Bora ungelikaa kimya kuliko kuudhihirisha umaandazi wako hapa..,najua ulicomment labda kwa bahati mbaya..,ebu pitia post yako kisha ifanyie usahihi wako kabla wengine hawajaiona kama nilivyokuwa tumeshaiona baadhi..,unafikiri kwa kutumia nini mkuu..???Samahani mkuu!
Normally i do not argue with people of your mental thinness but this time and I hope only this time I'll go against that rule.
* how far have you gone academically??? kila wakati ninaposoma(kwa bahati mbaya!!) threads zako hili ni swali ninalojiuliza. Mimi ninafahamu vijana wa 1996/7 ambao wako FI/II ambao wanaandika kiswahili kinachoeleweka kuliko wewe. Umeishia darasa la ngapi mkuu???
Unajua often times uwezo wa kufikiri ni directly proportional na shule yako ndio maana ninakuuliza hilo swali.
Kabla Dr Slaa hajajibu mimi ninafikiri anayepaswa kuongea ni Kikwete na atoe tamko la kuikataa misaada yote inayotoka ktk serikali ya UK halafu baada ya hapo utakuwa na haki ya kuhitaji hata tamko la CHADEMA. Najua hilo haulioni simply because you can't fly that high,can you???
Usitake kuuteka umma wa watanzania kwa hoja dhaifu, kauli ya waziri mkuu wa uingereza ilikuwa inawakilisha maoni ya serikali na si chama kama unavyotaka tuamini.
kumbuka misaada inayotolewa na uingereza sasa kwa nchi yetu ni kwa serikali ya ccm japo serikali ya uingereza inataka tutambue haki za mashoga lakini pamoja na misaada iliyopokelewa serikali yua ccm imekataa kukubaliana.
hoja hapa ni mipaka katika urafiki, kwakuwa nchi zilizoendelea zote zimeamua kutubana ili wakati utakapofika wote tuwe cxhini ya utawala wa lucifer kwa kujua au kutojua hebu bofya hapa Illuminati Agenda Fully Explained - 25 Goals That Destroyed The Planet. - YouTube
Kama unataka kujua misimamo ya chama kupokea misaada yenye masharti ni pale tu itakapokuja kwa lengo la kurekebesha sheria flani na ikawa hivyo, vinginevyo urafiki unaweza kuwepo lakini usioyumbisha imani yako na hivyo ndivyo ilivyo.[/QUOTE] mkuu haujazingatia itifaki za kutoa hoja kwa kukubali premises na kukataa conclusion kama ulivyofanya....!
Usitake kuuteka umma wa watanzania kwa hoja dhaifu, kauli ya waziri mkuu wa uingereza ilikuwa inawakilisha maoni ya serikali na si chama kama unavyotaka tuamini.
kumbuka misaada inayotolewa na uingereza sasa kwa nchi yetu ni kwa serikali ya ccm japo serikali ya uingereza inataka tutambue haki za mashoga lakini pamoja na misaada iliyopokelewa serikali yua ccm imekataa kukubaliana.
hoja hapa ni mipaka katika urafiki, kwakuwa nchi zilizoendelea zote zimeamua kutubana ili wakati utakapofika wote tuwe cxhini ya utawala wa lucifer kwa kujua au kutojua hebu bofya hapa Illuminati Agenda Fully Explained - 25 Goals That Destroyed The Planet. - YouTube
Kama unataka kujua misimamo ya chama kupokea misaada yenye masharti ni pale tu itakapokuja kwa lengo la kurekebesha sheria flani na ikawa hivyo, vinginevyo urafiki unaweza kuwepo lakini usioyumbisha imani yako na hivyo ndivyo ilivyo.
Nilijua tu utajizungusha lakini destination yako itakuwa nini, kifupi ushoga si sera ya Chadema ni sera ya CCM kawaulize kina Nepi wanaoshikishana ukuta au mwakilishi wake wa JF ritz ameshajibiwa.Zamani tulikuwa tunawaona wanakutana kama chama, kwa mfano kamati kuu halafu msemaji mkuu wa chama anatoa taarifa nini msimamo wao kama chama, sasa sijui ni nani msemaji wa chama kila mmoja na lwake na hasa pale kwenye mambo muhimu ,yaani sioni wanatofauti gani na ccm? utasikia nape kasema, mara mukama, mara sitta, mara lowassa, mara msekwa, mara mwenyekiti, mara makamba jr and the list goes on, nimesahau mara millya. Labada anayejua anieleze nini ni msimamo wa cdm kuhusu sharti la ushoga kwenye misaada ya serikali ya uk au hili haliwahusu?
Mbaya Zaid, Serkali yenu ya CCM chini ya Mkwe.re na Membe Juzi juzi tu walikuwa wanalilia warejeshewe Fedha za Rada na hao hao Mnao waponda, Plus Misaada kibao na sehemu ya Budget kutoka Serikali hiyo hiyo ya David Cameroon, Kabla CHADEMA hawajaja hapa kuto aufanunuzi, Waite Waume zako CCM waje watoe maelezo ni kwanini mpaka sasa wanaomba misaada kutoka serikali inayotambua mashoga hadi kufikia kuletwa Balozi shoga na still bado Mwabwana zako wataendelea kwenda kulia Njaa huko, then CHADEMA ndo watakuja kutoa tamko.
Nilijua tu utajizungusha lakini destination yako itakuwa nini, kifupi ushoga si sera ya Chadema ni sera ya CCM kawaulize kina Nepi wanaoshikishana ukuta au mwakilishi wake wa JF ritz ameshajibiwa.
Tulishazoea hapo nyuma kuona cdm kama chama wakitoa matamko mbalimbali kuonyesha nini msimamo wao kuhusu mambo mbalimbali yaliyo husu taifa. Hivi karibuni kumejitokeza mambo mengi hapa nchini ambayo tulitegemea cdm kama wanavyo penda kujiita chama cha siasa makini wayatolea matamko ili wananchi wajue msimamo wao. CDm makao makuu wako kimya kama vile hawaoni kinachoendelea. mbaya zaidi matamko mengine yanatolewa Geita, ambayo tulitegemea yatolewe na makao makuu. Wasiwasi wangu inawezekana wakuu wa makao makuu wana wasiwasi na hatima ya vyeo vyao, kuna vijana wanakuja na kasi ya ajabu.

Kiongozi gani wa chadema atasimama hadharani na kupinga ushoga wakati wanafadhiliwa na mashoga!.
Kiongozi gani wa chadema atasimama hadharani na kupinga ushoga wakati wanafadhiliwa na mashoga!.
Yaani unataka Chadema waache mambo ya msingi waitishe kamati kuu kujadili ushoga? you can't be serious.Kuna mtu kazungumzia la Mh Lema hapa, sijui hapo napo utapredict kuwa nilikuwa na elekea wapi? Lakini umeproove kupoteza team work yenu maana yake umenijibu la ushoga, sasa niambie wewe ni nani cdm na umejibu kama wewe au cdm, ndio maana tunaona tuwakumbushe mnaanza kuendesha mambo kihonyohonyo, na chama chote kinachojinadi kuwa makini hakiweze kuendesha mabo hivyo, badilikine bwana mnatuangusha.
Yaani unataka Chadema waache mambo ya msingi waitishe kamati kuu kujadili ushoga? you can't be serious.
baada ya kupost upupu naona umefurahi sana
hebu post upupu mwingine tena mkuu