Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Mbona umeishia kwenye ukabila na ukanda tu? Si ungemalizia na ni chama cha kidini pia kama wanavyodai magamba wenzako? Au kipande hicho umekiruka kwa kuwa wewe pia ni mgalatia? Unafiki ni kitu kibaya sana!

Kumbuka mabadiliko ni kama nature'hayakwepeki. So nyinyi fanyeni na ongeeni propaganda zote lakini siku ya mwisho
lazima tutawang'oa tu madarakani....mark my word!
 
Ulichoandika hapo ni mtazamo wako ambao hata sisi tunaoiamini CDM tunaweza tukaandika mtizamo wetu kuhusu CCM na ndio maana ukiwauliza vijana wengi wa CCM ni kwa nini wanaipenda CCM hutopata majibu au utapata majibu ya kuchekesha. Mimi ninaiamini CDM na sitaacha kuiamini kwa sababu sioni namna ambapo CCM inaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka kule tunakotarajia. Hizo ni propaganda za kijinga ambazo hazina uhakika zenye lengo la kuwaondoa wasio na akili ya kufikiri ili wakiweza waendelee kushabikia upuuzi wa CCM.

Watu wengi wanaojitambua iwe ni serikalini au nje ya serikali wanajua mapungufu ya CCM na wanaamini kama ninavyoamini mimi kuwa CCM imeishiwa uwezo wa kuongoza nchi hii. Wasomi wengi hata kama hawasemi wazi lakini wanatambua hilo kuwa CCM si lolote na si chochote katika kutuletea maendeleo.

Ushahidi upo mwingi kuwa CCM haiwezi tena, angalia katika sekta zote kama kuna maendeleo ya wazi yanayoletwa. Angalia sekta ya elimu, angalia sekta ya afya, angalia kilimo, n.k huwez kuona maendeleo yanayotuwezesha kujisifu. Angalia asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wakiwa bungeni, kazi yao ni kuitetea serikali katika kila jambo na si kuwatetea wananchi. Hiyo ndio sababu kubwa ya kuichukia CCM na mambo yake na sio propaganda unazojaribu kuwaaminisha watu.
 
Dah!! Sred inajivuta taratiib kama vile haiwahusu CDM. Maana kwa uzoefu uliopo, mada yoyote inayotoa challenge kwa CDM, hupokewa kwa kejeli na matusi yasiyotamalika.

Lakini leo naona kiwango cha matusi si kivile nadhani ni sababu zifuatazo:

Kwanza; Mada ni mahsusi kwa wenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo kitu ambacho wengi wa wafuata upepo, hawana ubavu.

Pili; Mada ni ndefu kiasi ambacho wafuata upepo hawana ubavu wa kuisoma soma yote Kwa sababu haiko kimipasho na kimatusi ambayo ndo fani ya wafuata upepo wengi.

Na tatu ni kwa kuwa mada inahitaji uwe na uwezo mkubwa wa kiakili na sio kukariri na hivyo kuwashinda wafuata upepo wengi.

Ni hayo tu.
Wa Tanzania kwa Sasa hawahitaji Mipasho.
.
Wa Tanzania wanataka Kujua nini Hatma ya Waliotorosha Wanyama Mchana kweupeee
Wa Tanzania wanataka kujua nini hatma ya Wale walio fuja Kodi zao kwa Kuingia Mikataba ya Kipuuzi kama Richmond.
Wa Tanzania wanataka watu (CCM) wawajibishwe kwenye Kashfa za Meremeta, Deep Green Finance, EPA etc etc.
Wa Tanzania wanataka watu (CCM) wawajibishwe kwa kucheza na Elimu yetu na kusababisha tuwe na Taifa la Wajinag Kabisa.

