Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

kwani kila mara unapoandika maneno ya uongo na matusi dhidi ya Chadema unapata nini? Unajiita Independent thinker lakini kazi yako ni kuiandama Chadema tu.Mbona huandami ccm,nccr,udp,tlp,cuf,updp au chausta.Ndio maana hata hao wasio member wanakupuuza kwa sababu wanajua kila post yako ni kutukana,kukejeli na kukashifu chadema.Huna kazi nyingine.Pole sana!

Huo ni mtazamo wako kwangu!
 
Tulishazoea hapo nyuma kuona cdm kama chama wakitoa matamko mbalimbali kuonyesha nini msimamo wao kuhusu mambo mbalimbali yaliyo husu taifa. Hivi karibuni kumejitokeza mambo mengi hapa nchini ambayo tulitegemea cdm kama wanavyo penda kujiita chama cha siasa makini wayatolea matamko ili wananchi wajue msimamo wao. CDm makao makuu wako kimya kama vile hawaoni kinachoendelea. mbaya zaidi matamko mengine yanatolewa Geita, ambayo tulitegemea yatolewe na makao makuu. Wasiwasi wangu inawezekana wakuu wa makao makuu wana wasiwasi na hatima ya vyeo vyao, kuna vijana wanakuja na kasi ya ajabu.
 
Unazungumzia Kuhusu Lema.
Na kama ni ni Hivyo basi jua kuwa Chadema Washatoa Tayari, Mbowe alishaongea Pia Dr. Slaa. Zitto Ni mgonjwa asingeweza kuongelea. Geita na sehemu zingine wanatoa kuongeza nguvu.

Na wakati mwingine ujue kuna mgawanyo wa majukumu
 
Chadema kama chama makini hakuna tatizo kuwa rafiki na chama kinachotetea haki za mashoga?
 
Samahani mkuu!
Normally i do not argue with people of your mental thinness but this time and I hope only this time I'll go against that rule.
* how far have you gone academically??? kila wakati ninaposoma(kwa bahati mbaya!!) threads zako hili ni swali ninalojiuliza. Mimi ninafahamu vijana wa 1996/7 ambao wako FI/II ambao wanaandika kiswahili kinachoeleweka kuliko wewe. Umeishia darasa la ngapi mkuu???

Unajua often times uwezo wa kufikiri ni directly proportional na shule yako ndio maana ninakuuliza hilo swali.

Kabla Dr Slaa hajajibu mimi ninafikiri anayepaswa kuongea ni Kikwete na atoe tamko la kuikataa misaada yote inayotoka ktk serikali ya UK halafu baada ya hapo utakuwa na haki ya kuhitaji hata tamko la CHADEMA. Najua hilo haulioni simply because you can't fly that high,can you???
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Usitake kuuteka umma wa watanzania kwa hoja dhaifu, kauli ya waziri mkuu wa uingereza ilikuwa inawakilisha maoni ya serikali na si chama kama unavyotaka tuamini.

kumbuka misaada inayotolewa na uingereza sasa kwa nchi yetu ni kwa serikali ya ccm japo serikali ya uingereza inataka tutambue haki za mashoga lakini pamoja na misaada iliyopokelewa serikali yua ccm imekataa kukubaliana.

hoja hapa ni mipaka katika urafiki, kwakuwa nchi zilizoendelea zote zimeamua kutubana ili wakati utakapofika wote tuwe cxhini ya utawala wa lucifer kwa kujua au kutojua hebu bofya hapa Illuminati Agenda Fully Explained - 25 Goals That Destroyed The Planet. - YouTube

Kama unataka kujua misimamo ya chama kupokea misaada yenye masharti ni pale tu itakapokuja kwa lengo la kurekebesha sheria flani na ikawa hivyo, vinginevyo urafiki unaweza kuwepo lakini usioyumbisha imani yako na hivyo ndivyo ilivyo.
 
Issue ndogo sana hii wala haiwezi kuumiza kichwa makamanda. Majibu ya chadema juu ya kitu kama hiki kila mmoja anaweza kuyatabiri hata kabla hawajaja hapa kutamka. chadema hamna mkurupukaji wala Hawafanyi siasa za kubahatisha kama za ccm. They are very honest and transparent to everything na wala hawamuogopi mtu wala kubembeleza kama ccm. Kama unataka kujua kuwa hawabembelezi na wala hawaogopi mtu kawaulize akina Rasta kule Arusha.

Chadema siyo CCM inayobembeleza watu kama inavyofanya kwa mafisadi wake. CCM ndo wangepata Shida kwenye issue kama hii maana Si wakweli na hubembeleza watu hata kama ni wachafu.

Kimsingi hatunasababu ya kuwa na hofu na cdm juu ya kitu kama hiki maana hiki ni chama cha maslahi ya watanzania waliowengi na msimamo wa waliowengi katika katika issue hii ndiyo msimamo wa cdm bila hata chenga kama za membe.

Ushoga ni issue ndogo? Kwa hiyo unataka kuwambia watanzania pindi CDM watakapochukuwa dola watabadili katiba na kuweka haki za mashoga kama wafadhili wao Conservative?
 
Hilo swali muulize RAIS wako ambaye kila kukicha safari za nje hazimuishi,harafu kaa ukijua katiba ya UK ndiyo inayotambua ushoga kwa hiyo MP CAMEROON anachofanya ni kutekeleza katiba ya nchi yake.
 
Unazungumzia Kuhusu Lema.
Na kama ni ni Hivyo basi jua kuwa Chadema Washatoa Tayari, Mbowe alishaongea Pia Dr. Slaa. Zitto Ni mgonjwa asingeweza kuongelea. Geita na sehemu zingine wanatoa kuongeza nguvu.

Na wakati mwingine ujue kuna mgawanyo wa majukumu

Zamani tulikuwa tunawaona wanakutana kama chama, kwa mfano kamati kuu halafu msemaji mkuu wa chama anatoa taarifa nini msimamo wao kama chama, sasa sijui ni nani msemaji wa chama kila mmoja na lwake na hasa pale kwenye mambo muhimu ,yaani sioni wanatofauti gani na ccm? utasikia nape kasema, mara mukama, mara sitta, mara lowassa, mara msekwa, mara mwenyekiti, mara makamba jr and the list goes on, nimesahau mara millya. Labada anayejua anieleze nini ni msimamo wa cdm kuhusu sharti la ushoga kwenye misaada ya serikali ya uk au hili haliwahusu?
 
Samahani mkuu!
Normally i do not argue with people of your mental thinness but this time and I hope only this time I'll go against that rule.
* how far have you gone academically??? kila wakati ninaposoma(kwa bahati mbaya!!) threads zako hili ni swali ninalojiuliza. Mimi ninafahamu vijana wa 1996/7 ambao wako FI/II ambao wanaandika kiswahili kinachoeleweka kuliko wewe. Umeishia darasa la ngapi mkuu???

Unajua often times uwezo wa kufikiri ni directly proportional na shule yako ndio maana ninakuuliza hilo swali.

Kabla Dr Slaa hajajibu mimi ninafikiri anayepaswa kuongea ni Kikwete na atoe tamko la kuikataa misaada yote inayotoka ktk serikali ya UK halafu baada ya hapo utakuwa na haki ya kuhitaji hata tamko la CHADEMA. Najua hilo haulioni simply because you can't fly that high,can you???

Bila samahani mkuu, elimu yangu kama ya Mbowe na Lema..
Labda nikuulize na mimi, wewe na Daudi Balali,Andrew Chenge, Edward Lowassa, nani msomi kumzidì mwenzake?
 
Back
Top Bottom