Maulid Daniel
Senior Member
- Jul 4, 2012
- 140
- 72
bendera fuata upepo hao kama huna hoja thabiti kaa chonjo we unataka kusikia mazuri tu
Maneno yako yanadhihirisha wazi wewe ni CDM bendera mfuata upepo. Kwa siasa hizi tusitege chama m-badala wa CCM kitacho leta tumaini kwetu masikini. Nakama kipo bac sio CDM.CHADEMA kupewa msaada toka ujerumani na KINANA kujipatia msaada hapa hapa Tanzania kwa kuendesha kampeni chafu za KUUA TEMBO na kuuza meno ya tembo ipi ni afadhali?
Kinana kutumia fedha za CCM kwenda China kwa ajili ya KUREKEBISHA biashara yake ya MENO YA TEMBO na kuweka kizazi cha tembo Tanzania katika hatari ya kutoweka sio suala la kujadili? Kuendelea kuhubiri udini mliopandikiza ndio manazidi kutufanya watanzania tuendelee kuunga mkono chama cha dini YETU na kuwaachia CCM ya DINI yenu maana mnatutahadharisha kuwa huko CCM kwa USTAADHI Kikwete sisi hatutakiwi ndio maana Sekretariati yote ni waislamu
Acha talalila, nieleze nini kifuate kama hakuna mbadala, je niende CCM kama Mwampamba na Shonza wakati nasubiri hicho chama??Maneno yako yanadhihirisha wazi wewe ni CDM bendera mfuata upepo. Kwa siasa hizi tusitege chama m-badala wa CCM kitacho leta tumaini kwetu masikini. Nakama kipo bac sio CDM.
Solution pekee iliyopendekezwa na chadema kwenye hili ni kufanya maandamano!!!
....wanasema "mti wenye matunda ndio upigwao mawe"...endeleeni kurusha mawe ili matunda yaanguke mpate kula.why always chadema,chadema,chadema?
Unajua kwanini nimekuita "mfuata upepo? Nibaada ya wewe mwenyewe kuji bambanua kua unakipenda CDM kwakua kinaongozwa na mkirsto mwenzio, na kukataa kukiunga mkono CUF kwamadai kuwa ni chama cha waislam ( kwa uwelewa wako wa kishabiki ) sasa inaonyesha siku ikitokea CDM ikiongozwa na Muslim utakikimbia, kwahiyo watu kama wewe munaitwa "bendera ufuata upepo" na ktk thread hii mpo katika kundi 1- (ii) au naongopa?Acha talalila, nieleze nini kifuate kama hakuna mbadala, je niende CCM kama Mwampamba na Shonza wakati nasubiri hicho chama??
Wadanganyeni wachovu wenzenu sisi wengine tumeishajanjaluka. Mnatudanganya hapa halafu mnaenda kuvuta buku 2 Lumumba huku mnatuacha hatuna pa kupeleka watoto wetu waliofeli. Siasa sio habari za porojo, mwisho wa siku tunataka majibu ya matatizo tuliyonayo
Kimbunga, huu unauita uchambuzi? Really?Mkuu ZeMarcopolo naona umetiririka. Sasa tuone hoja kinzani na siyo vioja. Hivi mtu unakuja na hoja kama hii badala ya watu kutoa hoja kinzani mtu anaishia kusema umelipwa kiasi gani! Mtu kama huyui kama hana utapia hoja ni nini?
Uchambuzi huu wa Marcopolo unatakiwa ujibiwe kwa hoja si vioja. Hizi ni chambuzi fikirizi.
Mkuu mimi huwa napenda hoja zijibiwe kwa hoja. Nadhani hoja uliyoileta hapa umeifanyia kazi hivyo basi tunatakiwa tuitafakari na kuichangia/kuijibu kwa hoja. Ukikosa chakula bora unakuwa na utapia mlo vivyo hivyo ukikosa hoja bora unakuwa na utapia hoja.