matter of fact makene ukweli moyoni mwake anaujua.
TAMKO.la CHADEMA linapikwa UFIPA sasa hivi. Wapishi ni ben saanane, yericko nyerere na henry kilewo.
Jana nilipozungumza na baadhi ya Vyombo vya habari vilivyotaka kupata kauli ya chama juu ya upotoshaji uliokuwa umeenea jana ukitokana na barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyokuwa imenukuliwa kwenye Vyombo vya habari kadhaa, niliwajibu kwa kifupi kuwa chama kitatoa kauli baada ya kuwa kimefuatilia kwa kina correspondences hizo zilizotajwa au kudaiwa kuwa ni za msajili.
Waandishi waliopata kauli hiyo ya jana wengi ni wale tuliokutana nao wakati Kiongozi wa UKAWA, Freeman Mbowe alipokutana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, kwenye ofisi ya msajili, kuzungumza juu ya mstakabali wa mchakato muhimu na nyeti wa Katiba Mpya.
Ilikuwa ni baada ya wito wa Msajili Jaji Mutungi aliyeomba akutane na Kiongozi wa UKAWA ili kupata msimamo wa umoja huo kwa sababu Bunge Maalum la Katiba linapaswa kuanza vikao vyake mwezi mmoja ujao huku mchakato ukiwa bado uko shakani kutokana na kukosekana kwa ushiriki wa UKAWA.
Kama nilivyowaambia waandishi hao kuwa kauli ya chama itatolewa baada ya kujiridhisha na kufanya crosschecking kwenye mambo kadhaa kuhusu correspondences hizo, leo chama kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, John Mnyika kitatoa ufafanuzi juu ya upotoshaji huo ambao leo pia umeendelezwa kwa namna nyingine na Ofisi ya Msajili, kupitia kwa Naibu Msajili.
Watanzania kwa ujumla na hususan wanachama, wapenzi, mashabiki, wafuasi na makamanda wa CHADEMA ndani na nje ya nchi wasisahau kuwa siku zote CHADEMA imesema kwa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani, inapigania ukombozi/ uhuru wa pili wa Watanzania.
Hatuwezi kuwa na uhuru utakaoweza kuwa fursa ya kupata au kujitafutia maendeleo, iwapo taasisi kama hii ya Msajili wa Vyama vya Siasa haziko huru na KUWAJIBIKA kwa uwazi na uadilifu kwa wananchi badala ya kufuata maagizo ya chama tawala.
Ni Msajili huyu huyu aliyenukuliwa leo ambaye alitumwa na kutumiwa na CCM kutetea ujambazi, uhalifu na ugaidi wa Green Guard wakati wa mjadala wa vikundi vya ulinzi ndani ya vyama vya siasa hasa baada ya CC ya CHADEMA kupitisha maamuzi kuwa chama kitaanza kutoa mafunzo ya ukakamavu kwa vijana wake, kama Katiba inavyosema, ili kulinda mali, viongozi na rasilimali za chama.
Ni Msajili huyu pasi na haya wala mishipa ya soni kumshtuka, alikubali kutumwa na kutumika na CCM kwenda kutetea Green Guard lakini akipinga vyama vingine kama CHADEMA na CUF kujilinda dhidi ya mashambulizi ya vijana wa CCM na wakati mwingine kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wa Jeshi la Polisi.
Bila shaka tunao wajibu wa kuisaidia Ofisi ya Msajili iendane na hadhi ya kuongozwa na mtu mwanasheria mwenye hadhi ya Jaji.
Ofisi yenye hadhi ya namna hiyo haipaswi kuingizwa kwenye such disgraceful shows zilizoanza kwa kupokea maandamano ya watu asiowajua.
Majuzi DCR Mnyika alipofanya press conference mjini Dodoma kuweka hoja cha chama dhidi ya viroja vilivyoibuliwa na kundi la watu wanaojiita wanaCHADEMA huku wakizungumza lugha na maneno ya Nape na Kinana, alisema move hii inajulikana na itaendelea kujitokeza kwa sura tofauti tofauti kama ilivyopikwa jana na leo
Stay tuned...
Makene.
wanasikitisha sana.
Pia Msajili pia aangalie yafuatayo:-
- Uchaguzi Chadema unafanyika
- Viongozi (Mbowe na Slaa) waliojikopesha ruzuku walizirudisha
- Mahesabu ya Chadema yanakaguliwa
- Wabunge wa viti maalumu wasichaguliwe kwa udugu
- Mradi wa uchangishaji wa M4C iwepo hesabu za mrejesho
- Viongozi wasiotoka Kaskazini hawabughudhiwi
Umesema kweli, hapo ndio unaona unafiki wa chadema. Kama katiba mnaisigina kwa manufaa ya watu wawili basi hamfahi kabisa kuaminiwa kushika dola, dola haiwezi kuendeshwa kwa ulaghai na cheap gimmicks. Binafsi kwa hili nimewadharau sana chadema.
One thing will redeem chadema: hold a free, fair and open general assemply and let all members decide on this issue.
Msome mjumbe hapa wewe hata hujuelewi bora ukasubiria msimamo wa chama ndo uanze kupiga Domo huna unachokijua
Yote ya nini?,Dr.Slaa awe m/kiti,kamanda mbowe katibu,full stop,hakuna mtu wa kuongoza chadema zaidi ya hao kwa sasa.Jana nilipozungumza na baadhi ya Vyombo vya habari vilivyotaka kupata kauli ya chama juu ya upotoshaji uliokuwa umeenea jana ukitokana na barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyokuwa imenukuliwa kwenye Vyombo vya habari kadhaa, niliwajibu kwa kifupi kuwa chama kitatoa kauli baada ya kuwa kimefuatilia kwa kina correspondences hizo zilizotajwa au kudaiwa kuwa ni za msajili.