Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Thanks Zemarcopolo... sasa sijui mlaghai zaidi ni yupi... kati ya wewe, chama chako au vyote, maana tumekaa tunasubiri utekelezaji wa ahadi kwa miaka yote hii na bado tunakwazika kila wakati

Upuuzi hauna ujazo
 
Huyu jamaa vipi. mbona hizi ngonjera tumeshasikia sana tuuu? Nothing new magamba. Its too late for you. Kwisha habari yenu.
 
mimi nashangaa aina ya watu kama wewe, na mada dhaifu mnazozipost humu.

vyama vya upinzani na wanaharakati wanakisakama chama cha mapinduzi na serikali yake kwa kuwa ndo chama tawala, chenye dola na kinashindwa kuongoza nchi ili wakiangushe wakae wao madarakani, na wakosoaji wanajipambanua dhahiri kwa misimamo na malengo yao

ni vema basi unapoandika tuweke wazi wewe ni nani, je ni mtanzania mzalendo, ni mwanaCCM,masalia PM7, mwanaCHADEMA, au mwanaharakati???, na je katika maandiko yako, unakejeli??,unaponda?? unakebehi??,unashutumu??, unatoa ushauri, angalizo, ili tuweweze kujadili

kwa mfano rahisi ukisema mimi ni Mwanchama wa Chadema, ninakerwa na mfumu huu wa uongozi wa chama. wasomaji tutajadili kwa mtazamo huo

au ukisema mimi ni mwana CCM, napingana na itakadi na sera za CHADEMA, tutakupa jibu stahiki

sasa unataka tujadili nini??? tuseme ndiyo au hapana??? au unatoa taarifa tu??? kama ni taarifa ili iweje?? na nini kifanyike. vinginevyo unatupotezea muda kuna issues za msingi za kujadili,

  • nchi haina umeme wa uhakika,
  • huku ubungo hatuna maji,
  • wadogo zetu 95% wamefeli,
  • kuna chuo cha ugaidi ukerewe
  • kuna vikundi vya uharamia vinavyofadhiliwa na ikulu kudhuru wapinzani
 
Makundi haya matatu ya bendera fuata upepo huwa ni rahisi sana kuvunjwa moyo na kukikimbia chama mara tu upepo utakapoelekea upande tofauti. Kwa mfano, iwapo chadema itafanya jitihada za kuhakikisha jamii inajua ukweli kuwa siyo chama cha ukanda wala ukabila, basi makundi haya mawili i) na ii) yatatoweka.
Vilevile iwapo chadema itasambaza elimu ya uraia na kuwawezesha wananchi kuchagua vyama vyama vya kuviunga mkono kwa hoja, basi makundi yote iii),ii) na i) itayapoteza.

Haki ya MUNGU ma BOSI wako wakisikia leo HUPATI POSHO.
Manaa huku ni kupingana na SERA za MA CCM wenzio.
 
Duu, Zemarcopolo, hili ni bonge la uchambuzi toka kwa mwanaccm tena katika kukisaidia chama cha ulaghai cha Chadema kubadilika.

Sasa huwa nashangaa inakuwaje watu wa CCM mnaweza kufanya uchambuzi mzuri hivi ili kukikosoa chadema na hata kujitahidi kisipendwe na wananchi halafu wakati huohuo mshindwe kukifanyia uchambuzi wa kina kukifanya ccm kiboreke, kiondoe ufisadi, uwizi, majungu, uchawi nk. Hatimaye kilete tija kwa wananchi.

Jibu ni kwamba mmechoka sasa mmeamua bora tukose wote. Kwasababu wewe ni mchambuzi mzuri wa vyama, baada ya uchambuzi huu tuletee uchambuzi wa Cuf, Nccr, Tlp nk ili tujue kwamba una nia nzuri na sio kwamba unajua Chadema ni chama bora kuliko Ccm hata kama sio chama bora kwa watanzania wote.
 