Haya yote yamefanywa na CCM, badala ya Kuhoji haya, WAPUUZ.I wanakuja na Thread kama hizi.
ZeMarcopolo kwa sisi tunaomfahamu tokea Ilboru hadi MUCHS wala hatushangai kuona kila siku anapoteza Muda ku i atack CDM ilhali CDM haijawahi kuongoza Nchi.
Anajaribu kuzuia Upepo kwa Mikono
 
Ulichoandika hapo ni mtazamo wako ambao hata sisi tunaoiamini CDM tunaweza tukaandika mtizamo wetu kuhusu CCM na ndio maana ukiwauliza vijana wengi wa CCM ni kwa nini wanaipenda CCM hutopata majibu au utapata majibu ya kuchekesha. Mimi ninaiamini CDM na sitaacha kuiamini kwa sababu sioni namna ambapo CCM inaweza kututoa hapa tulipo na kutupeleka kule tunakotarajia. Hizo ni propaganda za kijinga ambazo hazina uhakika zenye lengo la kuwaondoa wasio na akili ya kufikiri ili wakiweza waendelee kushabikia upuuzi wa CCM.

Watu wengi wanaojitambua iwe ni serikalini au nje ya serikali wanajua mapungufu ya CCM na wanaamini kama ninavyoamini mimi kuwa CCM imeishiwa uwezo wa kuongoza nchi hii. Wasomi wengi hata kama hawasemi wazi lakini wanatambua hilo kuwa CCM si lolote na si chochote katika kutuletea maendeleo.

Ushahidi upo mwingi kuwa CCM haiwezi tena, angalia katika sekta zote kama kuna maendeleo ya wazi yanayoletwa. Angalia sekta ya elimu, angalia sekta ya afya, angalia kilimo, n.k huwez kuona maendeleo yanayotuwezesha kujisifu. Angalia asilimia kubwa ya wabunge wa CCM wakiwa bungeni, kazi yao ni kuitetea serikali katika kila jambo na si kuwatetea wananchi. Hiyo ndio sababu kubwa ya kuichukia CCM na mambo yake na sio propaganda unazojaribu kuwaaminisha watu.

Well said Mkuu.
Aina wa Wabunge wa CCM inatupatia a clear Picha ya aina za Supporters wa CCM.
Huyu Jamaa anachuki binafsi na CDM, kwa sisi tunaomfahamu tokea kitambo wala hatushangai.
Ila all in all, Propaganda kama hizi kamwe haziwezi kuinasua CCM na Kuchokwa na watu wa kila rika.
Yaan juzi tu watoto wetu wame feli from four kwa kiwango cha kutisha na Kufedhehesha halafu kuna mtu anakuja na hoja kama hizi.
 
vichanzi,

Ha ha ha! yu ve realy made my day! yaani umepiga presha point! Ningekuwa ktk Pc ningegonga "like"! Hao ndivyo walivyo haswaaaa! Kwani huyo Mwizi Godbless ana jipya gani? na sijui wizi kama kaacha kweli, au zuga!
 
Last edited by a moderator:
vichanzi, umenigusa sana na maelezo yako. Mtungika uzi asipopata ban basi JF kuna mageuzi. Hivi JF iko fair kweli au bora nisema -wako torelant kweli. Zile hoja zinazoichambua cdm kiunaga baga mara nyingi hukumbana na matatizo. Halafu hawa cdm sijawahi kuona wanajibu hoja kisayansi sana sana matusi- Umenunuliwa, kaolewe naye, njaa kali wewe n.k. Sasa nani kakuambia mtu mdadisi anaweza kushabikia cdm.
 
Last edited by a moderator:
Lakini pia ukiangalia kwa makini, utabaini kuwa CDM wanategeamea watu yaani wanafanya siasa za watu r, sera baadaye. Hii ndo inafanya watu kama Slaa kujiona kuwa wao ni zaidi ya Chadema na anafanya atakavyo kwa sababu tu bila yeye hakuna Chama. Kimsingi huu ni udhaifu uliopitiliza.

Pia hivi sasa let's say kwamba Wachaga waache au wasiendelee kuwa na matumaini na Chadema, itakuwa na hali gani? Au wakatoriki wanaomchukulia Slaa kama tumaini lao, wakiacha kuamini hivyo, Chadema itakuwa na hali gani?

