Wapinge wakati mwaka 2005 na 2010 waliwapa Magari, Pikipiki, Baiskeli, na paunds za kutosha..
Wapinge waone kama mwaka 2015 watapata kitu tena
ukitembea nchi za wenzetu?????unamaanisha nini?hao ni wenzenu ktk lipi?kama binadamu au?kama ni wenzenu fateni na taratibu zao.any way nakukumbusha koma kusema wale ni wenzetu labda kama wewe ni mwenzao.sioni hata 1 la kujifananisha nao.civilized au?Hili la ushoga ni cheap political agenda furthered by ****** like membe. Kwanza kajichangaja eti halikuwa limezungumzwa ktk minisiterial levels mara kulikuwa na juhudi za Cameroon kulipenyeza, what's the fuss?
Take it or leave it, PERIOD.
Sawa hapa nyumbani hii ni desturi mpya na of coz mbaya, nakubali. Lakini ukitembea nchi za wenzetu huo kwao ndo utamaduni wao, so what? Twende kwenye hoja za msingi sio cheap and baseless grandios......things like:
- Kwa nini Tz ni maskini licha ya rasimali zote tulizonazo
- Kwa nini Utawala bora ni hadithi tuu, ndio chanzo cha ufisadi, uzembe na kukithiri kwa rushwa
- Iko wapi Katiba Mpya ambayo inatokana na wananchi na yenye kumilikiwa nao?
- Kwa nini vilaza kama Membe, Ngeleja nk ni mawaziri mpaka leo?
- Kwa nini hakuna la maana la kuijuvnia ktk miaka 50 ya uhuru?
nk, nk
Mods: plz do justice by purge this thread.
Ritz, umewashika magwanda pabaya.
Wakitoa tamko la kupinga alichosema mfadhili wao si watakosa fadhila?
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa
JAmani sometimes malumbano kabla ya kuyajengea hoja hayana mantiki kwa taifa.ni bora mtu kufikiri kabla ya kutoa hoja.chadema kama wanafadhiliwa na hao concervative nadhani haina maana kuwa masharti ni lazima kukubali ushoga.hivi kampuni ya bia kudhamini michezo ni lazima wachezaji wawe walevi? na kama ikiw ani lazima kulewa basi na mkataba ufe.the same to politics..sioni jambo gumu katika hili...tuwe wawazi zaidi kusemea hoja...mikataba ya madini inavunjwa hili lisiwezekane kuna nini????????
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Hili suala la ushoga naona limeishafika mbali sijui hatima ya nchi yetu na viongozi wetu watalichukuliaje ili kuliokoa taifa
Uingereza haina KATIBA!!
nenda democrat au GOP, nenda labor au conservatives vyote vinakubali na vina wanachama mashoga. Ni namna tu wanavyotaka ku-gain political advantages juu ya ushoga ndipo utaliona. Hivi Membe hajui kuwa ktk masuala ya ushoga Ulaya na Marekani hakuna vyama vyenye itikadi tofauti kimsingi?
Halafu mi sioni tofauti ya dhambi ya uzinifu na ushoga. Kama vile nisivyoona haja ya tofauti kati ya dhambi hizo na uuaji, ubakaji na ufisadi. Hivi hasa Membe na ccm wanataka kusema nini hapa?
Mimi ni nachojua serikali iliyoko madarakani inakuwa ina tekeleza 'manifesto' ya Chama killichoshinda uchaguzi mkuu. Hivyo maamuzi ya chama yana athiri moja kwa moja uendeshaji wa serikali husika pamoja na matamko yatolewayo na viongozi wa serikali hiyo. Mimi napata wakati mgumu kujua ni kwa jinsi gani serikali ya Conservative itazitaka serikali za nchi inazozifadhili zikubali "mambo ya kumfedhehesha mwanadamu kwa Mungu muumbaji" wakiti huo huo Chama hicho cha Conservative kilegeze masharti kwa vyama inavyovifadhili katika nchi hizo. Kama chama hicho kitakuwa kinalegeza masharti kwa vyama kinavyofadhili basi wasiwasi wangu utaongezeka juu ya Conservative kuwa kina mpango wa Kuhujumu mageuzi ya kistaarabu ya nchi husika kwa kuvirubuni vyama hivyo(vifadhiliwavyo) vionekane mamluki wake. Hivyo mleta hoja na haki ya kuhoji msimamo wa CHADEMA. Tanzania tunayoitaka ni ile iliyo huru kimaamuzi sio ile itakayokuwa kama ya" Wahuni wa Bengharz" ambayo ilipokea 'peremende' ili kuharibu jamii ya watu wake.