Unajua kwanini nimekuita "mfuata upepo? Nibaada ya wewe mwenyewe kuji bambanua kua unakipenda CDM kwakua kinaongozwa na mkirsto mwenzio, na kukataa kukiunga mkono CUF kwamadai kuwa ni chama cha waislam ( kwa uwelewa wako wa kishabiki ) sasa inaonyesha siku ikitokea CDM ikiongozwa na Muslim utakikimbia, kwahiyo watu kama wewe munaitwa "bendera ufuata upepo" na ktk thread hii mpo katika kundi 1- (ii) au naongopa?
Na upepo wenyewe ni CCM ndio ulioniaminisha kuwa sisi ambao sio waislam chama chetu ni CDM na zamani walituambia CUF ni ya waislam tusiiunge mkono. Hapo wewe ndio unaonekana kuwa mfuata upepo kwa kuwa upepo wenyewe ni CCM na wewe ni mfuasi wa CCM.

Then nini hatima ya hizo propaganda zenu za udini, mnatugawa watanzania na mwishowe nyie CCM mtakosa watu wa kuwaunga mkono kwa kuwa mkizidiwa hoja mnaingiza ukabila na udini.
 
Watu tuna kila haki ya kuamini kuwa una chuki kwa kunyimwa nafasi na kufukuzwa CDM zaidi ya dhamira ya kuwafanya watanzania kuchagua chama bora. Pamoja na kupiga tararira zote hizi haujatueleza watanzania, hasa sisi vijana wasomi, tusio wanasiasa lakini tunahitaji future nzuri ya watoto zetu, chama mbadala ni kipi?? Yes umeeleza mapungufu ya CHADEMA kwa mujibu wa fikra zako ambazo kimsingi hakuna jipya hapo, ni mambo ambayo tumekuwa tukiyasikia kila siku kutoka kwa watu walewale ambao either ni maccm au wanasiasa njaa waliofukuzwa CDM, je nini chama mbadala kama CDM haifai kwa mujibu wa hoja zako?? Turudi kuiunga mkono CCM?? Twende NCCR?? Twende CUF? Au tuiache nchi yetu ikiendelea KUANGAMIA KWA UFISADI NA UMASKINI?
Ulikolokwitanga: umenena safi sana mimi huwa naashangaa sana watu hapa wanatoa tuuma na vigezo vingi sana ila itimisho lake sasa linakuwa tofauti na kusudio lake. Umesema chadema kuna watu wa aina tatu tumekubali eh CCM kuna watu wa aina ngapi? CUF,TLP Mbona kila kukicha CHADEMA CHADEMA Kina wanyima sana usingizi na dhani kubalini au msikubali CHADEMA inawaumiza sana mioyo yenu ndugu zangu. Tuelekezeni basi sisi vijana na wazee na yeyote anayeipenda nchi yake aende wapi sasa turudi CCM au? Poleni sana tanzania ya leo sio ya mwaka 47 watu wanajua sio kuwa elekeza nini cha kufanya wataipenda CHADEMA wakiona aiwafai wataondoka wenyewe na kwenda chama kingine ila sio kwa kufuata au kwa mashinikizo yako ya kunyimwa uongozi basi kila mtu aiipende. Mtatapatapa sana mwaka huu
 
2. Wanachama walioomba fursa ya kushiriki tenda ya kununua magari ya chama wamenyimwa fursa hiyo na hatimaye tenda hiyo imetolewa kwa usiri mkubwa. Chris Lukosi amekuwa akishutumiwa kuwa sababu ya kujitoa kwake chadema ni kunyimwa tenda hii, lakini pale wadau walipohoji baada ya Lukosi kunyimwa tenda hiyo ni nani amepewa na kwa vigezo vipi?, kinaibuka kigugumizi.

Sitaki kuamini si yumo humu, aje athibitishe kama ni kweli.
Nijuavyo mimi kujitoa kwake ni kwa sababu ya Mafanikio ya SERA za MACCM na ndivyo alivyotuambia hapa JF sasa haya mengine ni tuhuma za uongo sio vizuri kumfanya mwenzio aonekane ni mwenye tamaa na uroho.

Ina maaana huko kwa MACCM mmempa tenda gani?
 
