Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,630
- 4,687
Una umri gani?Ulipata GPA ya ngapi university ??
Me.4.0
Wewe je ??
N.b. special kwa wenye elimu
Una umri gani?Ulipata GPA ya ngapi university ??
Me.4.0
Wewe je ??
N.b. special kwa wenye elimu
Hakuna chuo kinaitwa mlimaniMlimani
Out of pointGPA ni takataka kama haikusaidii
wapo waliopata Gpa za 2.5 wanakula maisha kwenye vitengo wakati wale wenye 4.0+ wapo kitaa hawana ramani au wapo kampuni za mishahara kiduchu kazi mlima.
NO REFORMS, NO ELECTION.Ulipata GPA ya ngapi university ??
Me.4.0
Wewe je ??
N.b. special kwa wenye elimu
Chuoni hamna kozi ngumu wala nyepesi kama ulichagua kozi kwa mapenzi yako.✍️Taja na Course uliyosoma ili watu wakuelewa unaweza ukawa ulienda kusomea Maarifa ya Jamii
Huyo mwenye 2.4 ndio boss wa hao wenye 4.0 na 4.5 amewaajiri kwenye kampuni yake anawalipa ujira mdogo huku yeye akiingiza mabillion nani mwenye akili hapo?Mmoja alipata 2.4 woi
Mmoja 4.0 kaamua kuwa mfanya biashara
Mmoja 4.5 yuko huko mbele
Mie sina ila numetengeneza hizo.
Kuna course wewe ukiingizwa hutoboi hata week unaomba reform wakati wenzio wanaona kawaida wenzio wanapiga 10/10 kila pepa wewe ukijitahidi sana una 0.5/10, acha dharauChuoni hamna kozi ngumu wala nyepesi kama ulichagua kozi kwa mapenzi yako.✍️
Na GPA yako ya Zion collegeUlipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Mimi niliondoka na kagentle kanguUlipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Na course gani kwanza?Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
GP ndio nini tuelimishe kwanza.Ulipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
me gentleman ya 2.7 na sasa ni Afisa Mkuu wa SerikaliUlipata GPA ya ngapi university?
Me.4.0
Wewe je?
NB: Special kwa wenye elimu
Supp ngapi 🤣