Challenge: Ulipata GPA ya ngapi Chuo Kikuu?

Challenge: Ulipata GPA ya ngapi Chuo Kikuu?

GPA ni takataka kama haikusaidii

wapo waliopata Gpa za 2.5 wanakula maisha kwenye vitengo wakati wale wenye 4.0+ wapo kitaa hawana ramani au wapo kampuni za mishahara kiduchu kazi mlima.
GPA ya juu sio takataka maana kama ingekuwa takataka bhasi watu wasingeweka efforts kuipata.

Kwa hiyo mkuu haijalishi utapata pesa kiasi gani ila kama darasani ulikuwa failure, itabaki hivyo hadi unaingia kaburini
 
Back
Top Bottom