King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,101
- 98,424
Hivi kumbe kuna watu mpaka leo wanaamini kutokujua kingereza ni ishara ya ujinga! Kweli safari ni ndefu ,watu wanaongea kiswahili lugha waliyozaliwa nayo wanachapia ndio ije kingereza lugha ya kujifunzia ukubwani.Tuache uvivu wa kufikiri.Chalz Baba kipaji chake na kutokujua lugha ya kingereza vinamahusiano gani? Ama mnataka kutuambia akiwa anajua kingereza ndio atakuwa anaimba zaidi kama kina Kofi Olomide ama R.Kelly!?. Wiki 2 zilizopita nilikuwa naangalia mahojiano ya fally Ipupa -BET.Fally aliongea kingereza kibovu sana ,ila hiyo haimpunguzii kipaji chake sababu anajitambua na kujikubali.Hata washabiki wake wana mkubali kwa hicho kingereza chake kibovu.Hao kina Wema mnaowasifia wanajua kingereza kimewapeleka Holiwood? Ama wamepata tunzo za kimataifa kwenye uigizaji/filamu?. Ushabiki wa kimawazo ni mbaya sana na ndio unatufanya tushindwe kuendelea kwa kuwa hatujitambui na kujikubali .Huwezi kajikubali kama hukubali wenzako kwa machache mazuri wanayofanya.Tufunguke tuache ulimbukeni na ufinyu wa mawazo.
Roger dat ila sikubali hiyo kiingereza labda kingereza.
kikaza ndo nini?unamcheka nini wakati we mwenyewe kiazi tu
hahahahahaha, ya shilole ndo imenimaliza kabisa, kwamba yeye ni 'celebration' bola huyu wa 'contact' huenda alimaanisha mawasiliano na twanga hana, japo na mimi nilimsikiliza alikuwa akimaanisha contract..khe jamani kizungu sio chetu...
Kiazi umempendelea!!Huyo ni Gimbi!!mwenzie kakoxea herufi moja kwa lugha ya kigeni lakini huyo gimbi kakosea herufi moja kwenye lugha yake nani mjinga????kikaza ndo nini?unamcheka nini wakati we mwenyewe kiazi tu
Roger dat ila sikubali hiyo kiingereza labda kingereza.
Hivi kumbe kuna watu mpaka leo wanaamini kutokujua kingereza ni ishara ya ujinga! Kweli safari ni ndefu ,watu wanaongea kiswahili lugha waliyozaliwa nayo wanachapia ndio ije kingereza lugha ya kujifunzia ukubwani.Tuache uvivu wa kufikiri.Chalz Baba kipaji chake na kutokujua lugha ya kingereza vinamahusiano gani? Ama mnataka kutuambia akiwa anajua kingereza ndio atakuwa anaimba zaidi kama kina Kofi Olomide ama R.Kelly!?. Wiki 2 zilizopita nilikuwa naangalia mahojiano ya fally Ipupa -BET.Fally aliongea kingereza kibovu sana ,ila hiyo haimpunguzii kipaji chake sababu anajitambua na kujikubali.Hata washabiki wake wana mkubali kwa hicho kingereza chake kibovu.Hao kina Wema mnaowasifia wanajua kingereza kimewapeleka Holiwood? Ama wamepata tunzo za kimataifa kwenye uigizaji/filamu?. Ushabiki wa kimawazo ni mbaya sana na ndio unatufanya tushindwe kuendelea kwa kuwa hatujitambui na kujikubali .Huwezi kajikubali kama hukubali wenzako kwa machache mazuri wanayofanya.Tufunguke tuache ulimbukeni na ufinyu wa mawazo.
Kiazi umempendelea!!Huyo ni Gimbi!!mwenzie kakoxea herufi moja kwa lugha ya kigeni lakini huyo gimbi kakosea herufi moja kwenye lugha yake nani mjinga????
akihojiwa na vyombo vya habari mwanamuziki charles gabriel akisema sina contact na twanga (akimaanisha contract) ndio maana naamua kuondoka.......alirudia neneo hilo mara 3 bila kujistukia kwamba anachapia au huenda hajui kabisa
Kingereza hakina dili sana ila ni mbaya kutumia lugha ambayo hauijui unaweza kuchanganya watu,hiv anavyosema hana contact(akimaanisha mkataba) kweli yupo sahihi?
...Na kama kweli Twanga watamshitaki kwa kukanusha kwamba hana Contract yeye anaweza kukomaa kwa kutumia tape kama secondary evidence na kugeuza kibao kwa kudai alisema hana contact na si contracthahahahahaha, ya shilole ndo imenimaliza kabisa, kwamba yeye ni 'celebration' bola huyu wa 'contact' huenda alimaanisha mawasiliano na twanga hana, japo na mimi nilimsikiliza alikuwa akimaanisha contract..khe jamani kizungu sio chetu...