Chama cha Kilaghai Tanzania...

Chama cha Kilaghai Tanzania...

Umeona kundi lako nilivyolifafanua hapo juu?

Ona ulivyo kilaza! kuambiwa unalipwa kiasi gani ndio umedefine kama tusi? hivi nyie matusi mnayadefine vipi? mkikosolewa mnasema mmetukanwa. Haya ngoja na mie nikutukane, "kachukue posho yako"!
 
Marcopolo nimependa uchambuzi wako.Umewasaidia sana Chadema wanapaswa kukupongeza badala ya kutoa mipovu.Kuna mashabiki ambao ni matahira wamekariri siasa za vijembe tu utadhani waimba taarabu tena wengine ni wasomi inasikitisha sana.Ptuuuuuuuu

Msalimie Shigela na Nape hapo lumumba.
 
Mtundiko (thread hii) huu utafungwa haraka sana na aliyeutundika hapa atapigwa "ban" asionekane tena jamii forums. Mimi binafsi nimeshipigwa ban mara kadhaa humu, tena ban la kudumu, lakini bado nimo tuu humu. Kuna wimbo mmoja wa Bob Marley unaitwa "Bad Card". Katika bad card kuna mstari Bob Marley anasema "You a-go tired fe see me face, Can't get me out of the race, Oh, man you said I'm in your place, And then you draw bad cyard, A-make you draw bad cyard, And then you draw bad cyard"

Hiyo ndiyo Jamii Forums, usipokubaliana na uchadema, wanaona "you are in their place".

Kama alivyosema mtoa mada, ndani ya CHADEMA, "nepotism" ndiyo uendeshaji wa chama. Hata CCM nao pia ndiyo hivyo hivyo, ingawa wao kidogo wanachanganya nepotism na "cronyism".

Neno nepotism linatokana na neno la ki-Italiano "nipote". Neno nipote kwa kiingereza linakuwa "nephew". Sasa neno nepotism limeanza kutumika kutokana na tabia ya "papa" wa kanisa katoliki kuwapendelea watoto wao wa kuwazaa wenyewe na kuja kuwa ma-kardinali; na baadaye ma-kardinali hao huwa papa. Lakini kutokana na kwamba "papa" au "pope" hatakiwi kuwa na mtoto, basi watoto wa papa, (popes) walikuwa wakiitwa "nephews" au "nipote" badala ya "sons". Kwa mfano; Pope Callixtus III alimchagua "nephew" Rodrigo kuwa Kardinali. Baadaye Kardinali Rodrigo akaja kuwa papa Alexander VI. Mfumo huu ulishamiri sana ndani ya kanisa katoliki kwa miaka mia kadhaa mpaka alipokuja papa Innocent XII, akakataza tabia ya watu kuwachagua "nephews" kuwa kardinali kuanzia mwaka 1692.

Sasa Chadema kinachofanywa na CHADEMA siyo kitu kipya. CCM nao wanafanya hivyo hivyo. Ingawa kutokana na historia na uzee wa CCM, hakuna mkoa au kanda inayoweza kusema kwamba CCM ni mali yao.
Kuhusu CHADEMA,..... well, waingereza wanasema "the proof is in the pudding"- Godbless Lema. Godbless Lema hana hata sifa ya kuwa "class-monitor" wa darasa la nne wa shule ya msingi. Lakini yupo katika kitovu cha nguvu na utawala wa CHADEMA. Kwanini? kwa sababu - "one of the nephews".

what about Mwigulu, anafaa hata kuwa balozi wa nyumba 10?
Nape hata uongozi wa familia ni zero,
Yule mzee wenu aliyeharibika nusu ya ubongo wake (wassira) yule hata ukimpatia umonitor wa darasa atashindwa kuliongoza. hao ni wachache tu kumention, wapo wengi sana humko ccm ambao hawana sifa hata moja ya uongozi lakini ndo wamewekwa kwenye nafasi nzito za maamuzi. NYANI HAONI KUNDULE
 
Hapa hakuna mwana CDM hata m-moja atakae kuja na jibu la maana juu ya hoja hii, bali wote watakuja na maswali tu kua mleta hoja kalipwa kiasigani na CCM. Kwamawazo yao mwana harakati wa upinzani lazima atokee CDM, hawawatu ni waajabu sana, kweli wengi wao ni vishuluala wa kisiasa anako pepea Dr slaa ndiko wanako fuata. Kwangu nibora shetani ulie mzoea kuliko malaika usio mjua.
 
