Afisa_Nkai
Senior Member
- Jul 5, 2025
- 183
- 273
Nasikitika kuona watu bado wanajivunia elimu ya mkoloni, binafsi naonaga aibu hata kujiita msomi kwenye hili taifaš®
Narudia tena Chuoni hamna kozi ngumu kama ulichagua mwenyewe kwa mapenzi yako, labda kama ulichaguliwa na mtu au ulichagua kwa mihemko.āļøKuna course wewe ukiingizwa hutoboi hata week unaomba reform wakati wenzio wanaona kawaida wenzio wanapiga 10/10 kila pepa wewe ukijitahidi sana una 0.5/10, acha dharau
Chuo gani?Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Mum -morogoroChuo gani?
Mwaka gani?
Course gani?
Kama ya mzee wangu JK tu.Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
2.0Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
You still did good mkuu. Pongezi kwako3.7, hii mpaka leo inaniuma maana kwa college yetu walikuwa na uhitaji mkubwa wa tutors ila ndo hivyo nikachemka!
B.com, udsm mwaka 2011!
Shukrani, si haba!You still did good mkuu. Pongezi kwako
Mjomba ulipambana sana aise mm pale aridhi nilitembea mambo ya kulala studio alafu unatoka una ambiwa kajiajiri ššš4.1 gpa bachelor of Architecture Ardhi University
Waswahili tuna shida ya inferiority complex. Hatuna kabisa utamaduni wa ku appreciate mafanikio ya watu, yawe makubwa au madogo.Watu wanaopaniki na huu uzi Kwani whatās the big deal? Mtoa mada kauliza tu GPA zile mlipata bachelors degree. Sasa mnaosema ohh itakusaidia nini ohh elimu ya mkoloni ohh kuna hawakusoma na wana maisha.. hayo yote ya nini? Take it lightly people and enjoy others responses.
Anyway mi nilipata 3.8 Mzumbe moro
Waswahili tuna shida ya inferiority complex. Hatuna kabisa utamaduni wa ku appreciate mafanikio ya watu, yawe makubwa au madogo.
Tunachokifanya ni kutafuta kasoro na kuyaponda mafanikio ili yaonekane si lolote si chochote, yaani success na failure hazina tofauti! Baada ya hapo tunakunja kishoka na kujiona tupo sawa na hao waliofanikiwa katika jambo husika.
Zungumzia hata mafanikio ya pesa utaambiwa ooh dunia tunapita tu, ukifa hutozikwa nazo, mara wote matajiri na masikini tunapumua pumzi ya aina moja. Wakimaliza kuzitusi pesa wanaenda kubeti wapate million 200 waepukane na kadhia za umasikini!
Kozi ipi!!??Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Hatari sana!Ha ha sio poa mkuu, watu tuliokuwa tunafanya vizuri shuleni tunaandamwa sio poa! Raha yao waone tumepigika!
Inferiority complexWatu wanaopaniki na huu uzi Kwani whatās the big deal? Mtoa mada kauliza tu GPA zile mlipata bachelors degree. Sasa mnaosema ohh itakusaidia nini ohh elimu ya mkoloni ohh kuna hawakusoma na wana maisha.. hayo yote ya nini? Take it lightly people and enjoy others responses.
Anyway mi nilipata 3.8 Mzumbe moro