Chama cha Walimu kimekodi wahuni kufanyia fujo ambao hawatagoma

Ukitaka umjue mtu mjinga msubiri pale atakaporopoka,ni ujinga kuhusisha mgomo huu na siasa,kwani matatizo ya walimu hamuyajui?mnakuwa wajinga kuhusisha siasa na vyama mambo yanayogusa wananchi moja kwa moja,kama wewe cheo chako ni uenezi na itikadi hili si swala la kukusaidia kueneza ilani ya chama chako,mwalimu hahitaji kushawishiwa na wana siasa hata kidogo,shida zao na maisha magumu ya walimu ni nani asiyeyajua?kafie mbali huko
 
Bogus trick! Kila kitu cha kipumbavu kinachofanywa na serikali ya ccm mnasingizia vyama vingine vya siasa specifically CHADEMA.Hivi kama madaktari,Waalimu,wanafunzi wa vyuo vikuu na wananchi wa kawaida wote wanawasikiliza CHADEMA,hicho chama cha zamani (ZP) kinamsikiliza nani?
 
Thread gan hii we mbona mnafiki hivi...kapime akili yako we sio mzima..liwalo na liwe
 
Mm ni mwalimu hakuna kitu cha hivyo walimu tumeamua kugoma. huku mufindi maafisa wanapitapita na fomu kama majuha ili kuwatisha walimu lakini wamefika shuleni kwangu na kumkuta mwalimu mkuu peke yake sasa tahadhari kwa hao vibaraka sisi walimu tuko tayari kuwatandika viboko maana wanajifanya miungu watu kwa vile tu wapo wilayani, elimu zao zenyewe wamezidiwa na hata walimu sasa wanafikiri watatutisha kama walivyozoea Hatujazi fomu zao hizo wakafie mbali.

Halafu kuna maafisa hapa Mufindi wanakashfa walikula pesa, baada ya kuona wantakiwa kukaguliwa wakapita kuwarubuni walimu eti wasaini fomu kwa vile kutakuwa na kikao wilayani walimu wakasaini kumbe wanenda kuonyesha kwamba walimu hawa ndiyo waliolipwa, habari hizo zimevuja. Elimu mkoa wa Iringa mmedanganywa maafisa waliwadanganya eti walilipa hela za mitihani ya mkoa kumbe waliiba. Aliyekuwa anazunguka kuomba saini za walimu tutamtaja ili kieleweke WEZI WAKUBWA. WATUACHE WALIMU WAACHE KUTUTISHIA VINGINEVYO LOOOO!
 
Nahisi we hujui hata kusoma maana hujui hata usomi unafananaje maana msomi bila reseach ni sawa na pumbavu flani 2.
 
Mmeanza, na nduguyo ni msaliti, mkataa la wengi mchawi, km kawaida yenu mtasema CDM so funguka na uache kuuzunguka mbuyu
 
Mm ni mwalimu hakuna kitu cha hivyo walimu tumeamua kugoma. huku mufindi maafisa wanapitapita na fomu kama majuha ili kuwatisha walimu lakini wamefika shuleni kwangu na kumkuta mwalimu mkuu peke yake sasa tahadhari kwa hao vibaraka sisi walimu tuko tayari kuwatandika viboko maana wanajifanya miungu watu kwa vile tu wapo wilayani, elimu zao zenyewe wamezidiwa na hata walimu sasa wanafikiri watatutisha kama walivyozoea Hatujazi fomu zao hizo wakafie mbali.

Halafu kuna maafisa hapa Mufindi wanakashfa walikula pesa, baada ya kuona wantakiwa kukaguliwa wakapita kuwarubuni walimu eti wasaini fomu kwa vile kutakuwa na kikao wilayani walimu wakasaini kumbe wanenda kuonyesha kwamba walimu hawa ndiyo waliolipwa, habari hizo zimevuja. Elimu mkoa wa Iringa mmedanganywa maafisa waliwadanganya eti walilipa hela za mitihani ya mkoa kumbe waliiba. Aliyekuwa anazunguka kuomba saini za walimu tutamtaja ili kieleweke WEZI WAKUBWA. WATUACHE WALIMU WAACHE KUTUTISHIA VINGINEVYO LOOOO!
Big up haya ndo maneno, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Hiyo ninaamini kuwa CDM wanahucka kwani kupitia kurasa hii hii walikuwa wakihimiza kufanyika mgomo wa walimu ili kuonekana serekali imeshindwa kuongoza zile zama za kudanganyana zimepita kila kitu sasa kiko wazi
 
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.