Unajua kwanini nimekuita "mfuata upepo? Nibaada ya wewe mwenyewe kuji bambanua kua unakipenda CDM kwakua kinaongozwa na mkirsto mwenzio, na kukataa kukiunga mkono CUF kwamadai kuwa ni chama cha waislam ( kwa uwelewa wako wa kishabiki ) sasa inaonyesha siku ikitokea CDM ikiongozwa na Muslim utakikimbia, kwahiyo watu kama wewe munaitwa "bendera ufuata upepo" na ktk thread hii mpo katika kundi 1- (ii) au naongopa?

wadini punguani sample yako enzi za Nyerere tayari ungekuwa na jarada la kesi ya uhaini na uhasi mahakamani.
 
Ze Marco. una mtindio wa ubongo. naona umekuweka defending mechanism usioingwe wala kutukanwa. hujatoa solutions ya hoja yako. kwa na conclude kuwa hii ni Null hypothesis.
 
Hapa hakuna mwana CDM hata m-moja atakae kuja na jibu la maana juu ya hoja hii, bali wote watakuja na maswali tu kua mleta hoja kalipwa kiasigani na CCM. Kwamawazo yao mwana harakati wa upinzani lazima atokee CDM, hawawatu ni waajabu sana, kweli wengi wao ni vishuluala wa kisiasa anako pepea Dr slaa ndiko wanako fuata. Kwangu nibora shetani ulie mzoea kuliko malaika usio mjua.

Niamini kweli we ni Kitoabu kitu kinachopendwa sana na warabu na huliwa gizani hasa kipindi cha baridi.
 
Last edited by a moderator:
hata chadema ingekuwa inalaghai vp , ukweli ni kwama ndio chama mbadala ambacho kinaweza kukabidiwa nchi. CCM hata kama kingekuwa kina mazuri ya namna gani , ukweli ni kuwa kimeisha chokwa na watu wengi . kimekaa madarakani kwa muda mrefu watu wamekichoka haijalishi kinafanya mazuri namna gani , huu ni mtazamo wa fikr za kawaida kwa mwanadamu inafika pahala watu wanakuchoka tu , CCM pisha kidogo mfano tumeuona kenya , majina makubwa ya miaka nenda miaka rudi watu huyachoka
 
Nimependa maoni yake ni mazuri sana. Ila haina hata chembe ya analysis.

Pro chadema nao badala ya kutoa hoja wengi wao wana attack. Huwezi zungumzia behaviour za CHADEMA as if wanachama wake ni wa nchi nyingine na sio watanzania.. Wa CCM, CUF, TLP na NCCR watanzania ni walewale.

Tunazungumza lugha moja na maisha yetu ya kila siku ni yaleyale CHADEMA sio kisiwa! Ndio maana hata CHADEMA wakipewa nchi utashangaa yale tuliyokuwa tunayaona CCM hata CHADEMA watayafanya sababu "We are all society product" hizo tabia za viongozi zinareflect tabia za jamii.

Pamoja na kuongea yoote sijaona akionesha ni chama gani ambacho sio laghai, hajatoa conclusion, ndio CHADEMA ni laghai so then, pasiwe na upinzani? Unasema watu ni fuata upepo mhhhh what a parochial thinking, hiyo ni human behaviour popote duniani..hata uende marekani,hata kwenye kununua vitu watu hununua kutokana na kuona matangazo etc.

Umesema mambo mazuri ya kuirekebisha CHADEMA na wanapaswa wachukue step kutokana nayo but kwa jinsi ulivyoiweka hata una aina ya bias.
 