Mkuu naona umeongea kinyume, ingekua ccm wapo tofauti na unavyoelezea leo Lowassa,Chenge,kinana na wengineo Wangekua nje ya siasa za ccm.
 
Wa Tanzania kwa Sasa hawahitaji Mipasho.
.
Wa Tanzania wanataka Kujua nini Hatma ya Waliotorosha Wanyama Mchana kweupeee
Wa Tanzania wanataka kujua nini hatma ya Wale walio fuja Kodi zao kwa Kuingia Mikataba ya Kipuuzi kama Richmond.
Wa Tanzania wanataka watu (CCM) wawajibishwe kwenye Kashfa za Meremeta, Deep Green Finance, EPA etc etc.
Wa Tanzania wanataka watu (CCM) wawajibishwe kwa kucheza na Elimu yetu na kusababisha tuwe na Taifa la Wajinag Kabisa.

Haya yote yamefanywa na CCM, badala ya Kuhoji haya, WAPUUZ.I wanakuja na Thread kama hizi.
ZeMarcopolo kwa sisi tunaomfahamu tokea Ilboru hadi MUCHS wala hatushangai kuona kila siku anapoteza Muda ku i atack CDM ilhali CDM haijawahi kuongoza Nchi.
Anajaribu kuzuia Upepo kwa Mikono

Kwa kukariri matukio haujambo. Hata hivyo imethibitika bila ya shaka kuwa wahusika karibu wote wa kinachoitwa ufisadi ni ndugu wa wanacdm kama sio kabila moja na au ni dini moja au raia wamoja.
 
Kwangu mimi hii thread ndio bora kabisa katika zote nilizowahi kuzisoma JF. Mwandishi amechambua kisayansi na nirahisi kujua ukweli huo. Utatukanwa lkn ukweli utabaki palepale. Hata Mhe. Mbowe alikiri kuwa staili wanayotumia kwenye siasa inaleta picha mbaya kwenye jamii. Kukumbatia ukanda, ukabila na udini ni suluhisho la kushindwa katika siasa.
 
Ukiangalia takwimu ulizoziweka hapo juu kwenye nyekundu ni sawa na 8+% ya siku zote kwa mwaka.

Sasa kulingana na mazingira ya kiutendaji serikali kuu ni nyingi mno kama zinakuwa za kiutendaji. Hii ni kama takwimu zako ziko sawa.

Kwa lugha nyingine wanakwenda majimboni mwao walau mara mbili kwa mwezi!.

Ukumbuke kuwa hawa wanafanya siasa kuhamasisha na kuimarisha chama maeneo mengine tofauti na majimboni kwao.
Wanahudhuria vikao vya Bunge na Kamati na kufanya kazi za kamati pia lakini walau 30 kuliko wasiokwenda hata mara 10 kwa miaka mitano.

Kuhusu sera ya majimbo usiwahukumu Magavana hewa maana hawa hawatakuwa sawa na wakuu wa mikoa na wilaya wanaosubiriri sherehe na matukio tu ndio wanajulikana kuwa wapo.

Wewe sio mwachama wa chama chochote lakini una ukereketwa, Shutuma nyingi dhidi ya vyama vya upinzani huwa ni Propaganda lakini hakuna wa kuthibitisha.

Takwimu haziko sawa kwa maana huo niliotoa ni mfano tu, sidhani hata kama tunapaswa kubishania hili swala kwa maana liko wazi sana wala usiwatetee Wabunge (CCM na Wapinzani) kwa hili, wengi huko Majimboni kwao ni kama sehemu ya kufikia tu, wengine hata huwa wanafikia Nyumba za kulala Wageni lkn makazi yao ya kudumu yako Dar,
na nasema hivi kwa maana wengine ni majirani zangu na tunakunywa bia pamoja vijiweni, hivyo nina uhakika na ninachokiandika, kwa Umoja wao Wanatuibia tu!

