Mkuu AKASHUBE,
Mimi siko huko kwa kikao cha dharura hata kidogo.
Ni masuala ya kuwa wakweli tu.
Kuna mawazo na propaganda kuwa eti CCJ ni chama ambacho kimesheheni Vigogo wa CCM.
Huu si ukweli.
Ukweli ni kwamba CCM iko pale pale na vigogo wake bado wako ngangari ndani ya CCM.
CCJ ni chama kilichoanzishwa ili kuwachanganya wapinzani wadhani kuwa CCM imekuwa dhaifu.
Wapinzani wakawaza kuwa CCJ ni mgawanyiko wa CCM, basi watashindwa kirahisi na CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Wapinzani unganisheni nguvu zenu badala ya kupumbazwa na CCJ kisha mkalala usingizi.
Natoa hoja.
Kwa mpiganaji hilo linafahamika na kama mwana JF umeshaelewa mlengwa wa post ile ni nani, na kwa kuwa wakweli ni kwamba umechokoza kwenye angle nzuri, ila CCM wanaotarajiwa kuingia CCJ baadaye wanaisoma hii sasa hivi. Wapinzani hawajalala isipokuwa kuna wapinzani hewa, usitegemee hawa watakuja unganisha nguvu zao hata siku moja.
Na CCJ wakiingia kwa mlango wa nyuma tutawapiga kwa mawe hadi wafe. Tunataka wazalendo wa kweli.
UJUMBE KWA WAPINZANI HEWA
Vyama vya upinzani vitakavyotuzingua safari hii vitatukoma, ombeni ulinzi kabisa tukigundua mnatuzunguka na tukathibitisha ni mawe tu. TUMESHACHOKA SISI. BORA MBAKI HUKO HUKO KWENYE CCM YENU MBOVU.
UJUMBE KWA CCM
KUNA SIKU TUTACHOKA KUPIGA KURA...ENDELEENI KUTUCHEZEA TU MTAONA!!!! HATUNA BUNDUKI HATUNA SILAHA YEYOTE LAKINI SISI NI WANANCHI....MTAKUJA TOKA IKULU KWA NYANYA TU. HIZI HIZI NYANYA MBOVU ZA KARIAKOO...WANANCHI TUTAKAPOCHOKA ZAIDI... VIFARU VYENU HAVITAWEZA KUPAMBANA NA NYANYA MBOVU ZA TANDALE.
Huenda huyu ni mwana CCJ mmojawapo?Haya ni mawazo yako tu wala huna DATA zozote hii ni post kama post zingine tu ulikuwa huna haja ya kuanzisha thread ungeweza kutoa mawazo yako kwenye thread zingine zinazofanana kama -katiba ya CCJ ni hii- nk. nafikiri mods muda si mrefu ataiunganisha hii thread kwenye thread zinazofanana.
Wapinzani unganisheni nguvu zenu badala ya kupumbazwa na CCJ kisha mkalala usingizi.
Natoa hoja.
Kuna mawazo na propaganda kuwa eti CCJ ni chama ambacho kimesheheni Vigogo wa CCM.
Huu si ukweli.
Ukweli ni kwamba CCM iko pale pale na vigogo wake bado wako ngangari ndani ya CCM.
CCJ ni chama kilichoanzishwa ili kuwachanganya wapinzani wadhani kuwa CCM imekuwa dhaifu.
Wapinzani wakawaza kuwa CCJ ni mgawanyiko wa CCM, basi watashindwa kirahisi na CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Wapinzani unganisheni nguvu zenu badala ya kupumbazwa na CCJ kisha mkalala usingizi.
Natoa hoja.
Mkuu Farmer,,Naomba ufafanuzi hapo kwenye nyekundu.
Mimi nilidhani kuwa ni chama kipya cha upinzani. na kama malego yake ni kuwafanya wapinzani wadhani kuwa kuna mgawanyiko ndani ya CCM basi utakakuwa umejichanganya kwenye maelezo yako.
CCJ ni lazima iwe na wanachama ambao tayari ni wanasiasa. Sasa kwa upande wa upinzani hakuna upepo mkubwa uliovuma kuashiria kuwa wametoka watu wakaunda CCJ. Kura inabaki kuwa hawa wengi wao watakuwa wametoka CCM.!!!
Jembe,watakaofulia kwenye kura za maoni ya ccm na kukataliwa kwenye vyama vya upinzani kutokana na ufisadi wao watakuwa hawana pahali pa kwenda. wakati wanauona ulaji unawapita watabaki wakijiuliza SI SI JE?
PakaJimmy,HADANGANYWI MTU HAPA.
CCJ ni chama makini, kama weye MAKYAO umetumwa kutuvuruga hapa JF you are in for it, na kwa taarifa yako sisi tunaangalia perfomance yake na si kukusikiliza wewe, maana kwa hakika you are a messenger of your masters, who are helplessly dying for the fear of the coming MESSIAH!
rUDI KAANZE UPYA KAKA.
AMA,Kwanza, je kuna mwanachama aliyetangaza kujitoa CCM, kama ndio ni nani?
Pili, unaposema CCJ ni lazima iwe na wanachama ambao tayari ni wanasiasa ina maana una uhakika na ulisemalo, ni kina nani hao ambao lazima ni wanasiasa?