Hapa hakuna mwana CDM hata m-moja atakae kuja na jibu la maana juu ya hoja hii, bali wote watakuja na maswali tu kua mleta hoja kalipwa kiasigani na CCM. Kwamawazo yao mwana harakati wa upinzani lazima atokee CDM, hawawatu ni waajabu sana, kweli wengi wao ni vishuluala wa kisiasa anako pepea Dr slaa ndiko wanako fuata. Kwangu nibora shetani ulie mzoea kuliko malaika usio mjua.

labda hawaji na jibu sahihi juu ya hii hoja kwa vile mwandishi naye hajaja na swali sahihi juu hoja hiyo
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Unajua kwanini nimekuita "mfuata upepo? Nibaada ya wewe mwenyewe kuji bambanua kua unakipenda CDM kwakua kinaongozwa na mkirsto mwenzio, na kukataa kukiunga mkono CUF kwamadai kuwa ni chama cha waislam ( kwa uwelewa wako wa kishabiki ) sasa inaonyesha siku ikitokea CDM ikiongozwa na Muslim utakikimbia, kwahiyo watu kama wewe munaitwa "bendera ufuata upepo" na ktk thread hii mpo katika kundi 1- (ii) au naongopa?

Mchambuzi wa hoja,nisaidie kwenye itikadi.Katika uzi wako umesema CDM wanafata Itikadi zile zile za CCM naomba tafadhali nifafanulie hizo itikadi zao nijenge uelewa wangu.
 
Mleta mada Usihangaike kitetea CCM. CCM inajitetea yenyewe kila siku kwa maovu yanayotendeka Tanzania. Damu za raia zinazomwagika kila siku zitaamua mwisho wa CCM utakuwa lini. Wewe tulia tu utajionea.
 
  • Thanks
Reactions: ESI
Marcopolo nimependa uchambuzi wako.Umewasaidia sana Chadema wanapaswa kukupongeza badala ya kutoa mipovu.Kuna mashabiki ambao ni matahira wamekariri siasa za vijembe tu utadhani waimba taarabu tena wengine ni wasomi inasikitisha sana.Ptuuuuuuuu

Siasa za vijembe: Nape, mwigulu, livingstone, j. shonza, wassira, n.k, n.k hao wapo wengi sana huko ccm
waimba taarabu: nape, mwigulu, shonza, wassira, n.k n.k.
 
  • Thanks
Reactions: ESI
Ukishaamua kuwa ccm inabidi akili zako zote uziweke kwenye masaburi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: ESI
wakati wa mavuno ukiwadia tutachambua magugu na ngano wala usiwe na shaka, chuki wala hasira.
 
Hili ni Jukwaa la Siasa mkuu Hiroshima, kama hauna hoja kaa kimya.

Kitendo cha wewe kuishabikia CHADEMA tayari umeshaonyesha upungufu wa akili kichwani mwako kwahiyo usitake kutudhihirishia upunguani wako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hapo kwenye RED: Unadhani unachokiamini wewe ndio universal fact???? Inawezekana hujui, ila mtu hufanya judgment subjectively. Na subjectivity inatawaliwa na mambo mengi tu (kwa mfano, umri wa mtu, kiwango chake cha elimu, background ya familia yake n.k).

Kwa mfano, mtu ambae kwao kula nyama ni nadra si ajabu kumkuta akigombea nyama kwenye sherehe. Unaamini kuwa mwenzako "ameonyesha upungufu wa akili" lakini imani yako inaweza kuwa misguided unless utuambie vigezo ulivyotumia (na ambavyo a third party akiambiwa atavielewa) kufikia conclusion yako.
 
Katika vyama vyote vilivyopo hapa Tanzania umeona CHADEMA pekee ndio cha kilaghai?
Ningekuunga mkono kama ungezungumzia matatizo ya vyama vyote bila kuchagua chama kimoja ambacho naona kabisa una tatizo nacho.
 
Back
Top Bottom