Nina haki ya kuwahukumu hao Magavana kwa maana watakuwa na Watz labda iwe vinginevyo, labda walete madiaspora, lkn kama ni wakutoka TZ, nakuhakikishia hakuna jipya, kwa maana tatizo hapa sio swala la kuwa na Majimbo au la, bali ni swala la Jamii yetu hapo ndipo tatizo lilipo,

Mfumo huu tulionao haujagunduliwa Tanzania bali unatumika nchi nyingi sana Duniani, na kwa baadhi ya nchi umewasaidia na kwa baadhi ya nchi kama yetu haujawasaidia sana (kiuchumi) hivyo hivyo na huo wa Majimbo pia unatumiwa na nchi nyingi na baadhi umewasaidia na baadhi umekuwa kiama kwao hasa hapa Barani Afrika kama Nigeria, Musumbiji, Kongo, Ethiopia n.k na tusubiri jirani zetu Wakenya tuone, kwa maana wana Majimbo 47 (Magavana 47), wana Wabunge karibu 200 na Maseneta wa namba kubwa hivyo hivyo, wote hao wanahitaji Ofisi, Magari, Mishahara minono, Nyumba, Bima, Wafanyakazi wa Maofisini mwao, bila kusahau baada ya Miaka 5 kama ilivyo ada wanastaafu na kulipwa kiinua mgongo cha nguvu, sasa hiyo gharama nani atalipa?

Kuhusu uanachama mimi ni kama vile mtu mwenye Kampuni yake anatafuta Wafanyakazi, hivyo kila atakayekuja kuomba kazi kwangu ni lazima niangalia vigezo vyake kwanza ujuzi wa nafasi anayoiombea, na baada ya hapo ni lazima nimfanyie inaterview ya kufa mtu, hivyo mpaka nimchukue ujue kweli amestahili, vinginevyo ataniharibia kazi na kunifilisi, ndivyo ninavyovichukulia Vyama vya Siasa!
 
Naongezea kuwa ajenda ya ofisadi imekuwa 'monotonous' haisisimui tena. Kwa sababu watanzania sasa wanajua kuwa ufisadi sio sera ya chama chochote bali ni hulka ya mtu. Ndio maana sasa mafisadi wako hata ndani ya chadema. Na fisadi si lazima awe mwanasiasa, hata wale wanaopiga dili mjini na kutajirika bila kulipa kodi nao ni mafisadi. Leo hii tukianza kuchunguzana na kutafuta ukweli kuhusu ufisadi, basi watu wa kanda fulani na kabila fulani watazomewa kila wapitapo. Kwasababu utajiri wao ni wa dili na hao hao ndio wamejaa maofsi ya serikali wanapiga dili na jamaa zao wa uraiani wanaojiita wafanyabiashara.
 
Too long on words but short on substance!!
Indeed you have a right to your opinion na conclusions zako zina uwiano (proportionate) na upeo wa ufahamu wako na quality vyanzo vyako vya taarifa au habari!! pure grape vine stuff.

Vigumu sana kumshawishi mtu mzima mwenye IQ inayozidi kiwango cha mende; Pole sana; you have left yourself open to a sucker punch.
 
Too long on words but short on substance!!
Indeed you have a right to your opinion na conclusions zako zina uwiano (proportionate) na upeo wa ufahamu wako na quality vyanzo vyako vya taarifa au habari!! pure grape vine stuff.

Vigumu sana kumshawishi mtu mzima mwenye IQ inayozidi kiwango cha mende!! Pole sana; you have left yourself open to a sucker punch.
 