Ahahahahahaaaaaa... MGOMO NI SULUHISHO KWA SERILKALI YOYOTE ISIYOTAKA KUTATUA MIGOMO KIDEMOKRASIA...

Hivi mnadhani mtafanikiwa kwa Propaganda za KITOTO kama hizi? Mtu mwenyewe unaandika "INASEMEKANA" Manake huna hata uhakika unaleta Umbea tu hapa...Mimi ni mwalimu na nilisaini bila kulipwa na sikuona mwalimu aliyelipwa wakati wa kusaini.. HUU UMBEA UNAUTOA WAPI?
 
Hayo ni majibu rahisi kwa maswali magumu. Mnatakiwa mtatue kero ze walimu na sio kutafuta "mchawi". Mchawi wa migomo ni nyie wenyewe. Msikwepe wajibu wenu kwa kuwasingizia wasiohusika.
hiki ndicho kinachotukera wataacha mada wataanza kuingiza siasa ila ukweli uko pale pale motive ya mgomo wa walimu ni matatizo lukuki yaliyo katika stahili za ajira.
 
Mie nilitaka kushangaa CDM kwenye hili kweli wasiwemo, kwani madaktari walikuwemo, vyuo vikuuu wamo, na hii sasa walimu wao. CDM mna laana gani nyie zebu waambieni watanzania ? kwani ni kama mti wa ubuyu haufai kwa mbao wala mkaa

Kama hivi ndo unataka tuamini,basi CCM ishakosa support ya makundi mengi sana kitu amabacho sio kizuri kwa ustawi wa chama hasa ukiangalia uwezo wa CDM kushawishi kada mbalimbali katika kudai haki zao...!
 
I have been teaching for 5yrs,before resigning 2yrs ago! teachers are partners of ccm.but inflation turned em enermity
 
wananchi wakidai haki mnasingzia wahuni..mbona mnanunua malori,kujenga mahotel na masheli na kuuza madin yetu kama zawadi..kila kitu kna mwanzo na mwsho watz wa leo si wa mwaka 1940
 
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.
Husisha ubongo wako kuelezea mtazamo wako kwenye mgomo huu bila kuingiza udaku wako. Walimu ni wengi, CWT imekodi jeshi kubwa kiasi gani kutosha ku-terorise shule zote? POLICCM iko wapi? Watu wanadai haki zao wewe unahusisha na ushabiki wa kisiasa. Haingii akilini!
 
Lakini kisheria majority weakiamua mgomo kila mwalimu yupo bound. Sasa hao wanaofundisha ni mataahira au ni nini?
 
Ikianza kuhusishwa na siasa, nimeshuhudia baadhi ya walimu akiwepo ndugu yangu wametahadharishwa kuondoka sehemu ya kazi kwani kuna wahuni ambao wamelipwa ili kwenda kufanyia fujo walimu ambao hawatagoma. Pamoja na CWT kuwalipa walimu wakati wakiweka saini zao ili wagome kuna chama cha sisa pia inasemekana kimesaidia kutafuta wahuni ili kwenda kuwafanyia fujo wale viherehere wasiotaka kugoma. Chama chenyewe inasemekana ni kile kilichokaa na kujiimarisha kifujo fujo - kwa ushahidi mzuri tembelea baadhi ya shule kuanzia Magomeni hadi Mbezi kwa wale wa Dar walw wa Arusha mitaa ya Njiro na Kijenge, Dodoma pale Kizota.

Avanti.
unahitaji kuwa na dhaifu sana kuamini post kama hii
 
Back
Top Bottom