Lengo la thread hii halikuwa kuanzisha au kubuni tuhuma mpya.

Ungetumia muda wako mwingi kuizungumzia serikali ya CCM yenye dola na resources zote na imepewa dhamana ya kuinua maisha ya watanzani kwa miaka 50 sasa hakuna improvement yeyote kwenye huduma za jamii kama MaAJI, UMEME, ELIMU etc .Badala ya kuinanga chadema ambayo haikuhusu na wewe si mwana chama wake.na wala Haijashika dola. achana na cdm kama huiamini.CCM WMEIFANYIA NINI NCHI HII KWA MIAKA 50 TANGU UHURU????????????????
 
emarcopolo

Lini CDM waliunda serikali na kukusanya kodi ni inakuwaje unawapima na magamba waliokusanya kodi na kutumia rasilimali kwa miaka 50 bila maendeleo stahiki kuonekana.
 
Last edited by a moderator:
Natamani sana mleta mada ungetuambia baada ya uchambuzi wako nini kifanyike, wananchi waisuse chadema na kurudi ccm au tuiache ccm iendelee kuuza twiga wetu nje ya nchi na kugawana rasilimali zetu?
 
Tanzania vyama vingi ni laghai mfano cuf,chadema na hata tlp. Angalia chadema wanaishia kufanya mikutano mijini tu, halafu wanasema tutachukua nchi 2015. Nchi haichukuliki kwa kufanya mikutano mijini tu. Huu nao ni ulaghai.
Ni kweli mkuu nkongu ndasu ndiyo vishiriki kufanikisha EPA, MEREMETA, RICHIMOND na ahadi hewa za maisha bora.
 
Last edited by a moderator:
Watu tuna kila haki ya kuamini kuwa una chuki kwa kunyimwa nafasi na kufukuzwa CDM zaidi ya dhamira ya kuwafanya watanzania kuchagua chama bora. Pamoja na kupiga tararira zote hizi haujatueleza watanzania, hasa sisi vijana wasomi, tusio wanasiasa lakini tunahitaji future nzuri ya watoto zetu, chama mbadala ni kipi?? Yes umeeleza mapungufu ya CHADEMA kwa mujibu wa fikra zako ambazo kimsingi hakuna jipya hapo, ni mambo ambayo tumekuwa tukiyasikia kila siku kutoka kwa watu walewale ambao either ni maccm au wanasiasa njaa waliofukuzwa CDM, je nini chama mbadala kama CDM haifai kwa mujibu wa hoja zako?? Turudi kuiunga mkono CCM?? Twende NCCR?? Twende CUF? Au tuiache nchi yetu ikiendelea KUANGAMIA KWA UFISADI NA UMASKINI?

Ulikolokwitanga: umenena safi sana mimi huwa naashangaa sana watu hapa wanatoa tuuma na vigezo vingi sana ila itimisho lake sasa linakuwa tofauti na kusudio lake. Umesema chadema kuna watu wa aina tatu tumekubali eh CCM kuna watu wa aina ngapi? CUF,TLP Mbona kila kukicha CHADEMA CHADEMA Kina wanyima sana usingizi na dhani kubalini au msikubali CHADEMA inawaumiza sana mioyo yenu ndugu zangu. Tuelekezeni basi sisi vijana na wazee na yeyote anayeipenda nchi yake aende wapi sasa turudi CCM au? Poleni sana tanzania ya leo sio ya mwaka 47 watu wanajua sio kuwa elekeza nini cha kufanya wataipenda CHADEMA wakiona aiwafai wataondoka wenyewe na kwenda chama kingine ila sio kwa kufuata au kwa mashinikizo yako ya kunyimwa uongozi basi kila mtu aiipende. Mtatapatapa sana mwaka huu
 
Nilitegemea kusikia Chama kama NRA tadea ama hili kwa chadema nibla kustaahabisha sana duh hatari ujumbe unewafikia walengwa woooteee nimependa juu ya JF kuwemo maana kuna wakati humu utadhani uko kwny kikao cha kamati kuu ambamos nao ni wajumbe wa NEC
 
Back
Top Bottom