mkuu MARCCOPOLO, umejitahidi kutoa mapungfu ya CDM, hasa ili nawe ucwepo kwny hayo maknd uliyotaja, nilifkri utasema nini kifanyke ama chama kipi kiwe mbadala wa CCM. Hapa naomba nikuulize, rushwa inayonuka mpaka ikulu ni zao la chama kipi? Wizi wa mabilion mengne hd kufichwa uswis, mikataba mibovu ya kinyonyaji, machafuko ya dini, madeni makubwa ya gvt, kufeli 4m 4 kwa robo 3, je haya yote ni zao la chama kipi? Je unashawishi hayo makundi kuunga mkono ccm kwa mabaya hayo? Bahati zuri ninazo ilani zote za ccm na CDM, mf. CDM walisema km wakipewa nchi elimu itakuwa bure darasa la 7 hadi chuo kikuu tena kwa mchanganuo wa makusanyo ya ndani, Je marcopolo unaona hlo halitekelezeki? Mf. Ccm ilani yao ya 2005 na 2010 walisem umeme wa grid utafka songea lakn hadi leo hakuna. Kuna barbara toka mbeya-chunya-makongorosi kwa kiwango cha lami tena ni kwa vpnd vi3 hadi leo hakuna. Kwa hyo nafikiri ungechambua ccm km chama chenye dola, na km ulivofanya kwa Cdm ili watu wajue mapungf za vyama hv viwil ili wajue ni kipi wakiunge mkno. Au ningekuelewa km ungetoa thread ya nini kifanyke kuliko haya mambo yasiyokuwa na uhalisia wa upande wa mshutumiwa. Nakerwa sana na uhovyo huu.
 
Kwangu mimi hii thread ndio bora kabisa katika zote nilizowahi kuzisoma JF. Mwandishi amechambua kisayansi na nirahisi kujua ukweli huo. Utatukanwa lkn ukweli utabaki palepale. Hata Mhe. Mbowe alikiri kuwa staili wanayotumia kwenye siasa inaleta picha mbaya kwenye jamii. Kukumbatia ukanda, ukabila na udini ni suluhisho la kushindwa katika siasa.

Jelyfish hapo ndiyo uwezo wako wa uchambuzi wa thread ulipoishia kweli ? Mimi siamini bhana ! Una uwezo zaidi ya huo , hebu rudi tena kwenye huu uzi bhana , Zemarcopollo anasema kwamba Kisandu (aliyehamia NCCR mAGeuzi ) kaondoka Cdm kwa ajili ya Tamaa ya Madaraka, bali Mwampamba (aliyehamia CCM ) kaondoka cdm baada ya kuona Madudu , kweli ndivyo ilivyokuwa ? Siyo thread bora bhana ! Mwandishi amesukumwa na ama Posho au Maslahi ya kisiasa .
 
hata chadema ingekuwa inalaghai vp , ukweli ni kwama ndio chama mbadala ambacho kinaweza kukabidiwa nchi. CCM hata kama kingekuwa kina mazuri ya namna gani , ukweli ni kuwa kimeisha chokwa na watu wengi . kimekaa madarakani kwa muda mrefu watu wamekichoka haijalishi kinafanya mazuri namna gani , huu ni mtazamo wa fikr za kawaida kwa mwanadamu inafika pahala watu wanakuchoka tu , CCM pisha kidogo mfano tumeuona kenya , majina makubwa ya miaka nenda miaka rudi watu huyachoka

Wewe ndio mfano wa watu wanaotumia mkorogo kwa sababu ya kuichoka rangi yao.
Unaposema chama kimechokwa maana yake nini? Mbona Tanzania ni ya zamani zaidi kuliko CCM, je nayo watu wameichoka?
 
emarcopolo

Lini CDM waliunda serikali na kukusanya kodi ni inakuwaje unawapima na magamba waliokusanya kodi na kutumia rasilimali kwa miaka 50 bila maendeleo stahiki kuonekana.

Wanataka kupewa fursa ya kuunda serikali na kukusanya kodi, ndio maana tunawapima kama wanachokihubiri wataweza kukitenda.
 
Mkuu bado hujanifungua macho, what is the way forward? Umeelezea matatizo ya CHADEMA, fine, mbona hutaki kutuambia tufanyeje baada ya hapo. Tupe fikra mbadala basi!!

Swali zuri.
Swali hilo litajibiwa katika thread nyingine ambayo Mungu akipenda italetwa hapa JF mwezi wa sita mwaka huu.
Utafiti wake bado unaendelea.
 
Back
Top Bottom