Hicho alichokwambia maana yake ni niniGPA ya 3.8 UDSM 1986 Chemical and Process engineering!
Nimemkumbuka Mwalimu Wangu Kamuzola
Kwenye mtihani Wa MWISHO wa Open book alinikuta na kitabu ambacho katoa mtihani humo humo ilimuuma sana ikabidi aniambie kwa kihaya wengine wasielewe kwamba
IWE KIJANA MPA AKATABO AKO , maana alinijua sana, hapo alina Rweikiza mbunge Wakisoma sheria tunawaita NGUIN
Nadhani hapo akina Pascal Mayalla walikuwa wako Kanda ya Ziwa huko Baba yao akiwa kitengo 😎
Britanicca